tumia

Tumiã River is a river of Amazonas state in north-western Brazil.

View More On Wikipedia.org
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON. Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa. Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  3. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Usisubiri mpaka brake zi fail kabisa tumia brake fuel tester

    🛑 USISUBIRI MPAKA BRAKE ZI FAIL! 🛑 Linda maisha yako na ya abiria kwa kupima ubora wa mafuta ya breki kwa haraka na usahihi. ✅ Hupima kiwango cha unyevu kwenye Brake Fluid ndani ya sekunde chache. ✅ Rahisi kutumia. ✅ Inafaa kwa magari mengi yanayotumia DOT 3, DOT 4 na DOT 5.1. ✅ Chombo muhimu...
  4. nipo online

    JamiiForums Tanzania Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

    Siri ya mafanikio ni kuhakikisha unabana matumizi kwa nguvu zote, usitumie utumie pesa bila utaratibu, kabla hujanunua kitu jiulize hili swali, hivi nisiponunua nitakufa? Kama jibu hapana, achana na hiyo kitu. Wanauchumi watanielewa. Kila 20000 tumia sh 400 tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Urojo Mtaaamu, tumia mbinu hii

  6. A

    JamiiForums Tanzania Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  7. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Kupona Bawasiri ya muda mrefu tumia bawasiri fluid na bawasiri powder

    NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER ⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids). FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa au harakati unaweza shangaa we ndo mtaji wa Wengine! Tumia akili zenu vema

    TANZANIA BWANA -Wanasiasa wanatumia matatizo ya wananchi kujipatia Pesa! -Machawa wanatumia wanasiasa wanaotumia matatizo ya wananchi kujipatia, nao kujipatia Pesa! -Wanaharakati baadhi nao wanatumia matatizo ya wananchi na wahanga baadhi kujipatia fursa! Usimuamini sana mtu! Ukiangalia Kwa...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Changamsha bongo: Wasomi, unaweza tumia njia gani kutenganisha huu udongo?

    Ukiambiwa utenganishe huu udongo utatumia njia gani?
  11. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako(value)

    Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako. Vijana wengi wanatumia mitandao ya kijamii kufutilia thamani za wengine kuliko kujenga za kwao hili nao wafutiliwe na wengine wajifunze maisha kutoka kwao. Kama kijana kitu cha kwanza badili mtazamo juu ya maisha yako, unataka kujenga kitu gani...
  12. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Je kuna raia wengine nje na watu wa africa mashariki wanao tumia JF??

    Naona kuna majukwaa ya zambia sijui zimbabwe kwene communities lakini sijawai ona comment au michango ya hoja ya hawa watu nje n tz n kenya?? Je kuna hap member nje na africa mashariki
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tumia mfumo ule ule uliojenga jambo hilo kwao kulipinga kama uko kinyume nao

    Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI Falsafa Kwa falsafa. Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao. Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Uzi wa nyimbo zilizo tumia AI

    Afichaye dhambi zake
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu, chura aweza tumia macho ya tai?

    Salaam! Ikiwa msaidizi mwenye macho ya tai ameona umuhimu wa chura kupewa macho ya tai Ili kuona sawa sawa, Kitaalamu hili linawezekana? Karibuni 🙏
  16. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tumia mbinu hii kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara Kumi zaidi ndani ya siku 30

    Je Ungependa kupandisha mauzo Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30 Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe Jinsi Ya Kufanya Hivyo Twende pamoja Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo Kuna Siri Inatumiwa Na kampuni Chache Sana Kupandisha Mauzo Ya Kampuni zao Kama Vile...
  18. Bullshit

    JamiiForums Tanzania N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

    Ebu jaribu kunielezea ili nielewe.
  19. canular

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
Back
Top Bottom