madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wanawasaidia wagonjwa kupata nafuu kupitia upasuaji wa uvamizi mdogo

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
  2. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu mgomo wa madaktari mwaka 2012?

    Bila kupoteza muda, nadhani wengi tunakumbuka kuwa mwaka 2012 kulikua na vuta ni kuvute za hapa na pale baina ya Madaktari nchini na Serikali chini ya aliyekuwa Rais wa kipindi hicho Dr. Jakaya Marisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (mzee wa “utapigwa tu”), issue ambayo ilipelekea chama...
  3. maslulkat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

    Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana. Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mchezo mchafu kwenye mfumo mpya wa kusajili madaktari (HPRS)

    Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya. Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na nikafanya malipo kwa kutumia Airtel Money. Malipo yalifanikiwa bila tatizo lolote, kama inavyoonekana...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madaktari "Viti Maalum" kuja hivi Karibuni!

    Baada ya taaluma ya mawakili wa kujitegemea kupuuzwa, kudharauliwa, kudhalilishwa, kutishiwa kufutwa chama chao na "watu wasiojulikana" na baada ya kuona TLS ina nguvu kwa kutumia Section 4 of TLS ACT, mbinu kubwa ikaja ni kuunda chama cha mawakili wa Serikali wapambane na TLS. Wale mawakili...
  6. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wa mifugo wa Dar es salaam

    Habarini za muda WanaJamiiForums. Mimi ni kijana ninayesomea udaktari wa mifugo( BVM) chuo kikuu cha kilimo SUA mwaka wa mwisho. Kwa sasa nipo dar es salaam Kwa mafunzo ya vitendo (Field Attachment ) ili niweze kukamilisha elimu yangu hii ya miaka mitano. Nilikuwa naomba Sana nafasi ya kuweka...
  7. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa mifugo tunapitia changamoto Sana

    Habarini za Leo waungwana wa jamii Forum. Mimi ni daktari mtarajiwa wa Mifugo ninayeishi dar es salaam pande za Mbezi mwisho naipenda Sana hii kazi na ndio maana huwa naifanya Kwa uaminifu wote chini ya madaktari washauri wangu. Lililonileta hapa Leo baada ya miaka mitatu kukatika ni juu ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madaktari Halmashauri ya Mpimbwe na kutolipwa Call Allowance kwa zaidi ya mwaka mmoja

    Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo, fedha zimekuwa zikipokelewa lakini zinabadilishwa matumizi kinyume na kusudio lake na bila utaratibu...
  9. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM kushirikiana na madaktari bingwa nchini kutafuta suluhu ya magonjwa ya ndani

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Hospitali yake imeshiriki katika Kongamano la Mwaka lililoandaliwa na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA), lililofanyika leo tarehe 29 Mei 2026 katika ukumbi wa Dodoma City Hotel jijini Dodoma. Lengo la kongamano hilo ni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madaktari Tarajali Morogoro Hatujalipwa Posho Mwezi wa pili sasa

    Mimi ni daktari tarajali (intern doctor) katika Morogoro Regional Hospital, na tunakumbana na changamoto kubwa ya kutolipwa posho zetu kwa wakati. Hadi sasa tumekaa takribani miezi miwili bila malipo, jambo linalotuweka kwenye hali ngumu ya maisha. Hakuna malipo ya extra duty, hakuna nyumba za...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwananyamala Hospital iongezewe Madaktari, foleni ni kubwa kumuona daktari

    Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri. Nimefika hapa tangu saa mbili asubuhi, lakini hadi kufikia saa 8:20 mchana hatukuwa na uhakika wa...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua mkutano wa pili wa kimataifa wa shirikisho la dunia la madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: www.ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Usalama duni wa watoto wanaoenda kuogelea Jangwani Sea Breeze Beach, nani anawajibika?

    Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto wamekuwa wakisikia ikitajwa na wenzao shuleni. Nilikubali. Nikawasha gari, mimi na mke wangu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania SACP Augustino Senga: Wanaodai Nyeti zao zimepotea Tunduma Madaktari wamethibitisha zipo

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga, alisema kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limefanya mikutano na wananchi kwa lengo la kutoa elimu na kutuliza taharuki iliyojitokeza, baada ya kuenea kwa uvumi wa kuwepo kwa watu wanaodaiwa kugusa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Baraza la Madaktari Tanzania laongeza muda wa usajili wa madaktari hadi Aprili 30, 2026

    Watoa huduma za afya nchini Tanzania wamepewa nyongeza ya mwezi mmoja kukamilisha usajili wa lazima wa kitaaluma, kufuatia malalamiko mengi kuhusu changamoto za kiufundi katika mfumo wa mtandaoni. Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) hapo awali lilikuwa limeweka tarehe 31 Machi 2026 kama mwisho...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari, msiwaache wanafunzi kuona wagonjwa wakiwa peke yao, afya ya mtu haijaribiwi wakikosea inaweza gharimu uhai

    Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili kuepusha hatari ya wao kufanya makosa kwenye mwili wa mtu. Nakumbuka kuna siku nilipeleka mtoto wangu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa uombaji leseni Baraza la Madaktari (MCT) unasumbua

    Ni zaidi ya Mwezi sasa Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) limebadilisha mfumo wake, sasa website yake imekuwa ina changamoto katika uombaji wa leseni mpya au ku renew ili ku-practice kwenye mwaka wa kifedha huu, changamoto hiyo inaleta hofu pia kwa sisi waombaji wa ajira kuwa shortlisted, huwezi...
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Chama cha madaktari Tanzania kipige marufuku wasio madaktari kutumia sare zao

    Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu. Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much. Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) liwajibike katika kuboresha masuala ya Kimtandao, wanatukwamisha

    Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kuwa siku moja baada ya lile chapisho lililoletwa na member kuhusu Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuharakisha kutoa matokeo ya Mtihani wa Leseni (Post Internship Examination) ya Madaktari uliofanyika Desemba 17, 2025, tuliona jambo...
Back
Top Bottom