kahama

Kahama is a town in north-western Tanzania. The town serves as the headquarters of Kahama Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dkt. Francis Daudi Mlacha aapishwa kuwa DC Kahama, RC Mhita amkabidhi vitendea kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Dkt. Francis Mlacha, ameapishwa mapema leo katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Baada ya kiapo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amemkabidhi rasmi vitendea kazi tayari kwa kuanza majukumu yake ya kuwatumikia...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya ardhi kahama yarahisisha upatikanaji wa hati

    • Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi. Wito huo umetolewa na Afisa...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya ardhi Kahama yarahisisha upatikanaji wa hati

    • Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijiti wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi. Wito huo umetolewa na Afisa...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada

    Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar. Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi. Mahitaji yangu: Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights. Njia gani ni...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma Labaini Raia Aliyedhaniwa Kutekwa Alikimbia Madeni na Kwenda Kahama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa. Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabasi ya Kampuni ya Ruksa Class ya Kahama-Mpanda-Katavi yana Mende wengi sana

    Kampuni ya mabasi ya RUKSA CLASS inayofanya safari za Kahama–Mpanda ina changamoto ya mende wengi kwenye baadhi ya mabasi yake. Kwa mfano, basi lenye namba T 237 DYM linalofanya safari ya Mpanda–Kahama saa 12 jioni lina mende wengi wanaouma abiria. Mende hao wanaonekana hata kwenye chupa za...
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Ni takribani siku tano sasa Mji wa Kahama hakuna huduma ya maji

    Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Ni takribani siku tano sasa hakuna huduma ya maji, hasa katika Mtaa wa Majengo, Kahama, ambako kuna idadi kubwa ya wakazi. Licha ya kuwepo kwa baadhi ya visima vya watu binafsi, maji yake si salama kwa matumizi. Hata baada ya kuoga, baadhi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya tray la mayai ya kuku wa kisasa (layers) Kahama ni shilingi ngapi?

    Habari za mda huu wanajamvi, samahani ninauliza Bei ya tray moja ya mayai Kwa kahama, kama Kuna mtu anafahamu?
  9. Five55

    JamiiForums Tanzania Kahama: Huenda hii ikawa ni miongoni mwashule nzuri zaidi Tanzania ya binafsi yenye ada nafuu lakini haikosi top 10 za Kitaifa || Tunaupongeza uongozi

    Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za kipekee zinazojenga msingi thabiti wa nidhamu, maarifa na mafanikio ya kudumu. 11 Septemba 2026 — Shule...
  10. O

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Ndegesera–Mwime–Machimboni, Manispaa ya Kahama ni mbovu sana

    Barabara ya Ndegesera–Mwime–Machimboni katika Manispaa ya Kahama imekuwa kero kubwa kwa wananchi kutokana na hali yake kuwa mbaya kwa muda mrefu. Ubovu wa barabara hiyo unasababisha usumbufu na changamoto mbalimbali kwa watumiaji, hususan kina mama wajawazito, wagonjwa na waendesha vyombo vya...
  11. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manispaa ya Kahama, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilango hakuna ofisi ya Kijiji

    Watanzania wenzangu, inasikitisha kuona kuwa katika Wilaya ya Kahama, ambayo inakusanya mapato kwa kiwango kikubwa, bado kuna baadhi ya maeneo ya kiutawala ambayo hayana ofisi za viongozi wa serikali za mitaa. Kwa mfano, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilago, hakina ofisi ya kijiji. Hali hii...
  12. O

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za rushwa na ukiritimba wanaokutana nao Wajawazito katika Kituo cha Afya cha NYASUBI , Kahama

    Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo. Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na: Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu. ABO/Rh –...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KAHAMA NI MJI WA HOVYO SANA.

    Kahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao. Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwamba Kijiji Cha Katoro Kitaipita Manispaa ya Geita na kuwa Mji Mkubwa kama Kahama ilivyoipiku Shinyanga?

    Naona kelele zimekuwa nyingi sana kuhusu hicho Kijiji Cha manamba wa migodini ambapo wanadieiki kusema ni Mji umeipiku Hadi Geita. Hata kama mnasifia acheni mzaha na kuweni na Heshima.
  15. mamamzungu

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi nzuri ya nguo au home decoration kwa Kahama

    Hello wapendwa Nataka nihamie Kahama sasa nataka kujua kama Biashara gani iko poa kwa Kahama Mimi nina uzoefu wa nguo za kike na watoto ndio nayoifanya kwa sasa hapa Dar es Salaam ila sasa malengo yangu sio kuuza nguo ni kuuza home decor na vitu vidogovidogo vya matumizi ya nyumbani sijajua...
  16. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mapato yanayotokana na mgodi uliopo Mwime hayajawahi kuwasilishwa

    Tunaomba mamlaka husika na JamiiForums kutusaidia kufuatilia suala hili. Kwa takribani miaka mitatu sasa, Mwenyekiti na Mtendaji wa Mwime, Manispaa ya Kahama, hawajawahi kuwasilisha taarifa za mapato yanayotokana na mgodi uliopo katika eneo letu. Wananchi tunaeleza kuwa kila duara linalofika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na Kahama , Ni maeneo gani kwa kasi ya ukuaji wake unaona yanaenda kuwa mikoa miaka ijayo ?

    Sijui vizuri mambo ya upangiliaji wa mikoa ila nahisi Kahama ina uwezekano mkubwa wa kuwa mkoa Ni maendeo gani mengine unayaona yana uwezekano mkubwa wa kuwa mikoa
  18. Kijana asiye na makuu

    JamiiForums Tanzania Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

    Nyege mbaya asee nimeamka asubuhi na nyege balaa nikaingia mtandaoni nikatafuta Malaya tukakubaliana 100k body to body massage na sex Nikamuelekeza fresh akaja picha linaanza kajichora tattoo kinoma nikasema sio mbaya dah akanipiga massage ya uongo na Kweli na mafuta ya minara hapo tukaanza...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kahama: CCM, yaanza kuvunja Vizimba vya CHADEMA

    Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena. Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia. Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, hii ni hali ya mahudhurio ya wafuasi wa CHADEMA Kahama?

Back
Top Bottom