matengenezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania January Makamba alipewa tilioni 6 za matengenezo tanesco huyu wa sasa amepewa tilion ngap!?

    Alipo ingia makamba tuliambiwa ameomba tilion sita sababu matengenezo hayajafanyika kwa miaka mitano ya Magufuli. Huyu waziri wa sasa ameomba bei gani!?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  3. R

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Mitaa Wilaya ya Ubungo zimegeuka Machinjio ya vyombo vya moto, fedha za Matengenezo ziko wapi?

    Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu. Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wasabato wa Adventista na wasababto wana matengenezo ni wasabato wapi wenye kweli ya Mungu?

    Uhakika ni kwamba kande lipo tiyari kwa ajiri ya maandalizi ya sabato hapo kesho. Mkiwa katika shamrashamra za kuipokea Sabato Takatifu naombeni mtuweke wazi leo hii. Kwa miaka kazaa katika kujifunza kwangu maswali ya imani (Dini) Nimekutana na madhehebu mengi mnayofanana kama Mashahidi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji matengenezo, au uboreshwaji au ushauri wa website yake yoyote?

    Wakuu habari, Kama kuna mtu anahitaji uboreshwaji au ushauri au kuwekewa features mpya kwenye website yako au app unicheki nasaidia vitu kama hivyo hata bure. Kwa wale wanaohitaji kutengenezewa website mpya pia mnicheki tufanye kazi malipo sawa na bure tu. WhatsApp 0681564388 Asante sana!
  7. Madihani

    JamiiForums Tanzania CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni taarifa shida nini. Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya JamiiForums: Update Mpya Zilizogundulika

    Kwa muda huu, JamiiForums imekuwa ikifanya updates kwenye mfumo wao wa mtandao. Wakati wa mchakato huo, imegundulika kuwa baadhi ya vipengele vipya viliwekwa moja kwa moja “live” bila kupitia test/staging environment. Hali hii ilisababisha baadhi ya watumiaji kubaini mabadiliko yasiyo ya kawaida...
  9. Daby

    JamiiForums Tanzania Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

    Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa? Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza. Kama ni...
  10. Davao255

    JamiiForums Tanzania Huduma za matengenezo ya simu kutoka davao service center

    🔧 HUDUMA ZETU ZINAHUSISHA: ✅ Matengenezo ya simu aina zote (Android & iPhone) ✅ Kurekebisha simu zilizoharibika au kuzimika ghafla ✅ Kuflash simu ili kurekebisha matatizo ya mfumo (software) ✅ Kuondoa iCloud kwenye iPhone kwa usalama ✅ Kurekebisha na kubadilisha skrini zilizopasuka ✅...
  11. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya magari na upatikanaji wa spare parts: Je, ni magari yapi yana gharama nafuu kuyahudumia Tanzania?

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  12. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

    Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani Labda rangi kwenye majukwaa Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
  13. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Asfati au Lami: Tanzania Inatumia Zaidi Ipi, je ipi itaokoa matengenezo ya kila mara!

    Swali: Ningependa kujua kati ya Asphalt na Tarmac, ipi inatumika zaidi nchini? Na ipi ina manufaa zaidi kwa mazingira yetu, hali ya hewa, na gharama za ujenzi na matengenezo? Pia, je, kuna mpango wowote wa Tanzania kutumia teknolojia mpya kama barabara zinazozalisha umeme (solar roads) au...
  14. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

    Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi tunaingia gharama kubwa kufanya matengenezo ya magari yetu. Mpaka leo hii hakuna matumaini ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bunda: Hali ya Barabara inayokwenda TBC - Mnara wa Vodacom si nzuri, inahitaji matengenezo ya haraka sana

    Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara. Barabara hii, licha ya kuelekea kwenye minara ya Vodacom na ofisi za TBC pamoja na minara ya TBC, haijawahi kufanyiwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania TANROADS ifanyieni matengenezo barabara ya Shinyanga - Mwanza

    Jana Nilikuwa nikisafiri kutoka Dar to Mwanza for sherehe za Christmas & New year 2025 kwakweli safari ilikuwa nzuri sana tena nikakunjia njia ya Tabora baada ya kufika Manyoni; Shida ilianza baada ya kutoka Shinyanga especially pale junction ya Old Shinyanga road hadi Usagara Mwanza. Dah...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Tsh. Bilioni 18 zimehusisha matengenezo Miundombinu ya Mwendokasi (Ferry-Kimara, Magomeni-Morocco na Fire-Msimbazi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based Road Contract) uliosainiwa rasmi tarehe 07 Septemba 2018. Mradi huu ni...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo

    Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora ikiwemo Kata ya Tura Wilayani Uyui na maeneo mengine ya Manispaa...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ukinunua kitu used jiandae kwa hili

    Ukinunua kitu used jiandae kuingia gharama za kufanya matengenezo ambayo hujayasababisha wewe.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Eng Ruth: Tsh. Bilioni 3 zimetolewa matengenezo Barabara zilizoathiriwa na El-Nino Mkoani Njombe

    Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kushughulikia Barabara zilizoathiriwa na mafuriko/Mvua za El-Nino kwa mkoa wa Njombe. Fedha hizo zimetumika kuhakikisha kuwa miundombinu yote ya Barabara...
Back
Top Bottom