PUBLIC NOTICE
RESUMPTION OF FLIGHTS TO MOSCOW
4th September 2026, Dar es Salaam
Further to our notice of 3rd September 2026, Air Tanzania Company Limited (ATCL) is pleased to advise customers and the general public that scheduled services between Dar es Salaam and Moscow will resume with...
PUBLIC NOTICE
TEMPORARY SUSPENSION OF FLIGHTS TO MOSCOW
3rd September 2026, Dar es Salaam
Air Tanzania Company Limited (ATCL) wishes to inform its valued customers and the general public that flights TC422 and TC423 between Dar es Salaam and Moscow are temporarily suspended with effect from 4th...
Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) inapenda kuwajulisha wateja wake na umma kwa ujumla kuwa safari za ndege TC422 na TC423 kati ya Dar es Salaam na Moscow zimesitishwa kwa muda kuanzia 4 Septemba 2026.
Uamuzi huo umefuatia tathmini ya kawaida ya hatari zinazohusiana na mazingira ya...
Kampuni ya ndege ya Tanzania Atcl imeanza tena ruti ya ndege Dar-Chato-Mwanza baada ya kusitishwa kwa muda mrefu baada ya kifo cha Rais Magufuli na ikasemekana kuwa uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuanika dagaa na mpunga!.
Kufungwa kwa uwanja huo ilikuwa ni moja ya project za kuangusha na...
Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote.
Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC...
ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa watumiaji kwa njia ya anga.
Safari hizo zilianza Juni 5,2026, ikitajwa kusaidia wafanyabiashara na...
Soko la hisa ni system inayowawezesha wadau wengine kumiliki kuwa na umiliki wa kampuni.
Wakati shirika la Precious Air limeweka kampuni yake kwenye soko la hisa, shirika kongwe zaidi halionekani likisogea wala kuthubutu kufanya hivyo!
Swali linabaki KWANINI?
Ni linahofia nini?
Linaogopa nn sasa?
HISTORIA INAANDIKWA!
Kuanzia 2 Julai2026, Air Tanzania itaanza safari za moja kwa moja kati ya Tanzania na Moscow mara 3 kwa wiki kwa kutumia Boeing 787 Dreamliner.
Tanzania imefungua njia mpya na fursa za biashara, utalii, uwekezaji na ushirikiano wa watu kwa watu kati ya Tanzania na Urusi...
ATCL KUANZA SAFARI ZA URUSI JUNI 2025
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), linatarajia kuanza safari za ndege kuelekea nchini Urusi mnamo Juni, 2026.
Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 jijini Arusha...
Ndege ya Air Tanzania ya abiria na mizigo, sasa rasmi, kuanza safari ya moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda jijini Moscow, nchini Urusi kuanzia mwishoni mwa mwezi Juni, 2026
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesaini makubaliano na kampuni ya Boeing yatakayowezesha ndege zake aina ya 737-9 na 787-8 kutumia huduma ya Fleet Link, hatua itakayosaidia kupata taarifa za uendeshaji wa ndege kwa wakati halisi, kurahisisha matengenezo, kupunguza gharama za usimamizi na...
Takribani Watanzania 236 waliokuwa wamekwama nchini Dubai kutokana na hali ya usalama Mashariki ya Kati wamerejeshwa nyumbani salama.
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilituma ndege maalum ya gharama nafuu kufuatia mivutano ya kivita kati ya Marekani, Israel, na Iran iliyosababisha mashirika...
Wakuu,
Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
Wakuu,
ATCL imeomba radhi (hata kama tunajua ni ya mchongo) lakini Msigwa kapata nguvu za kumwambia Zungu mwana ukome:BearLaugh::BearLaugh:.
Ila Zungu itakuwa alisahau kuwa serikali/chama kikizingua inabidi useme mitano tena🤣🤣, katoka nje ya script😂😂.
Ila ATCL tuambieni, hivi shida ni nini...
Wakuu,
Nacheka ka mazuri🤣🤣🤣 kwahiyo mtu akitoa povu lake taasisi/shirika linapozingua ni uvunjivu wa sheria? Nakojoaaaaaa😆😆😆😆. Chawa kafikiwa 😆😆
Kelvin Raphael (Zungu) alitoa povu lake jana baada ya ndege za ATCL kudelay safari, ambapo ATCL imekuja kuomba radhi muda si mrefu! Gerson Msigwa...
GT
Huyu dogo alijitia ujuaji sana wakati sisi tunaikosoa serikali kwa maovu yeye kajitia ujuaji na kuitetea.
Sasa jana ATCL wamemsomesha namba kidogo tu na kuanza kutoa mapovu je ataomba msamaha kwa ATCL ngoja tusubiri...
Na akae akijua haya ndo madhira wanayopitia watanzania wa kawaida...
Safari yangu ya kurejea Dar es salaam baada ya kukamilisha kazi yangu Bukoba imeanza asubuhi ya Februari 21, 2026 kwa ndege TC 101, mali ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Kasheshe imeanzia uwanja wa Ndege wa Bukoba, hauna umeme.
Baada ya kuwekwa foleni kwa masaa 3, baadae ilibidi wahudumu...
Niliagiza mzigo kutoka dar kuja kigoma jana tar 15/08/2025 kupitia ATCL kutokana na uharaka niliokuwa nao, ambapo mzigo huo ulifikishwa saa 4 asubuhi na ratiba ya ndege ilikuwa inaonyesha inaondoka saa 7 mchana ilikuwa inafika kigoma saa 10.
Jioni nimeenda kufuatia mzigo huo nikaambiwa...
Kwa mara ya kwanza, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya majaribio ya awali kabla ya kiwanja hicho kuanza rasmi kuhudumia Watanzania.
Akizungumza baada ya kuipokea ndege hiyo, Waziri wa Ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.