emmanuel john nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

    Wakuu kama mnavyoona picha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nabii Lema: YUDA ni nani? Lema atengua kitendawili

    Nadhani ameamua liwalo na liwe. Alikuwa anamsasema Nchimbi Msikilize ============ Mwanasiasa Godbless Lema amesema baadhi ya viongozi nchini huanza kujikita katika siasa za uchaguzi mara tu baada ya uchaguzi kumalizika badala ya kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa wananchi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Rais Samia alinikabidhi mamlaka ya urais wakati anaenda nchini Urusi

    Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, Juni 5, 2026, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma. Katika maadhimisho hayo amesema; "Tulimwomba Rais Samia awe mgeni rasmi wa tukio hili muhimu la Siku ya...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama siyapendi naona ni ujinga tu

    Wakuu, Akizungumza kwenye msiba wa Kardinali Pengo Emmanuel Nchimbi Makamu wacRais wa Tanzania amesema yeye masuala ya kugombana kwa vyama anaona ni mambo ya kijinga
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Emmanuel Nchimbi wanaiendesha CCM kisayansi na kimkakati zaidi pengine kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanzishwa kwake

    Ukiachilia mbali vikao maalumu vya kimkakati kidigitali ambavyo hufanyika mara kwa mara nchini kote, mipango mingi muhimu na mikubwa zaidi ndani ya ccm hufanyika pia kianalojia kulingana na mazingira ya eneo husika kwa lengo la kukiimarisha, kukiboresha na kukisogeza karibu zaidi na wanachama na...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serukamba: Dkt. Nchimbi atakuwa msaidizi sahihi wa Rais Samia

    Mgombea ubunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Serukamba amesema, Rais Samia Suluhu Hassan alifanya uamuzi sahihi kumteua Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea wake mwenza wa urais. Serukamba amesema Dk Nchimbi atakuwa msaidizi sahihi wa Rais Samia mara baada ya uchaguzi...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Samia na Nchimbi kwa pamoja wanaenda kujenga taifa lenye umoja na mshikamano

    Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Cecilia Paresso ametoa wito kwa wananchi wa Rufiji kumpigia kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi kwani viongozi hao watapochanguliwa watajenga taifa lenye mshikamano, umoja na maendeleo kwa wote...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Mwalimu Nyerere aliniambia kama unataka kujifunza uzalendo kwa nchi hii, kaa karibu na Mzee Kawawa

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameeleza kuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa uhai wake alimwelekeza kujifunza uzalendo wa Taifa la Tanzania kupitia Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Rashidi Mfaume Kawawa. “Nilipochaguliwa kuwa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dk Nchimbi aahidi ujenzi wa masoko 13 na kurasimisha biashara ndogo Ubungo

    Harakati za ahadi zisizo wezekana kutekelezeka zinazidi kuongezeka kwa CCM! Ila wasituone Watanzania ni wajinga tunarekodi vyote na muda ukifika watakipata wanachostaili Mimi nipo siti ya mbele nasubiri muda ufike =================== Mgombea mwenza wa urais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Tutashughulikia kero kwa wakati

    Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama tawala, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa Serikali ijayo itaimarisha mfumo wa mawasiliano kati ya Wananchi na viongozi ili kuhakikisha kero na mahitaji ya msingi ya Wananchi yanashughulikiwa kwa haraka na kwa ufanisi. Akihutubia mkutano wa...
  11. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unajua nini kuhusu Dr. Emmanuel John Nchimbi?

    Dr. Emmanuel Nchimbi amewahi kushika nafasi mbalimbali za ajira na uongozi, nyingi zikiwa ndani ya serikali na chama. Mpangilio wake wa kazi unaweza kuonekana hivi: Ajira na Nafasi Alizoshika 1. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini – (2005–2015) Alichaguliwa kupitia CCM na kushiriki kikamilifu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi aongoza Kikao cha Sekretarieti ya maandalizi ya mchujo wa Wagombea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mkoani Dodoma. Kikao hicho kinachotarajiwa kuendelea hadi Julai 16...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yasitisha mikutano inayowahusisha wajumbe wa vikao vya wachujaji wagombea

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole familia ya Hayati Mzee Cleopa David Msuya

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole familia, ndugu na jamaa wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, mara baada ya kuweka mchanga na shada la maua kwenye kaburi wakati wa mazishi ya kitaifa ya Hayati Mzee Msuya, ambaye aliwahi...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Nchimbi: Rais Samia Hajigambi ana tabia kama ya Marehemu David Msuya

    My Take Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea. Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania Rais Samia Suluhu...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Dkt. Nchimbi

    MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

    Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe. Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi afunga kazi Ruvuma

    BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuwa chama cha wanachama, kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote na kuwa mtetezi wa wanyonge...
Back
Top Bottom