ccm taifa

The Chama Cha Mapinduzi (CCM) presidential primaries, 2015 took place in July 2015 to determine CCM's nominee for the Presidency of Tanzania for the 2015 election. The Chama Cha Mapinduzi (Party of the Revolution) is the country's dominant ruling party, and the longest reigning ruling party in Africa.Incumbent president and 2010 nominee Jakaya Kikwete is ineligible for re-election due to term limits. He is looking forward to his retirement, and has described the presidency as being both "stressful and thankless". Kikwete, who also serves as the party's National Chairman, said that he was not backing anyone as his preferred and chosen successor.More than forty candidates (including 12 Cabinet Members) collected the nomination forms. On 12 July, Minister of Works John Magufuli was selected as the party's presidential nominee, and is most likely to win the presidential election.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, Amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala Kuondoa Makandokando na Kujenga Mshikamano.

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
  2. A

    Mwenyekiti wa CCM naomba unipendekeze kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

    MH. MWENYEKITI WA CCM TAIFA, Kwa unyenyekevu nakusalimu kwa salamu ya chama chetu ..... Kudumu Chama Cha Mapinduzi. MH. MWENYEKITI, Mimi leo nimeona ni vema nijitokeze kwako tu ili nikuombe wewe unipendekeze jina langu ili niweze kuwa KATIBU MKUU WA CCM TAIFA. Nimefanya hivyo kwa sababu...
  3. benzemah

    Rais Samia Aongoza Kikao Halmashauri ya CCM Taifa, Ikulu DSM Leo Novemba 29, 2023

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  4. chiembe

    Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  5. Fundi Madirisha

    Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
  6. peno hasegawa

    Katibu mwenezi CCM Taifa anaweza kufanya ziara za kikazi Mikoani bila kuwepo Katibu Mkuu Chogolo?

    Kuuliza sio ujinga. Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
  7. Allen Kilewella

    Ni wakati sasa Nape Nnauye kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Rais wa nchi anayetokana na CCM kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa ni utamaduni tu ndani ya CCM na wala si takwa la kikatiba la chama hicho. Kwa sasa Mwenyekiti wa CCM ni Samia Suluhu Hassan kutokana na mwana CCM huyo kuwa Rais wa Tanzania. Lakini kabla ya kuwa Rais, Samia alikuwa ni mjumbe tu wa...
  8. GENTAMYCINE

    Rais Samia ungemteua Jerry Muro kuwa Mwenezi wa CCM Taifa ungekuwa Umeupiga Mwingi zaidi

    Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema Cheche. Mtu mwingine ambaye nafasi hii ingemfaa sema tu kwa sasa ni Mbunge ni Livingston Lusinde Mtoto wa...
  9. J

    MNEC Mlao akitema cheche Misenyi, Kagera

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
  10. K

    Rais Samia ateuliwa kuwa mgombea wa Uenyekiti wa CCM

    Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa mwaka 2022 hadi 2027 na jina lake litapelekwa kwenye Mkutano Mkuu December 07 kwa ajili ya kupigiwa kura. Katika mkutano huo pia...
  11. saidoo25

    CCM iko wapi hadi Mawaziri wanampotosha Rais kiasi hiki

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  12. B

    Mpina ajitosa kuwania Ujumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara. Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya...
  13. I

    Maisha magumu mitaani

    Serikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka. Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka. Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya...
  14. W

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu afunga Mkutano Maalum wa CCM Taifa Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Wazee nchini kwa kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa wa kuleta maendeleo nchini kabla ya kufunga Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa...
  15. T

    Katibu Mkuu wa CCM taifa, Daniel Chongolo afanya mazungumzo maalumu na Joel Nanauka

    KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA. 28.03.2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na Ndg Joel Nanauka na kufanya naye mazungumzo katika ofisi Kuu za CCM jijini Dodoma. Katika mazungumzo...
  16. J

    BADO SIKU 6: KUELEKEA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM TAIFA APRIL 1, 2022

    KUELEKEA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM TAIFA APRIL 1, 2022 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa Karibuni Dodoma. #TukutaneAprilMosi #MkutanoMkuuMaalum #CCMImara #KaziIendelee
  17. BigTall

    CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  18. B

    Nukuu za Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa, Shaka Hamdu Shaka kwenye kongamano Arusha

    BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU MWENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTIMIZA SIKU 365 ZA UONGOZI NCHINI. #KaziIendelee #ChamaImara #SamiaMpangoMzima. End.
  19. Baba jayaron

    Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

    Asalaam Aleykum Mh. M/kiti, Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla. Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako...
Back
Top Bottom