mafundi

 1. idaz

  Msaada: Mafundi bora kabisa Dar es Salaam wa kunyoosha na kupiga rangi

  Habarini? Gari yangu imepata michubuko kwenye upande wa nyuma na kwa pembeni, nahitaji kurudia rangi sehemu hizo tu na rangi iwe inashahabiana kwa walau 80% au zaidi hapa Dar es Salaam, kwa anayefahamu mafundi bora wanaoweza kuifanya hii kazi anisaidie walau contacts au location. Shukran!
 2. M

  Mafundi wa kupiga nyumba plaster (lipu)

  Nataka kupiga nyumba plaster (kwa nje tu) lakini sijui bei gani? Mchanga wa kutosha nyumba nzima hupo na simenti mifuko 12 (yaani 3 kila upande) hipo. Sasa mimi hela yangu ya kuungaunga. Mafundi mtanifanyia bei gani kwa mifuko hiyo 12 ya cement. Mimi Niko Dar
 3. K

  Naulizia hiki kifaa kwa mafundi umeme

  Kwa wale wajuzi eti kuna kifaa ambacho kinaweza kudivert umeme kila mpangaji akawa anatumia umeme wake na ukakata kivyake tofauti na kuweka luku?
 4. No retreat no surrender

  Mafundi makochi Mungu anawaona!

  Unakuta kochi limemaliziwa vizuri linang'aa na kitambaa safi cha nguo, turubahi, au ngozi. Utadhani limetengenezewa Ulaya! Utapigwa hela ndefu seti 1.5million mpaka 5m. Sasa lipeleke nyumbani watoto waanze michezo yao! Utasikia mara ndani mbao zinaanza kukatika mara ukikaa unadumbukia kwenye...
 5. R

  Mafundi umeme njoeni tupeane michongo na changamoto zetu

  Habari, Kama title inavyojieleza, Je? Nichangamoto zipi unakutana nazo katika harakati zako za ufundi. Mimi nakumbuka nilikuwa nafanya kazi shirika moja kabla ya kuacha nilikuwa nalipwa 2k kwa mwezi.
 6. Mr mussa

  Natafuta sehemu ya kujitolea katika muda wa ziada. Fani ni IT pamoja na sehemu za mafundi wa PC na simu

  Kwanza naomba niwape pole kwa mapambano ya kila siku kuhakikisha maisha yanaenda. Mimi ni mwanafunzi wa Degree chuo kimojawapo hapa Dar katika course ya IT. Katika maisha kila mtu anakuwa na lengo lake kuwa baada ya muda fulani nataka kuwa katika level hii ya maisha. Personally naomba msaada...
 7. K

  Msaada: Mafundi wazuri wa Nissan X-Trail

  Wanabodi, Leo asubuhi wakati nawasha gari yangu ya Nissan X Trail ikatoa muungurumo usio wa kawaida yake. Muungurmo wa gari uliotoa ni kama ule wa magari ya mashindano au kama ule unaofanana na Subaru Forester. Nimeshindwa kuondoka nalo kwenda nalo ofisini imenibidi nilipaki nyumbani. Naomba...
 8. chelesi

  Tunatengeneza urembo wa mageti,fensi,madirisha,milango,balcon na vitanda.

  Habari! Kwa mahitaji ya urembo wa mageti,madirisha,milango,balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie. Pia tunafanya kazi yeyote ya casting. Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu. Tupo Mbeya mjini.
 9. nyumbanafuuu

  Jenga Nyumba Vyumba 3 Zinazotumia BATI CHACHE (~60) na TOFALI Chache (~2000)

  Je, unahitaji kufanikisha ujenzi wa nyumba yako kwa kutumia Bati na Tofali Chache, haraka na uhamie? Tumeandaa design za nyumba za vyumba 3 ambazo zinatumia bati ~2000 na bati ~60 lengo ni kwa yule anayehitaji ujenzi wa vifaa vichache uweze nufaika waweza jenga popote Africa, A. Mashariki, Mkoa...
Top Bottom