job


 1. S

  Kazi/Ajira masaa ya ziada

  Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu. Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
 2. A

  Job opportunity!!!

  Vacancy announcement!!! Translators/transcribers needed in Moshi. kindly view the attachment for the job description. Asante sana. Vacancy announcement Position: Transcriber – Translators Looking for efficient, reliable, and conscientious transcriber-translators for very long Kiswahili and...
 3. D

  WAHUDUMU WA MASSAGE wANAHITAJIKA DSM

  SIFA ZA WAOMBAJI 1. AWE MSICHANA KUANZIA MIAKA 18 hadi 30. 2. AWE ANA UJUZI WA MASSAGE NA UREMBO (BEAUTY THERAPY) 3. AWE MKAZI WA DAR ES SALAAM, IKIWA ANAISHI ILALA ATAPEWA KIPAUMBELE. 4. AWE TAYARI KUFANYA KAZI BILA MSUKUMO. MSHAHARA KWA MWEZI NI TSH 200,000/= CHAKULA CHA ASUBUHI NA MCHANA...
 4. J

  MTANGAZAJI WA BURUDANI/UCHAMBUZI

  Kidani Stars, Ni Televisheni Ya Mtandaoni (Online Tv) Inahitaji Kijana Mwenye Kipaji Cha Utangazaji Wa Habari Za Burudani (Entertainment) Na Uchambuzi Wa Habari Za Kila Siku (Current Affairs) Waishio Dar Es Salaam. WENYE SIFA ZIFUATAZO: UWEZO WA KUTANGAZA HABARI ZA BURUDANI NA KUFANYA MAHOJIANO...
Top