chama cha mapinduzi

 1. N

  Elections 2020 Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime ahamia Chama Cha Mapinduzi leo

  Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50. Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu. Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
 2. Boniphace Kichonge

  Watendaji Wakuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ziarani Mikoa Mbalimbali. Dkt Bashiru Yupo Mtwara, Humphrey Polepole Pemba

  Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
 3. N

  Kidumu Chama cha Mapinduzi

  CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NI BABA LAO Kama inavyofahamika na Watanzania wote, tarehe TANO ya mwezi wa PILI ya kila mwaka, Chama cha Mapinduzi (CCM) huadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Hii inatokana na kwamba Chama cha Mapinduzi kilizaliwa tarehe 05/02/1977 baada ya kuunganisha vyama viwili vya...
 4. imhotep

  Rais Magufuli atabiri anguko kuu la Chama Cha Mapinduzi

  By Peter Saramba, Mwananchi Mwanza. Onyo alilotoa Rais John Magufuli, ambaye ni mwenyekiti wa CCM, kwa viongozi wa chama hicho tawala kuwa wasipoangalia kinaweza kuanguka, linaweza kuwa tahadhari mahsusi wakati huu, baadhi ya wasomi na wanasiasa wana mawazo wamekubaliana na mawazo hayo. Rais...
 5. apolycaripto

  Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

  Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
 6. n00b

  Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

  Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
Top Bottom