kuumiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jabali la Siasa

    Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

    Na Mwandishi Wetu, Musoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo kuongeza mapato ya Serikali bila ya wananchi kushurutishwa au kuporwa fedha...
  2. G

    Madhara ya "uchawa" sasa yameanza kudhalilisha na kuumiza

    Kama taifa tumefanya kosa kubwa sana kuruhusu na kuulea uchawa. Kwamba mtu anayesifia na kujipendekeza kwa rais anaonekana ndiye mwema na mzalendo sana kuliko yule amabaye anapongeza kimya kimya ama anayekosoa. Matokeo yake watu wengi wakaanza kuwa machawa na kuanza kushindana vikundi vya...
  3. Pfizer

    Azim Dewji: Lissu amuombe radhi Biteko; Matamshi wanayotoa wapinzani hayapaswi kuumiza watu wengine

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023 "Mimi ni mshabiki wa vyama...
  4. Trainee

    Kuumiza wateja wako siyo suluhisho la mgogoro wako na mwajiri

    Niende moja kwa moja tu kwenye hoja yangu... Katika vitu sipendi kufumbia macho ni kuona mtu anaonewa (anaumizwa) bila kosa lolote. Kuna wafanyakazi wengine bwana eti akiwa na mgogoro basi anatafuta suluhisho kupitia walewale anaowahudumia. Sasa bora iwe unawatumia kwa njia ambayo haiwaumizi...
  5. BARD AI

    Inatia wasiwasi na kuumiza sana kuona Majeshi yetu yanavyotumika Kisiasa

    Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar. Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester Sichalwe: Watu wasio waaminifu, walioaminiwa wanajificha kwenye dhamana walizopewa kuumiza watanzania wenzao

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE: WATU WASIO WAAMINIFU, WALIOAMINIWA WANAJIFICHA KWENYE DHAMANA WALIZOPEWA KUUMIZA WATANZANIA WENZAO "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyofanya kazi vizuri. Anapambana na kuhakikisha hata Wabunge tunaotojea Majimbo ya Vijijini tunapata fedha kwenye...
  7. R

    Kwa aina ya viongozi wanaoteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaipeleka wapi Tanzania?Ndio kusema tutateua kwa nguvu ya kuumiza wengine?

    Kuna wakati tunasema tuna deep state, kuna wakati tunasema tunategemea Mungu na kuna wakati tunasema tunatengeneza kizazi za watu waadilifu. Tumeona janga kubwa lililopo sasa kwamba nchi nzima vijana wenye nguvu ni wale waliotuhumiwa kutumia madaraka vibaya, waliojitolea kuwa chawa na watoto wa...
  8. T

    Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi. Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6! Naomba watanzania...
  9. Mto Songwe

    Ni jambo gani linalo kuumiza maishani mwako kwa kipindi kirefu hadi sasa na litaendelea kukuumiza?

    Uzi huu maalumu kwa ajili ya kushare hard feelings tunazo kumbana nazo maishani. Mimi jambo linalo niumiza maishani mwangu mpaka sasa na litaendelea kuniumiza hata nikijaribu kulikwepa ni mimi kuwa Mwafrika. Mazee hili jambo mimi linanichoma sana na nafahamu ni kwa nini linaniumiza. Kama...
  10. Suzy Elias

    Atakaye kuumiza ni yule aliyepo hapo kwa kusaidiwa na uliye msulubu.

    Eneo lolote la kazi hasa uwapo na mamlaka ogopa sana kumtenda isivyo aliye chini yako kwa sababu kisasi hakitatoka kwake bali walipa kisasi ni wale waliowezeshwa kuwa hapo na uliye mtenda. Kosa hilo alipata kulifanya mfu mmoja na majibu yake ni bayana ndiyo yaliyo sababisha yaliyomo. Hivi...
  11. IamBrianLeeSnr

    Simulizi yenye ukweli wa kuumiza juu ya maisha na matukio halisi yanayotokea katika jamii yetu

    LANGO LA MOTONI CHAPTER 1 Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022 Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja na nyewe zake zilizoonesha kutimka kama vile alikuwa akikimbizwa na kitu au yupo katika dimbwi la...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Chama anaburudisha na kuumiza

    Kila Chama akifanya vitu vyake nchi nzima inatabasamu kwa tumbuizo, lakini kikundi kidogo cha 'haters' wanaumia. Wewe unayeumia unampunguzia nini Chama? Tazama umeumia miaka yote hii ndiyo kwaanza Chama anazidi kutoa burudani!
  13. E

    Wadau wa Siasa toeni elimu juu ya maumivu tarajiwa ya bajeti 2022-2023

    Ukifuatilia mitandaoni na kwenye vyombo mbali mbali vya habari utaona watu/waandishi wa habari wengi (wenye weredi mdogo wa uchambuzi wa masuala ya bajeti) wakiandika na kusifia yale mema tu waliyoyaona kwenye bajeti ya mwaka huu (2022) vitu kama kuondoa/kusitisha ada za wanafunzi wa kidato cha...
  14. Komeo Lachuma

    Wafanyabiashara wachekelea kurudisha walichopoteza. Bei ya mafuta/petrol yazidi kupanda kuumiza maskini/watu wa kipato cha chini

    Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho ni kuendelea kumuumiza Mtanzania huyu wa kipato cha chini maana yeye ndiye atakayekuja umia katika...
  15. PendoLyimo

    #COVID19 Mbunge Asia Halamga: Chanjo ya UVIKO-19 ni hiari, Serikali haiwezi kuumiza wananchi wake

    Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19" Akizungumza na Vijana mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi huo...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Serikali fanyeni yafuatayo kupata mapato badala ya kuleta kodi za kuumiza Watanzania

    Mkitaka serikali yetu ipate mapato kama mnavyotaka badala ya kuleta kodi za kuumiza watanzania fanyeni yafuatayo 1. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa kwa wafanya biashara, Bandarini, Kwenye manunuzi ya umeme, maji, usafiri wa reli, kwenye Masoko, n.k 2. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa...
Back
Top Bottom