kufunga ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

    Kuzaa mtoto nje ya ndoa mara nyingine kunaweza kuleta changamoto na kero kadhaa kwenye familia hasa bara letu la Afrika. Baadhi ya mambo ambayo nimeona kwa watu ambao wamezaa au kuzalisha nje ya ndoa (watoto waliopatikana ujanani) ni; • Mambo ya Kihisia: Kuzaa mtoto nje ya ndoa kunaweza...
  2. Moronight walker

    Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

    Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule. Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa. Nguo za zamani hazitupwi. Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳. Mshikamawili moja umponyoka.
  3. M

    Kipi bora kati ya kuishi na mpenzi (bila ndoa) au kufunga ndoa?

    Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano; 1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba bado hajaolewa na anatafuta mwanaume wa kumuoa. 2. Mwanamke anaishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka...
  4. Victor Mlaki

    Kosa kubwa tunalolifanya kabla ya kufunga ndoa

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali tunakosea. Ikumbukwe kuwa watu wanapoamua kuishi pamoja kama mke na mume au kufunga ndoa ni moja ya...
  5. African Geek

    Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  6. haszu

    Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Habari wakuu, Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  7. Melki the Storyteller

    Mkeo, kabla ya kumuoa alikupendea nini mpaka kuwa tayari kuishi na wewe?

    Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky...
  8. FRANCIS DA DON

    Je, mtu unaweza kufunga ndoa kanisani bila kusaini lile karatasi?

    Tunaambiwa kwamba kuendelea kuishi pamoja na kuzaa watoto bila kufunga ndoa kanisani ni uzinzi na kumchukiza Mungu. Sasa na mimi nauliza, naweza kwenda kanisani kufunga ndoa bila kusaini chochote? Yaani taratibu zoote za kanisa na mashahidi wawepo kushuhudia ndoa, ila sitaki kusaini chochote...
  9. Yofav

    Ikiwa haya yatafanyika, basi ndoa zitadumu

    Hey there, Inakuwaje wadau wa humu ndani... Hope mpo poa na kama kuna tatizo lolote yeyote alienalo basi maombi yangu kwake ni Mungu amfanyie wepesi. Twende kwenye mada. Marriage/Ndoa imekuwa ni big issue hasa humu kwenye platform ya JF, Huku kukiwa na makundi mawili (wanaounga mkono ndoa na...
  10. R

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  11. M

    Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

    Habari za humu! Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha. Nimeishi Kusini yaani...
  12. N

    Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
  13. M

    Wewe kijana wa sasa nakushauli uoe ila sio kufunga ndoa

    Hii mada ya kataa ndoa inabidi ijibiwe kwa hoja na sio mihemko, vijana wetu wanaikataa ndoa wakiwa na mantiki kubwa sana, inaitaji umakini mkubwa sana kuwaelewa na kuweza kujibu hoja zao za msingi. Kwa mimi binafsi nadhani kuna utofauti kubwa kati ya kuoa na kufunga ndoa. 1. Naanza na kuoa...
  14. Protector

    Ikipendeza serikali isiwatambue kama wanandoa wenza wanaoishi bila kufunga ndoa

    Habari wanajukwaa, Nisiwachoshe sana twende kwenye mada moja kwa moja. Siku hizi kuna kampeni kubwa ya kukataa kufunga ndoa kwa vijana wa kiume, matokeo yake wanachukua vimada wanaishi nao na baada ya muda fulani mwanamke anatimuliwa bila chochote anaondoka na kwenda kuanza maisha mapya huku...
  15. Midazolam

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali Nahitaji kuwa na nini na nini maana mwanamke ninaye. Lengo kuu ni kutaka kufanya mambo mengine nikiwa na huyu mwanamke maana Kuna vitu nashindwa kumkamilishia mpaka awe ndani ya ndoa ya serikali. Na njia gani naweza kutumia Ili nifanikishe...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    Mahari na kufunga ndoa ndio sababu inayofanya vijana wasioe

    Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela nyingine?.. Just imagine hauko stable then vijana wanaambiwa mahari million 2/3, na bado huyo...
  17. Equation x

    Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

    Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi? Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k. Kwa upande wangu nina ushuhuda wa...
  18. tpaul

    Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

    Hodi humu jamvini wana MMU, Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu. Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri...
  19. S

    Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  20. MSAGA SUMU

    Wastara: Natarajia kufunga ndoa mwezi wa 11

    Mwanadada Wastara amethibitisha kuwa yuko kwenye hatua za mwisho mwisho za maandalizi ya harusi yake hapo mwezi wa 11. Kila la Heri.
Back
Top Bottom