tanzania tuitakayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. i_denyc

    SoC04 Uwanja wa michezo tambarare: Pedali za kuifikia Tanzania tuitakayo

    Wengi tunajua uwanja wa michezo ni eneo la uwazi, na mara nyingi huwa tambarare. Mashindano tofauti hufanyika, kama vile mchezo wa mpira wa miguu, mpira wa kikapu na hata mbio za rihadha. Ni katika sehemu hii wachezaji hunadi ujuzi na uwezo unaoweza kuwafanya waibuke kidedea kwenye mchezo...
  2. S

    SoC04 Jinsi Tanzania tuitakayo itakavyotumia teknolojia kuondoa changamoto ya utapeli kwa wateja/wafanyabiashara wanaotumia mitandao kufanya biashara

    Katika karne tuliopo, teknolojia inatumika kwa kiwango kikubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya biashara. Teknolojia imekuza sekta hii kwa kutoa huduma kwa haraka, ufanisi na kwa gharama nafuu. Pamoja na faida lukuki za teknolojia katika nchi yetu, katika upande wa kibiashara, sekta hii...
  3. west9

    SoC04 Serikali ije na mikakati ya kutetea haki za makundi maalumu

    UTANGULIZI Tanzania imekuwa ikiwasaidia watu wa kundi maalumu Kwa muda mrefu pamoja na kuweka Sheria zinazolinda makundi haya katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 ambayo hufanyiwa marekebisho kwa kupitiwa mara kwa mara kuhakikisha kuwa ina akisi...
  4. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo inaletwa na kuimarisha ulinzi kwa watoto ambao ndio taifa la kesho

    UTANGULIZI Watoto ndio taifa letu la kesho, kila sekta ambayo iko ndani ya nchi kwajili ya maendeleo ya nchi madhumuni yake ni kukua na kudumu kwa muda mrefu. Watu pekee ambao wanatakiwa kuendeleza taifa na misingi ya nchi ni watoto wa Tanzania ambao wanatakiwa kupokea na fundishwa kuenzi kile...
  5. Nyendo

    Hivi wanawake wenzangu wa JF mmeshaandika kuhusu Tanzania tuitakayo kwenye Stories of Change?

    Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla. Leo naongoe na wanawake, jeshi kubwa, nina swali kwenu je, mmeshaanza kuandika, mmeshiriki shindano na kupost...
  6. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni lazima kwanza itoke kwenye mifumo tegemezi ambayo bado inatufanya tuwe watumwa kifedha na kifikra

    1. Tanzania Tuitakayo Ni Lazima Kwanza Itoke Kwenye Mifumo Tegemezi Ambayo Bado Inatufanya Tuwe Watumwa Kifedha, Kifikira Na Mpaka Kutufanya Kuwa Wabinafsi; Mfano; Mambo Ya Kukopa Fedha Kwenye Benki Ya Dunia Na Nchi Zilizoendelea Ambayo Mikopo Yenyewe Haina Afya Katika Maendeleo Ya Taifa Na...
  7. A

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika sekta ya uchumi

    Naitwa Amos maduhu magembe kutoka ubungo manicipal kata ya kibamba. Uchumi ni swala la msingi na UTI wa mgongo Katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania Katika maswala ya kiuchumi, tunahitaji kufanya Mambo yafuatayo Ili kuifikia Tanzania tuitakayo baada ya miaka 25. 1. Viongozi kuwa wazalendo...
  8. Librarian 105

    SoC04 Tanzania tuitakayo 2050: Miundombinu ya kukabiliana na mafuriko isanifiwe kiuhandisi kuakisi ongezeko la watu na ukuaji wa makazi nchini

    Utangulizi: Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Na mara nyingi viongozi wa serikali hutazama majanga ya mafuriko na...
  9. Y

    SoC04 Tuachane na itikadi ya uchumi wa amri au "command economy" ili tuelekee uchumi wa masoko huru au "free market economy"

    Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa. Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
  10. H

    SoC04 Tanzania Tuitakayo katika sekta ya elimu

    Elimu ni Kitu cha msingi sana ili kuipata Tanzania Tuitakayo, Kuna baadhi ya mambo yakiboleshwa katika Elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi Elimu ya juu:- 1. Ufuatiliaji wa mitaala kwa shule za msingi na serikali: wadau wa Elimu pamoja na wazazi inabidi tuwe tunafatilia,mitaala kama wanayopewa...
  11. K

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Envisioning Tomorrow: The Transformative Power of Virtual Reality in Tanzanian Education

    Retrieved from: 12 Benefits of Virtual Reality In Classroom with Examples Once upon a time, in the sprawling plains of Tanzania, nestled between the majestic Kilimanjaro and the vast Serengeti, there existed a school unlike any other. This was not just any school; it was a beacon of...
  12. M

    SoC04 Iundwe Wizara ya Maadili, watoto, vijana na uzalendo kwa taifa

    Nafahamu ipo Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ikishughulikia masuala mbalimbali yahusuyo jamii, jinsia za vijana wakike na wakiume, changamoto za wanawake na wanaume, wazee pamoja na makundi maalum. Liakini bado haitoshi wizara hii kubeba mambo yote hayo. Taifa...
  13. MacJamxey

    SoC04 Uhalifu mtandaoni na jinsi ya kukabiliana nao ili kuwa na Tanzania iliyo bora

    Miongoni mwa nchi zenye matumizi makubwa ya mitandao Afrika mojawapo ni Tanzania, ni nchi ambayo matumizi ya intaneti yanakua kwa kasi sana. Tunaweza sema utandawazi unakua kwa kasi kubwa mno, kiasi kwamba karibu au zaidi ya nusu ya watu wake wanatumia intaneti Hata hivyo si matumizi pekee tu...
  14. juwairiya othman

    SoC04 Ili kufikia Tanzania tuitakayo tunatakiwa kushiriki katika miundombinu bora ya kuijenga Tanzania yetu tuitakayo

    Ili kufikia malengo ya kufanikisha tanzania tuitakayo tukianzia kwenye suala la mazingira Tanzania ni nchi ambayo inae mazingira bora inae mazingira mazuri sanaaa lakini tukija baadhi ya maeneo mazingira yake yanakua yako katika Hali tatanishi ambapo unakuta takataka haziwekwi katika sehemu...
  15. D

    SoC04 Tanzania inatakiwa kujiuliza ni wapi inakosea

    Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
  16. W

    SoC04 Tanzania tuitakayo ndani ya miaka 25

    ### Tanzania Tuitakayo Ndani ya Miaka 25 #### Utangulizi Tanzania ni nchi yenye maliasili nyingi, rasilimali watu yenye bidii, na utajiri wa utamaduni. Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, tunakusudia kujenga taifa lenye maendeleo endelevu, uchumi imara, huduma bora za kijamii, na mazingira...
  17. W

    SoC04 Tanzania tuitakayo miaka mitano hadi ishirini na tano ijayo

    Sera ya elimu itaje na kusimamia ujuzi wa watoto kuanzia ngazi ya msingi hadi chuo kikuu. Elimu ilenge kutoa wataalamu na wajuzi, watoto watambuliwe uwezo mapema katika ngazi za awali kielimu ili waanze kupewa mafunzo kulingana na sekta elekezi. Mfano, mwenye kipaji cha mpira apewe elimu ya...
  18. Pule

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuondoa umasikini kwa Watanzania wengi

    Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au kuondoa umasikini kabisa ni lazima serikali kupanga na kuweka mikakati iliyothabiti ilikuweza...
  19. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo vyombo vya habari viache kuajiri watu wasio kuwa na ujuzi wa habari& utangazaji na uandishi

    Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
  20. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
Back
Top Bottom