bugando

Bugando Medical Centre (BMC) is a tertiary care medical facility owned by the Episcopal Conference of the Catholic Bishops of Tanzania. The hospital is operated in collaboration with the Tanzania Ministry of Health and Social Welfare.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando: Lifti zetu hazina Changamoto kama inavyodaiwa

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya lifti katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando iliyopo Jijini Mwanza, hoja hiyo imejibiwa na uongozi wa Bugando. Kusoma zaidi kuhusu Hoja ya Mdau Bonyeza hapa - Uongozi wa Hospitali ya Bugando chukueni hatua za...
  2. Wizara ya Afya Tanzania

    Baltazari afikishwa hospitali ya Bugando kwa matibabu

    Baltazari Thobias ( 18) kutoka kijiji cha mtoni wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza afikishwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya uvimbe ambao amekua nao kwa muda wa miaka minne sasa. Akiongea baada ya kumpokea, Daktari Bingwa wa magonjwa ya uso...
  3. Roving Journalist

    RPC Simiyu asema wanafanya uchunguzi aliyefariki akiwa chini ya ulinzi, ndugu wapeleka mwili Bugando

    Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio la kifo cha Limbu Kazilo, Mkazi wa Mtaa wa Kilulu, Wilaya ya Bariadi ambaye inadaiwa amepoteza maisha akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi hilo ambapo ndugu wa marehemu wanadai kifo hicho kimesababishwa na kipigo alichokipata kutoka kwa Askari...
  4. BARD AI

    Bugando: Kati ya Wagonjwa wa Afya ya Akili 5,000 wanaofika Hospitali, 500 wanahitaji Matibabu Maalumu

    Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka. Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
  5. Roving Journalist

    Dkt. Massaga: Uzalishaji Maji tiba Hospitali ya Bugando kuokoa fedha ambazo zingetumika kununua maji tiba kutoka sehemu nyingine

    Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit). Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
  6. G

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza...
  7. comte

    Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
  8. Torra Siabba

    DOKEZO Hospitali ya Bugando hamuwaoni Manesi wanaoacha kuhudumia Wagonjwa na kuwa bize na Biashara kwa Wajawazito?

    Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu. Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa...
  9. K

    Hongera kwa Mkurugenzi Mkuu na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando

    Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center. Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi. Mimi binafsi...
  10. BARD AI

    Watoto wote wanaozaliwa Hospitali ya Bugando kupimwa usikivu

    Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC) imeanzisha utaratibu wa kuwapima usikivu watoto wote wanaozaliwa hospitalini hapo kwa lengo la kubaini na kudhibiti tatizo la usikivu katika hatua ya awali. Akizungumza leo Machi 3, 2023 wakati wa maadhimisho ya 'Siku ya Usikivu' duniani ambayo...
  11. R

    Oral Interview Bugando haikutenda haki

    Jamani tendeni haki. Kweli hakuna hata msichana hata mmoja aliyeshida kweli? Bugando tendeni haki! Mh Ummy umeona kasoro za kuwashirikisha watu wanaojuana kwenye taasisi kufanyisha Interview. Inabidi wawe watu wasiowafahamu watainiwa. Hapa Bugando waliofanyisha interview ni walimu wenye ndugu...
  12. Ta Muganyizi

    Bugando wanaleta mzaha kwenye afya za wa Wagonjwa wa Figo. Dr. Gwajima fuatilia hili

    Imekuwa mazoea sasa ambapo watu wanaopata huduma ya Dialysis pale Bugando kushindwa kufanyiwa huduma kwa kuambiwa kuwa vifaa havipo au havijafika. Wagonjwa wa Dialysis idadi yao inajulikana na forecast inafanywa kwa kujua mahitaji lakini inafikia sehemu wagonjwa mpaka wanalala kwenye chumba cha...
  13. Jamii Opportunities

    Director Of Nursing Services at Bugando Medical Centre

    Bugando Medical Centre is a consultant and teaching hospital for the Lake and Western zones of the United Republic of Tanzania. It is situated along the shores of Lake Victoria in Mwanza City. It has 950 beds and over 1300 employees. It is a referral centre for tertiary specialist care for eight...
  14. beth

    Mwanza: Rais Samia asisitiza Tafiti kubaini chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati...
  15. Shujaa Mwendazake

    Mitungi ya Oxygen yawasili Bugando; tusichoke kupaza sauti kuishauri, kuipongeza na kuikosoa Serikali

    Hapo ni Bugando hospital,imeonekana mitungi inayosemekana ni ya Oksijen ikishushwa. Ikumbukwe wiki hii nzima kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni kuhusiana na ukosefu wa au upungufu wa mitungi hiyo katika hospitali hii na nyinginezo. Ni imani yetu Serikali imelisikia hilo na kulitatua haraka...
  16. comte

    SOS: Kaimu Mkurugenzi wa Bugando ujiuzulu kwa uzembe na mapuuza

    Jana kaimu mkurugenzi wa Bugando amepinga MWANO kuwa anaupungufu wa mitungi ya kutunzuia na kugawia hewa ya oksjeni kwa wagonjwa ambao kwa madai yake anasema wameongezeka. Mkurugenzi huyu akubali kuingizwa kwenye orodha ya wauwaji kwa sababu zifatazo:- 1. kama mwaka mmoja uliopita akikataa...
  17. TheDreamer Thebeliever

    #COVID19 Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

    Habari wadau. Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen. Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen. Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa...
  18. Uzalendo wa Kitanzania

    TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

    Mwendazake alihudumu akiwa Daktari Bingwa wa Mishipa ya Fahamu & Ubongo (Neurologist) Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando
  19. Fohadi

    Msaada: Nahitaji kuifahamu Bugando Secondary School iliyopo Geita

    Habarini wakuu, Naomba kuifahamu kiundani hii shule. Je, mazingira yake yapoje na je ni rafiki kwa kusoma hasa michepuo ya sayansi? Vipi kuhusu upatikanaji wa hostels kwa wanafunzi? Historia ya shule, imeanzishwa lini na perfomance-wise ikoje? Asanteni.
Back
Top Bottom