mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa idara kuwekwa Selo na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng’wilabuzu Ludigija, kwa kutoshiriki zoezi la usafi

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Karagwe: Watu wengi hawajaweza kuunganishiwa umeme kutokana na gharama ya kununua nguzo

    Ukitaka kuunganishiwa umeme, unatakiwa kununua nguzo kwa gharama ya Shilingi 300,000 kwa kila nguzo. Ikiwa utahitaji nguzo zaidi, utalazimika kulipia kila nguzo kulingana na mahitaji. Gharama ya kuunganishiwa umeme ni Shilingi 150,000. Kwa hiyo, kwa kiasi kikubwa, watu wengi hawajaweza...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Lindi

    Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wizara ya ardhi Bw, Abisai Coy (kulia mbele), akifuatiwa na Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Martin (katikati mbele), na Bw. Pastori Masua Mkurugezi Msaidizi Msajili wa hati (kushoto mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wataalamu kutoka...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Hati za kimila: Mkombozi wa wananchi wa melela na Mikese mkoani Morogoro

    HATI ZA KIMILA: MKOMBOZI WA WANANCHI WA MELELA NA MIKESE MKOANI MOROGORO Wananchi wa Vijiji vya Melela na Mikese mkoani Morogoro wameeleza furaha yao baada ya kupata Hati za Kimila, hatua inayowawezesha kutambuliwa kisheria na kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi. Akizungumza katika...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lipige marufuku na kuzuia mkusanyiko unaotaka kufanywa na BAVICHA mkoani Dodoma tarehe 12 Agosti kutokana na kuwa na viashiria vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa . Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya uhamisho kutoka mkoani kwenda halmashauri inaweza kukuhamisha?

    Habar za mda huu wadau, Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa, Ikawa kimya miezi nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps...
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

    Maisha ya mkoani shikamooo Hakuna connection Hakuna dili za kutosha Kazi ngumu malipo hafifu Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta Nipe connection ushauri nk Karibu
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji UV LED blacklight\taa yenye uwezo wa kuburn screen sihitaji kutumia Jua, kama itapatikana Kwa bei nafuu hapa Dar es salam au mkoani

    Nahitaji hizo taa au exposure unit kwa bei nafuu exposure unit yangu imeibiwa nb hii inatumia Kwa screen printing so kabla ya kuagiza naamini naweza kupata haraka hapa Kwetu
  11. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dkt. Jairy Khanga: Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) umefika katika vituo 74 Mkoani Kilimanjaro

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Jairy Khanga ameeleza kwa kina kuhusu utekelezwaji wa Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) Programme katika mkoa wake. Alibainisha maeneo yaliyofikiwa, changamoto zilizojitokeza, na mikakati ya kuzikabili. Hapa kuna mambo makuu aliyozungumza: 1...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma vyafanyiwa usafi

    Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya jadi ya paka mlinzi wa paa “Wamao” mkoani Yunnan ni lulu inayohifadhiwa ili isipotee

    Wakati 2026 ni mwaka wa mawasiliano baina ya watu wa China na Afrika, shughuli nyingi za mawasiliano zinafanyika zikiwemo za kitamaduni. Katika kutimiza azma hii iliyowekwa na viongozi wa pande mbili za China na Afrika, wakati nilipotembelea mkoani Yunnan, nami nikajiunga kwenye shughuli za...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Afariki ghafla akiwa na mpenzi wake kwenye nyumba ya wageni "Guest House" huko mkoani Mara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupatwa na shambulio la moyo akiwa nyumba ya kulala wageni na mpenzi wake. Jeshi hilo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wa Kijiji cha Mlimba B, Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani MOROGORO wananyanyasa wananchi

    Viongozi wa kijiji cha Mlimba 'B' katika Halmashauri ya Mlimba wamekuwa kero kwa wananchi kwani wamekuwa wakitoza faini ya Tsh. 10,000/= kwa kila mwananchi asipohudhuria kwenye mkutano wa serikali ya kijiji na kwenye shughuli za maendeleo ambazo ni kusafisha barabara ambazo zinafanyika kila siku...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutua kwa Kishindo Mkoani Songwe hapo kesho. Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini Na Maelfu ya Waumini. Asubiriwa kama Masia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho . Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja afariki kwa kung'atwa na nyuki eneo la Bweri, Musoma Mkoani Mara

    https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mama lishe auwawa na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi mkoani Kilimanjaro

    Ni simanzi imetawala mkoani Kilimanjaro, baada ya mwanamke mmoja anayefanya biashara ya chakula, Restituta Moshiro (40), kukutwa ameuawa na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi, ukiwa na majeraha yanayoashiria aliburuzwa na kukabwa kabla ya kukutwa na mauti. Tukio hilo limetokea usiku wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wawili wa KYELA FM walioshikiliwa na Jeshi la Polisi waachiwa kwa dhamana Mkoani Mbeya

    Wanahabari wawili wa kituo cha redio cha Kyela FM, Tumsifu Katina na Emmy Eliud, wameachiliwa kwa dhamana asubuhi ya leo Aprili 15, 2026 baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi tangu jana mchana. Meneja wa Kyela FM, Lamso Malongo amethibitisha kuwa wanahabari hao kwa sasa wako huru na taratibu...
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mshahara laki mbili mkoani, au nijilipue Dar?

    Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili Miaka 25 Elimu shahada Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha??? Ahsante
Back
Top Bottom