wajumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. B

  Hongera Maria Sarungi, mmeanza vyema kupata wajumbe wa Kamati ya Katiba lakini nadhani mmekosea fanyeni maboresho

  Awali nilipokuwa naangalia ujio wa SPACE kama njia ya kufanya bunge la wananchi sikuona Kwa upana ukubwa wa forum Hii. Nikiri Kwamba Maria Sarungi ni Moja ya mtu aliyenufaika kiubunifu na utawala wa awamu ya Tano. Alipofungiwa online TV yake hakukata tamaa alifanya research ni namna gani...
 2. Chinga One

  Tamko la Wajumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM.

  Wakati bado watanzania wakiwa wanajadili hotuba ya Mama Samia Rais wa JMT,mambo yanazidi kupamba moto,wajumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM wanatarajia kutoa tamko lao leo saa tano, januari 5,yaani dakika chache zijazo.....Stay tuned!!
 3. J

  Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

  🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA 🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi 🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam #NyukiWaMama
 4. B

  Tuwafahamu wajumbe wa Task Force ya Msajili

  Itakuwa ni kujidanganya mchana kweupe, kudhani kuwa hali ya kisiasa nchini ni shwari na kuwa kazi inaendelea. Taarifa rasmi kutokea katika mkutano huo wa kusaka tahfifu katika siasa kwa wadau ni kama ilivyo hapa chini: Hiyo ndiyo habari yenyewe. Kama vipi kuwafahamu wajumbe hawa zaidi...
 5. K

  Wajumbe wa Bodi za Mashirika ya Umma washichaguliwe kiholela

  Kumekuwa na utamaduni mbaya wa bodi nyingi za mashirika ya umma kutokujua wanatakiwa kufanya nini. Bodi nyingi wanaona kuwa mjumbe ni kama biashara ya kupata pesa bure za vikao, kumwendesha mkurugenzi wapate wanachotaka, kuweka watu wao kwenye tenda za vitu mbali mbali. Tumeona hii TPDC...
 6. Erythrocyte

  Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

  Taarifa kamili hii hapa
 7. Analogia Malenga

  CHADEMA: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wapewe ajira za kudumu

  CHADEMA wametaka wajumbe wanaoteuliwa kuwa katika Tume ya Uchaguzi waangaliwe historia yao ili kujua weledi wao kabla ya kuteuliwa kuwa wajumbe. Kama ilivyo kwa majaji wa Mahakama Kuu ambao hawawezi kuondolewa muda wowote kabla ya kipindi chao kuisha, wametaka wajumbe wa Tume ya Uchaguzi nao...
 8. idoyo

  Tuboreshe Utendaji wa Serikali za Mitaa ili kuleta Tija

  Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa makusudi ili kusogeza huduma karibu zaidi lakini hazifanyi kazi ipasavyo. Tuboreshe muundo kama ifuatavyo...
Top Bottom