Makonda anaendesha magari mpaka ya bil 1.7 huku akijinasibu kupambania michezo na timu ya taifa ambayo jezi zake zina kiwango hafifu kama za friends corner ya Manzese.
Anapambana kiwanja cha Arusha kikamilike kwa wakati.
Vipi kuhush miundo mbinu? Babati kupitia Katesh mpaka roundabaout ya...
Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya.
Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya.
Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya.
Hii la...
Binadamu ndiye kiumbe mwenye ujasiri wa kukusomea kwa sauti ukurasa mmoja wenye ushahidi wa aibu yako hadharani lakini hawezi kabisa kufungua kurasa nyingi zenye fedheha kwenye kitabu chake mwenyewe.
Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi nguvu ya kutaka kumteka dereva wa kampuni kubwa kabisa ya usafirishaji ? Halafu awe dereva tuu ...
Yanga watafungiwa kucheza mechi bila washabiki uwanjani kwa kosa hilo wewe mshabiki wa Simba huyo mshabiki ni wa hovyo sana pia inawezekana akawa mshabiki wa Simba alievaa jezi ya Yanga inatakiwa afuatiliwe sana kumjua vizuri zaidi.
Ikumbukwe hao wote ni makada na watu wa kupokea maagizo tuu na maelekezo. Wengi wao wamepachikwa kwa utashi na shukrani kutoka namba moja pale kwenye wingi wa gogo, na watu ambao kumbukumbu zimeshaanza kuwaacha, sasa msije shangaa mtu anatoa siri za aliye mtuma.
Kiuhalisia wote wanaujua uwezo...
Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao
Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
Dar es salaam, ukipita pale Jangwani unaona bodaboda ametoa mboo yake anakojoa, hajali nani ni nani, hajali watoto wa kike wa shule ya zanaki wala jangwani.
Ukienda maeneo mengi utaona wanaume wanatoa mboo, anakojoa na akimaliza anakunguta kunguta, unajiuliza hivi haoni aibu na fedheha, sasa ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu.
Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
JIFUNZE KUTAFASIRI MAZINGIRA,ISIWE NI KIPINDI CHA KUTOKA WEWE UNANG'ANG'ANIA KUBAKI ✍️
WENGI TULIZAMISHA KUBAKI SEHEMU TUNAZOTAKIWA KUTOKA TUKAISHIA KUPOTEZA MUDA NA HESHIMA 😔
MAZINGIRA HUZUGUMZA NA UKIJIFUNZA KUYAELEWA UTAEPUKANA NA TATIZO LA KUPOTEZA MUDA ✍️
MUDA WA KUONDOKA UKIFIKA...
Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
aibu
asilimia
ccm
demokrasia
jaji
jaji warioba
katiba
katiba mpya
kauli
kuhusu
makubaliano
mchango
mkutano
mpya
muhtasari
siri
uchaguzi
uchambuzi
uhaini
ukweli
ukweli wa
ushindi
vifo
vifo vya uchaguzi
wimbi
Kwa hatua aliyofukia Lisu akiachiliwa au akinyongwa Bado credits zote zinarudi kwake na chama chake maana wamechagua haki na ukweli
Lakini waswahili wanasema heri nusu shari kuliko Shari kamili au heri aibu kuliko fedheha
Hamna haja ya kumtumia Lisu kama kete ya kulazimisha maridhiano...
Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu.
Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka...
Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye alitoa hati za kimataifa za kukamatwa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa...
Wana-JF salam,
Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars) yenye nembo ya "Visit Tanzania".
Kurasa nyingi za udaku, huku zikipewa nguvu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.