kurejeshwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Masaa Matatu Kurejeshwa Mawasiliano ya Barabara ya Mtwara - Masasi Iliyokatika

    BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA - MASASI ILIYOKATIKA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi...
  2. JanguKamaJangu

    Bashungwa atoa saa tatu kurejeshwa mawasiliano ya Barabara ya Mtwara - Masasi iliyokatika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji katka eneo hilo. Bashungwa ametoa...
  3. M

    Mtanzania mwenye matatizo ya akili kurejeshwa nchini toka Afrika ya Kusini

    Ubalozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawashukuru kwa dhati watu wote waliotusaidia kuwapata ndugu wa Bw.Karim, Mtanzania mwenzetu mwenye matatizo ya akili hivi sasa, ambaye aliondoka nchini Tanzania mwaka 1998 kwa ajili kuja Afrika Kusini (Bondeni), kutafuta fursa za Kimaisha...
  4. Suley2019

    Miili ya Watanzania waliofariki Septemba 2023 kurejeshwa nchini kesho Januari 25, 2024

    MIILI ya Watanzania watatu waliofariki dunia Septemba mwaka jana, kwenye ajali ya moto Afrika Kusini, inatarajiwa kurejeshwa kesho nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwana, Watanzania hao waliopoteza maisha ni Said Mohames Kisarazo...
  5. K

    Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA ilikuwa inanuka rushwa, kipindi ambacho watu wengi walidhulumiwa kampuni au shares kwenye makampuni mbali...
  6. benzemah

    Mabaki ya miili ya Watanzania iliyopo Ujerumani kurejeshwa Tanzania

    Imechukua zaidi ya karne tangu mabaki ya miili ya Watanzania yahifadhiwe katika makumbusho mbalimbali nchini Ujerumani na sasa uamuzi wa kuyarejesha umefikia hatua nzuri. Baadhi ya mabaki hayo ni yake ya miili ya machifu na viongozi mbalimbali waliokuwa vinara katika vita vya Tanganyika dhidi...
  7. Erythrocyte

    Je, Sabaya naye kurejeshwa?

    Baada ya kumrejesha Makonda , Dr Hangaya akitetea uamuzi wake huo alisema kwamba , Makonda hakuwahi kuikosea ccm , " mligombana wenyewe kwa wenyewe huko " Sasa kwa vile Sabaya naye hakuwahi kugombana na ccm , bali aligombana na aliowateka kwa mtutu wa bunduki , huku akiweka namba za kizushi za...
  8. S

    Kurejeshwa kazini with check number

    Habarini wadau, Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo cha kazi. Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira...
  9. S

    Kurejeshwa kazini

    Wadau, nilipost habar ya kureshwa kazini kipindi cha nyuma. Kwa Sasa nimepata maelezo ya kunisisitizia nionapo tangazo niombe, Sasa nashindwa kuelewa sijui nimefanyiwa kiini macho au laa; kwa sababu ajira kutangazwa lazima kuwe na interview na mimi wananiambia niombe tangazo nilionapo. Tufanye...
  10. GENTAMYCINE

    Sina tatizo la hawa Wanafunzi 1,907 Waliozaa Kurejeshwa Mashule ila wasiwasi wangu mkubwa uko hapa...

    Je, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa? Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao...
  11. S

    Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini tafadhalini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  12. S

    Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  13. GENTAMYCINE

    Muda wowote tegemeeni Taarifa ya Kapombe na Hussein kurejeshwa Taifa Stars

    Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala. No Upumbavu na Uwendawazimu uliovuka mipaka kwa Wachezaji Wakubwa, Wanaocheza Michuano mikubwa ya...
  14. Crocodiletooth

    Ipo haja ya kufuatilia na kuirejesha trilioni 1.5 iliyoyeyuka katika awamu ile

    Wana bodi mnaonaje kuhusu suala hili? Hizi ni fedha nyingi mno kwa kweli zilizoibuliwa na mzalendo halisi na CAG wetu, Prof. Assad.
  15. MK254

    Machozi ya furaha na mikumbatio Kherson bada ya huduma ya treni ya kuunga Kyev kurejeshwa

    Urusi walipopiga mabomu na kuteka mji wa Kherson, walisema wameukomboa, ila baada ya wazalendo wa Ukraine kutembeza kichapo cha kuwaondoa, wananchi wamepokea na furaha sana maana ndio ukombozi haswa.. Tears as first Kyiv train arrives in freed Kherson Tears as first Kyiv train arrives in freed...
  16. chiembe

    Kwakuwa kesi ya Mbowe iliishia njiani na inaweza kurejeshwa, Kingai aisuke tena

    Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha. Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
  17. S

    Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

    Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi. Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
  18. S

    Ufafanuzi tafadhali juu ya kurejeshwa upya kazini

    Wadau habarini! nimepata barua jana toka utumishi; wamenipa check namba na kunishauri niombe sekretarieti ya ajira au taasisi yoyote inayohusika na ajira serikalini ili waweze kunipangia kazi kulingana na mahitaji yaliyopo. Swali je watakuwa na connection gani ya kutambua kwamba nimeomba? ili...
  19. S

    Kurejeshwa upya kazini

    Habarini, naomba kufahamu kwa anaerejeshwa kazini upya je anastahili sifa gani na je suala lake linaweza kushughulikiwa wastani muda gani? Swali hili liwaendee haswa wafanyakazi wa GSO Utumishi na wengine wanaofahamu.
  20. Pascal Mayalla

    Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
Back
Top Bottom