Ingekuwa ni baba yangu ni ngemuomba tu kuachana na kutumia serikali unayoitetea kwa kubeba uwongo sana.
Huyu mzee kwa uwongo inaonesha hata chuo kikuu hapo kazilisha waongo.
Yaani, ukiwa pale mashati bar njia panda ya mbweni huwezi kuamini macho yako.
Dah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge.
Nawasilisha
Ladies and Gentlemen
KISASI SIYO DHAMBI
Akikusaliti na wewe msaliti
Mmeo akizaa nje,na wewe tafuta mtu umpe zawad ya mtoto .
Mmeo/mkeo akikuzuia kushika simu yake ujue ana mchepuko .
Kwanini uugulie maumivu pekee yako na kukimbilia JF kuomba ushauri wakati unaijua sheria
KISASI SIYO DHAMBI
Ni dhambi kwa Wakatoliki kuimba au kucheza nyimbo za injili kutoka kwa madhehebu mengine (ikiwemo za walokole) toka TAG, kama zina ujumbe unaompa Mungu utukufu.
Kanisa Katoliki linakataza kusikiliza au kuimba nyimbo za Wakristo wengine mradi tu mashairi yake hayaendi kinyume na imani na...
Mungu akiombwa uende Mbinguni[Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi], Alah "miungu" ampunguzie adhabu ya kaburi, hivi huwa anasikia na anafuata matakwa yenu?
YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Yule Shujaa.
Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
"Kwa sababu mnaniuliza na rasta zangu, Bob Marley aliimba hivi: 'Ukweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi.' Truth may be an offense, it is never a sin.
Asante sana. Asante, mi niko na nguvu, sitaki kuwachosha askari wangu... Ah nawapenda sana sitaki...
Kuanzia Nyerere mpaka awamu hii, chama cha CCM, watawala na raia wengi huwa wanawachukulia kwa mtazamo hasi sana watu wanaoutuka urais wa Tanzania.
Kwa nini inaonekana ni vibaya kuutaka urais wa Tanzania wakati wowote ule ikiwa tunasema hii ni nchi ya kidemokrasia na kila mtu ana haki ya kuwa...
SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA.
Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi.
Muache hii tabia. Ni tabia...
Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
Unaongea kama teja au...
Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili
Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 19: 28: “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU; mimi ndimi Bwana”.
Bwana alikataza watu kuchanjwa chale kwa sababu chale zote zinahusiana na ibada...
Yn 5:14 SUV
[14] Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.
Matatizo mengine tunayafungulia mlango wenyewe, mlango ambao unaingiza kila tatizo la kutuumiza kiroho na kimwili.
Tunaweza...
MUNGU AMESAHAU DHAMBI ZETU!!!
"A KINGDOM FORGIVENESS STANDARD: A PRAGMATIC APPROACH"
Amani na Salama 🙏🙏🙏
Ninayo FURAHA na ujasiri mkubwa kukupasha habari hii njema Sana! "Mungu AMESAHAU DHAMBI ZETU 🔥🔥
KIVIPI? Fuatana nami . ....!!!
Ni ndoto ya Kila binadamu mwovu kumsahaulisha mdeni wake😁...
Hamjambo!
Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani.
Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine.
Ulaji.
Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
Dhambi ni tamu - tupate habari zaidi
Dhambi ni Nini
Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya...
Matendo yanayoonekana kama Dhambi lakini yanaingiza Pesa nyingi.
Katika jamii yetu na jamii za kidini, kuna mielekeo ambayo inasifika kuwa ni "dhambi" lakini kwa kweli inaingiza pesa nyingi. Uelimishaji huu ni muhimu ili watu wajue ya kwamba si matendo yote yanayoonekana kuwa si safi kidini...
Wao wazanzibari, sisi watanganyika, dhambi hii itawatafuna MILELE.
Je ni kweli kauli hii bado inaishi au imeshakuwa overtaken by time and modern development
Hilda Newton: Nimeona video ya Watanganyika wakizuiwa kuingia kazini huko Zanzibar, limetoka agizo kwamba kama mtu hana ID ya Zanzibar...
Maneno haya nayasema nikiwa na confidence kwa maana yake nimeyafanyia utafiti kwa miongo kadhaa.
Nilichukua sample za watu tofauti nikiwemo mimi mwenyewe( kimsingi nilisha wahi kuishi maisha ya kihuni na matokeo yake nikayaona).
Lakini baada ya kuamua kubadilika na kuishi kiungwana pia matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.