ukosefu wa ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  2. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Namna kilimo kinavyoweza kutatua ukosefu wa ajira nchini

    KILIMO KAMA SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA TANZANIA: USHAURI KWA SERIKALI KUJENGA TAIFA LA WAAJIRI KUPITIA SEKTA YA KILIMO. Utangulizi Tatizo la ukosefu wa ajira limeendelea kuwa moja ya changamoto kubwa zinazolikabili taifa la Tanzania, hasa kutokana na ongezeko la idadi ya vijana wanaomaliza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Kiwango cha ukosefu wa ajira kimepungua hadi 6.4% mwaka 2024. Tuna uwezo wa kuzalisha ajira angalau kwa 7.8%

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, leo Juni 11, 2026, amebainisha kuwa Nguvu kazi ya Tanzania imefikia watu milioni 27.3, huku takwimu...
  4. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni janga katika ongezeko la mafundi wasiokuwa na ujuzi timilifu

    Kwa hili ntapata kuzungumzia katika nafasi yangu ya fundi ujenzi (UASHI).... Aisee mafundi wengi miyeyusho sana twende kwenye komenti...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kitachoiondoa CCM madarakani ni Ukosefu wa ajira kwa vijana Kiburi, dharau na Propaganda za Maji taka ndo aguko la CCM

    Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu iliyopandwa October 29 wasifikiri Gen Z wamekubali yaishe pamoja na kuona wenzao wanapigwa risasi marafi...
  6. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

    Habari wakuu Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa. Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla. Nitangulize pia...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa watu wenye asili ya Afrika kimekuwa kiashirio cha Uchumi wa Marekani

    Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
  8. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mfumo wa unyonyaji kwa wanafunzi wanaobaki baada ya kumaliza Masomo

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na ninahisi kimejengewa mfumo usio rasmi wa kuwaibia vijana wanawabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia kusimamiw semina na kufundisha (tutorial assistants). Vijana hawa kwa muhula wa pili sasa mwaka huu hawajalipwa malipo...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia lakini hapa kwetu isiwe hivi ilivyo

    Ajira hakuna lakini hizo chache zilizopo zinanukia harufu ya kujuana na rushwa, Kama ajira hakuna basi ugumu uwe kwa usawa (equally) bila kujali cheo, undugu, urafiki, kabila, dini, mali Wala kufahamika kwa mzazi, ndugu, rafiki wa muomba ajira. Hali sio nzuri katika nyanja zoote za ajira na...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Njia muhimu za kufuata unapopitia misukosuko ya kifedha, kifamilia na ukosefu wa ajira

    Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo. Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la ukosefu wa Ajira Tanzania: Tuwape Wahitimu wote hii kitu "Graduate Card"

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nawaomba taasisi za Elimu ya kati na juu kupitia Wizara ya Elimu mkaja na hii huduma kwa hawa vijana wanaohitimu chuo hususani ngazi ya kati na juu ( Diploma & Degree holders) tuwapatie kadi maalumu kwaajili ya kupata kibali cha ajira...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wazo huru: Serikali iondoe mara moja posho za walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata pesa hizo zitumike kuajiri vijana wapya

    Hii hoja isipuuzwe hata kidogo posho za madaraka wanazolipwa Hawa viongozi hazina maana yoyote ile. Mkuu wa shule na Mwalimu mkuu Huwa hawana vipindi vyovyote shuleni. Muda wote ni kutanga na njia na kusimamia maendeleo ya shule husika. Kwa kuwa Sheria ya utumishi inataka wazi malipo yalipwe...
  13. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Kumbe ajira hamna.Sasa kwanini tusome ?

    Kumbe ajira hamna!!!!😭😭 Sasa kwanini tusome ???? Tukisoma na ada ikipotea !!!!🙄 Nasoma namuogopa nani ???
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa vijana wasio na ajira Tanzania (UYAM) umesema kuwa ukosefu wa ajira ndiyo chanzo cha vijana kujihusisha na ku- bet

    Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia kipato. Lawrent Kayaya, Mwakilishi wa UYAM akizungumzia hilo
  15. dorge

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira sio walimu pekee

    Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa. Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea. Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu...
  16. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ndio tatizo namba moja kwa vijana. Hakuna mwanasiasa mwenye suluhisho, tusidanganywe

    Kwa sasa kilio kikubwa cha vijana ni ajira ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. Bahati mbaya hakuna mwanasiasa yoyote Tanzania mwenye majibu namna gani atapunguza ukosefu wa ajira kwa vijana. Hao wapinzani wanachoweza kufanya ni kulaumu tu serikali eti inaajiri watu wachache sasa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi. Vijana wengi wana pesa ila hawana Ajira rasmi

    Uchunguzi wangu binafsi nimegundua dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi. Hapa Tanzania watu wengi wanaPata pesa sana ila hawana ajira rasmi.
  18. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu

    Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu.
  19. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Ugumu wa Maisha na Ukosefu wa ajira kwa vijana inawezekana kikawa Chanzo cha CCM kushindwa Uchaguzi ujao?

    Asilimia kubwa sana ya Watu wana MAISHA MAGUMU Asilimia kubwa ya vijana hawana AJIRA Lazima CCM watashindwa au kuwa wa mwisho au kushika Mkia Je, CCM watapata kura wapi wakati asilimia kubwa ya watu wana hali ngumu?
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanalikwepa suala la ukosefu wa ajira kwa watanzania, Je uchaguzi huu wa 2025 utawafungua macho vijana?

    Kwanza hii ndiyo unapaswa kuwa ajenga muhimu kwa wagombea wote. Katika mambo ambayo serikali imeamua kuyakwepa kwa namna ya kuziba masikio ni hili suala la ajira kwa wahitimu mbalimbali, hii ni ishara kuwa taifa limekwama pakubwa sana. Miaka zaidi ya kumi Bado hakuna ubunifu wa ajira na...
Back
Top Bottom