• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

offer

 1. Erythrocyte

  Corona: Tanzania yaingilia kati, madaktari wake wajitolea kwenda China kuidhibiti

  Rafiki wa kweli ni wakati wa shida . ===== SERIKALI ya China imeshukuru utayari wa Serikali ya Tanzania wa kutaka kuwapeleka madaktari nchini humo, kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19). Aidha, imewatoa hofu Watanzania kuhusu changamoto za...
 2. Calvin Donath

  Pata lebo, logo ya bidhaa zako kwa gharama nafuu na upate lunch kutoka restaurant ya Neyscassava BURE!

  OFFER kabambe kutoka D-TECS Group! Chagua huduma unayohitaji kati ya zifuatazo tukufanyie kazi nzuri na TUKUPE ZAWADI kutoka restaurant ya kisasa ya mihogo inayobamba hapa town ya NEYSCASSAVA! Huduma zinazoambatana na OFFER hii; Label designing/ Lebo ya bidhaa zako Logo designing/ Nembo ya...
 3. Alvin John

  OFFER! Pata business card na lebo za bidhaa zako kwa gharama nafuu sana

  D TECS Group tunatoa offer (ofa) kwa wanaohitaji business cards, logo na lebo za bidhaa zao kwa gharama zifuatazo; Company logo designing = Tsh.30,000/= Business card designing = Tsh.25,000/= Product label designing = Tsh.25,000/= Business card printing = Tsh.20,000 /100pcs Label printing =...
 4. Creative Hub

  Special Offer: Save over 50% for small business website

  Top Quality Website & Hosting Package - 50% Off! We're pleased to offer our Top Quality Website & Hosting Package to new and small businesses at Over 50% OFF our regular prices for either a new or re-designed websites. With the current 2020 tight economy we recognize that many businesses need...
 5. Jakamoyo msoga

  Offer ya haraka, photocopy machine ya 1,000,000 inauzwa 700,000 ni mpya

  Kumetokea dharula kidogo. Kuna photocopy machine mpya toka UK. Zina week mbili zimeingia nchini, moja imeuzwa ikabaki moja Ni Kyocera ECOSYS M3040dn Operation Manual (Page 2 of 398) Inahitajika hela ya haraka. Iko ofisini machinga Complex Wasiliana na 0747 765 944
 6. CarHunt Japan

  Job Offer: Sales Executive at CarHunt Japan, Tanzania Office

  Job Description We are looking for experienced, competitive and trustworthy sales executives for the CarHunt Japan branch office in the Tanzania market to build up business activities. The line of business is selling used cars, trucks, and Machinery to customers in Tanzania. Job position...
 7. Augustking

  White label reseller web hosting offer for your company

  Habari zenu wakuu? Tunatoa huduma ya kutengeneza white label reseller webhosting Business kwaajili ya kampuni za tech na individual wanaotaka kufanya biashara ya domain registration na website hosting. Gharama za kutengeneza reseller web hosting ni Tsh 500,000 Tu na tutakupa offer ya bure ya...
 8. Mustapha maDish

  INAUZWA Offer mpya ya DSTV Tsh 79,000

  Kwa Tsh 79,000 unapata:- - Dish - Decoder - Cable mt20 - LNB - HDMI cable - Kifurushi cha Compact - Unaletewa bure Kufungiwa Tsh 20,000 tu! Piga 0627985436
 9. Vifaranga

  Tunauza vifaranga aina ya kuroiler

  Kroiler ni aina ya Kuku chotara alie tokea India ambae ni mchanganyiko Wa Kuku aina ya Sasso(jogoo) mwenye sifa yakuwa na umbo kubwa na mwenye uzito sana,alie pandishwa kwa Kuku aina ya Rhode island(tetea) mwenye sifa ya utagaji sana Wa mayai, Hivyo Kuroiler ni...
Top