kusaidiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Burundi kutazamwa kwa jicho la huruma na kusaidiwa

    Wakuu kwa hali ilivyo naona kabisa Burundi ni taifa lililofeli kabisa kiuchumi. Ndani ya wiki hizi 2 nimeona raia wa Burundi wakifukuzwa nchini Kenya, Tanzania na Zambia kwa mamia. Yaani jamaa hawatakiwi. Kwa mfano juzi Zambia imewarudisha makwao wahamiaji haramu 143 ambapo waburundi ni 133...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Stadi:-Jinsi ushirika mdogo unavyoweza kusaidiwa na serekali,katika kufikia malengo ya wanaushirika.

    Leo, tumetuma kontena lingine kutoka Malawi🇲🇼 hadi Ulaya. Limejaa vikapu vyetu vilivyotengenezwa kwa mikono, viti na vipande vingine vilivyotengenezwa na Akhada Baskets. Kila wakati tunapakia kontena, tunakumbushwa jinsi tulivyofika. Kuanzia kufanya kazi na mfumaji mmoja tu hadi sasa kuona...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Jamii ya binandamu kusaidiwa kufikiri na akili mnemba(AI) siyo tu ni suala la maendeleo na teknolojia ila ni janga jingine kubwa la kibinadamu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo. Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
  5. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania CCM haitaanguka bila kusaidiwa

    Shalom! CCM haitaanguka yenyewe, Bila kusaidiwa kuanguka. Tusipowasaidia, wataendelea kutawala. Na kwa uzoefu tulionao, hawajali watu wanawaza nini ili washinde. Watafanya watakacho ili waendelee kushika dola. Walivyoweza kujipanga kwa nguvu baada ya sakata la Lowassa mwaka 2015, tulipaswa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira ametudanganya. Samia Kajiteua mwenyewe akisaidiwa na Kikwete sababu hatujui wana CCM

    Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea. Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!

    Wanabodi Merry Chritmas Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter. Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kujifunza kila siku hicho unachokifanya ili hata ukiulizwa unahitaji kusaidiwa nini ili kuikuza usibabaike kujibu

    Kwanza kabisa ninampongeza Waziri wa Kilimo Bashe kwa kuguswa na kijana wa kitanzania anayefanya kilimo cha kitunguu na kutaka kumsaidia. Ubarikiwe sana Bashe. Vijana kama hawa wanahitaji kusaidiwa sana mitaji. Ila nimesikitika kijana kushindwa kujua nahitaji nini hasa ili kilimo chake kipige...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tuna Tatizo la Uwezo wa Uendeshaji Uchumi Wetu?. TAZARA Asante Mchina, Vipi Mingine? Hatutafika Mahali Tukahitaji Kusaidiwa Hadi Ikulu Yetu?.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

    Ndugu zangu Watanzania, Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa. Leo...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Raisi akiingilia suala la Dube kama alivyofanya Kwa Fei Toto, Azam waliowahi kusaidiwa tatizo linalofanana wana ujasiri wa kumgomea ?

    Kwa Fei ilikubali, kwa Dube itakataa ?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

    Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kuhusu biashara ya usafi majumbani na maofisini

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

    Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi. kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

    Wanabodi hii Makala ya Nipashe ya leo 11/06/2023 Makala ya leo ni wito kwa Watanzania wenzangu, tujifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani ambayo wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Hivyo hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote, taasisi yoyote, ama nchi yoyote kusaidiwa...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
  17. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Kama umekutana na shida ya kusaidia au kusaidiwa pita hapa

    Suala la kumsaidia mtu au watu katika maisha ni jambo la kawaida kwa wanadamu, yaani ni kawaida kwa wanadamu kusaidiana. Kuna baadhi ya watu tendo la kumsaidia mtu au kitu kwao ni kama tendo la ulazima, kwani hata ujizuie vipi lakini msukumo unaotoka moyoni ni mkubwa. Msukumo huo unaweza...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mgeni Mkubwa akitua tuongee nae Kiingereza cha Kuzungumza na siyo cha Kuandikiwa au kusaidiwa na Mkalimani

    Si mnasema miaka ya nyuma mkiwa katika NGO's kama Watendaji mlikuwa mkiishi na kutembea mno Ulaya na Marekani? Sasa Mgeni Mkubwa wa Wiki hii akitua tu tunataka tuzungumze nae Kiingereza bila msaada wa Script, Kuandikiwa na Mkalimani Kukutafsiria.
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Atakaye kuumiza ni yule aliyepo hapo kwa kusaidiwa na uliye msulubu.

    Eneo lolote la kazi hasa uwapo na mamlaka ogopa sana kumtenda isivyo aliye chini yako kwa sababu kisasi hakitatoka kwake bali walipa kisasi ni wale waliowezeshwa kuwa hapo na uliye mtenda. Kosa hilo alipata kulifanya mfu mmoja na majibu yake ni bayana ndiyo yaliyo sababisha yaliyomo. Hivi...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

    BRIGHTING AND GENIUS EDITORS TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: Business Proposal/Plan Katiba za Vikundi Cover Letter na CV/Resume Website Content Barua za Wadhamini Study Plan na Statement of Purpose Personal Statement Mikataba LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: 9. Thesis...
Back
Top Bottom