Ilani (Persian: ايلاني, also Romanized as Īlānī) is a village in Behi Dehbokri Rural District, Simmineh District, Bukan County, West Azerbaijan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 163, in 29 families.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali huchambua na kuchukua msimamo kulingana na maslahi ya wananchi.
Ameongeza kuwa tayari kuna baadhi ya...
Hello.
Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha.
Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama.
Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo.
Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zinazoendelea nchini kwa sasa, vyama mbalimbali vya siasa vimekuwa vikiwasilisha sera zitokanazo na Ilani zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya kuongoza.
Lakini swali muhimu la kujiuliza, Je, Ilani hizo zinaeleza kwa usahihi utekelezaji wa Dira...
Hawa jamaa wamejua kwamba mara baada tu ya uchaguzi, nchi za magharibi,Jumuiya na taasisi za kimataifa hazitautambua uchaguzi huo na hazitaitambua serikali hivyo itakosa legitimacy.
Kwa kufanya hivyo hawatatoa fedha yoyote kwa serikali iliyopoteza legitimacy. Hivyo serikali ya Tanzania hasa ya...
Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo
Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni umahiri na uthubutu na uduni wa kusimamia kwa mgombea wa CCM kuwa chini sana au ni nini?
Haiainishi...
Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo.
Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani.
Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake kuonyesha kitawezaje kutufikisha katika dira hiyo.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Waziri wa kuwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar, Hamad Yusuf Masauni ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano (2020- 2025) katika jimbo hilo akiwashukuru wapiga kura wake.
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba
Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama mbalimbali wa chama hicho Prof Mbarawa amebainisha namna alivyofanya jitihada za ziada kwa kutafuta pesa...
EDWARD LEKAITA: TUMEENDA ZAIDI YA TULICHOAHIDI KWENYE ILANI YA CCM 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kishindo, ambapo utekelezaji huo umetikisa katika majimbo yote...
"Hii ni Ilani ya CCM ya saba ya uchaguzi mkuu tangu nchi yetu iliporejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Katika Ilani zote hizi, CCM imeongozwa na Dira ya kuiona Tanzania yenye ustawi kwa wote, nchi inayozingatia na kuheshimu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo.
Heche ameyasema hayo...
Nimeisoma ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 na kuna mambo mengi yanayoleta maswali, hasa kuhusu hali ya miundombinu nchini.
Kwa mfano, mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Sanya Juu, wilaya ya Siha hadi Longido, umbali wa kilometa 65, haonekani kwenye ilani hii mpya. Hili ni jambo la...
1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni.
2. Kujengwa viwanda kila mkoa na kila mtaa haaa haaa hii sawa na ile wanafunzi wa vyuo vikuu kufanya practical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.