miundombinu ya barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TARSI endeleeni kutoa Mafunzo ya Usalama wa Miundombinu ya Barabara kwa Wahandisi: Prof. Shemdoe

    https://youtu.be/V8w-2LzbQSQ?si=EP9MVrdcvS8xs8jJ Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru na kuitaka taasisi ya Tanzania Road Safety Initiative (TARSI) kuendelea na utaratibu wa kutoa Mafunzo ya Usalama wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Rais aelekeza fedha za Muungano zikarabati miundombinu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais, Samia Suluhu ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia maadhimisho ya Sherehe za Muungano mwaka huu, zitumike kukarabati miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Ameyasema hayo, Jumatatu, Aprili 20...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yaishauri TARURA kufanya mgao wa rasilimali fedha ili kunufaisha maeneo yenye uhitaji wa miundombinu ya barabara

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso ameipongeza Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kujenga miundombinu ya barabara iliyookoa maisha ya wananchi katika maeneo mbalimbali ambayo awali kuharibika kwa miundombinu hiyo kulisababisha vifo vya...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kata ya Nyakasasa wasema wamefurahia maboresho ya Barabara yaliyofanywa na Shigongo

    Wananchi mbalimbali wa Kitongoji cha Mtukura - Iriba, Kijiji cha Isenyi, Kata ya Nyakasasa wakielezea jinsi maboresho ya miundombinu yalivyokuwa na faida kwao kwa kuwa ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa muda mrefu. Barabara hizo zinaendelea kufunguliwa kwa kutumia mitambo ya Mbunge wa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TARURA Dar yaendelea na ujenzi wa miundombinu ya barabara iliyosimama kutokana na mvua

    Imeelezwa kwamba uwepo wa mvua nyingi jijijini Dar es Salaam imepelekea ujenzi wa barabara katika maeneo yenye zabuni kusimama kufanya kazi katika kipindi cha miezi miwili. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Geofrey...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ilani ya CCM 2025-2030: Imesahau Changamoto za Miundombinu ya Barabara zilizotajwa kwenye ilani ya CCM 2020-2025.

    Nimeisoma ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 na kuna mambo mengi yanayoleta maswali, hasa kuhusu hali ya miundombinu nchini. Kwa mfano, mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Sanya Juu, wilaya ya Siha hadi Longido, umbali wa kilometa 65, haonekani kwenye ilani hii mpya. Hili ni jambo la...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya Barabara na changamoto ya umeme ni kero Mtaa wa Mganza – Morogoro

    Juzi nilikuwa Morogoro kwenye Mtaa wa Mganza, Kata ya Mindu, nilikutana na moja ya changamoto ambayo ukweli inawaumiza Wakazi wengi wa hapo. Nilichokiona ni kuwa Wananchi wengi wa hapo wanakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya Barabara hali ambayo imesababisha athari kadhaa hasa kwa...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kilwa: Tanroads yaanza kazi urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja iliyoathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya

    Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya. Wakizungumza wakati wa ziara ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Silent Inn mpaka Freedom Lodge Sakina Arusha ni Janga

    Barabara ya Silent Inn kuelekea kanisani Kiranyi na freedom lodge Sakina Arusha,iko kwenye hali mbaya mkandarasi aliyepewa kazi ya matengenezo anasua sua sana tangu mwaka jana ameshafanya kazi ya mitaro lakin amelundika vifusi vikubwa barabarani kiasi kwamba njia hii imeharibika pakubwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro: Barabara ya Kisaki-Mikese ni mbovu, inasababisha changamoto kwa wanaoitumia

    Barabara ya kutokea Mvuha kupitia Kibungo Chini Mission kuja mpaka kutokea eneo la Mikese imekuwa kero kwa kila raia anayeitumia, na ajabu ni kuwa barabara hii imekuwa hivi kwa muda mrefu na hakuna anayejigusa. Cha ajabu ni kuwa kwa sisi wachimbaji wa mawe kila gari tunachangia Serikali kiasi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS yasema imeimarisha udhibiti wa uzito wa magari kulinda miundombinu ya barabara na kufanya barabara kudumu muda mrefu

    Meneja wa Mizani wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Leonard Mombia ameeleza umuhimu wa kutumia mizani katika kudhibiti uzito wa magari kama njia ya kulinda barabara na miundombinu mingine nchini. Akizungumza kutoka Makao Makuu ya TANROADS, Mha. Mombia amesisitiza kuwa, udhibiti...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Miundombinu ya Barabara na Madaraja: Wanasiasa na Hila za Kukarabati Kipindi cha Uchaguzi

    Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka kuonyesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Kwa kawaida, kuna tabia za viongozi fulani —...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Atoa Maagizo ya Kuboresha Miundombinu ya Barabara Kipande cha Ubungo Hadi Kimara Kuepusha Msongamano

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu mradi wa upanuzi wa miundombinu ya barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT)Awamu ya Kwanza kipande cha...
  14. C

    JamiiForums Tanzania KERO Kata ya Kibata wilaya ya Kilwa ina miundombinu ya barabara mibaya na kupelekea maisha kuwa magumu

    UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Barabara ya lami ya KM 7.7 yenye thamani ya Tsh Bilioni 9.3 kuunganisha mikoa ya Singida-Simiyu-Arusha

    Wakazi wa Wilaya ya Iramba na Mkalama, Mkoani Singida, wanatarajia kunufaika na barabara ya kiwango cha lami inayojengwa kuunganisha mikoa ya Singida, Simiyu, hadi Arusha. Mradi huu, wenye thamani ya shilingi bilioni tisa, umefikia asilimia 65 ya utekelezaji. Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
  17. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kasi hii ya kurekebisha miundombinu Mbeya, tunatamani Uchaguzi uwe kila Mwaka

    Hizi chaguzi zina raha yake jamani, huku Mbeya karibia kila Mtaa utakaopita unakutana na Magreda yakiendelea na kazi ya kurekebisha Barabara. Hii huwa inatokea kila tuingiapo kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi tofauti na kipindi lingine. Mwanongwa natamani uchaguzi uwe unafanyika kila baada...
  18. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA Tabora karabatini barabara ya Mwinyi, msisubiri mpaka maafa yatokee

    Wanajamvi ngoja nilibwage, Barabara inayotoka Kwenye mataa jirani na Stendi ya Mabasi kuelelekea Uwanja wa Alhasan Mwinyi ni imeharibika kwa kuwa na mashimo jambo ambalo linaleta adha kwa watumiaji Nimeshuhudia mara kadhaa watumiaji wa ile barabara ambao wengi ni waendesha baiskeli wanaokuwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aidhinisha zaidi ya billioni 39 kwa ajili ya miundombinu ya barabara Ilala

    RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza AfDB kwa kuwezesha mkopo wa Tsh. Bilioni 630 za ujenzi Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay (km 66)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa Mdau mkubwa wa sekta ya Miundombinu nchini ambapo wamewezesha mkopo wa Shilingi Bilioni 630 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mbinga –...
Back
Top Bottom