Siku hizi kupata scholarship au kazi kwenye mashirika makubwa si suala la kuwa na GPA nzuri pekee au CV ndefu yenye maneno mengi. Dunia imebadilika. Watu wa kwenye panel za scholarship na recruiters wa mashirika ya kimataifa wanaanza kuangalia “digital footprint” yako yaani umeonyesha nini...
Maisha ni very simple watu ni vile tu Hawajui skia nikupe mbinu ukiitumia basi una 70% ya kufaulu.. tuseme una mpango wa kuomba kazi international organization fulani labda mwakani basi safari yako inapaswa uanzie sasa...hata kama una elimu nzuri una master yako ila jua kwa sasa dunia tuko...
Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari yangu iliniongoza hadi barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam, nikiwa na matumaini makubwa, ni...
We mtu umeona tangazo la mkopo linasema kabisa uwe na
1. biashara hata kama ni ndogo yenye TIN
2.uwe na bank account means kwa mtu mwenye akili anakuwa anajua kabisa lazima wanataka wacheki statement hivyo ilipaswa niwe nafanya miamala mara kwa mara hata kama midogo
3.uwe na NIDA means...
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii...
Wakuu kwema?
Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology.
Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship?
NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha)
Asanteni^
Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana .
Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ?
Ebu tuwe serious wakuu kwakuwa mambo mengine yanafikirisha Sana . na ni ubaguzi usio na sababu .
Acheni siasa katika...
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa,
Natumaini wote mko salama.
■Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi.
■Nina...
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa,
Natumaini wote mko salama.
Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi.
Nina...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni mnisaidie kwa anayefahamu MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC in south Africa tafadhali maana ni ndiyo yangu kusoma huko.
Nimemaliza form six mwaka 2024 nikiwa na division one of points six , A in chemistry, B in...
Habari za wakati huu wana jukwaa.
Niko mbele yenu hapa kuomba kama kuna yoyote aliyewahi kuomba na kupata Scholarship za MEXT za nchini JAPAN aweze kunipa guidance ya mambo kadhaa maana dirisha ndo limegunguliwa.
Natanguliza shukrani na naomba kuwasilisha.
Asante.
Raia mmoja Mkenya amepoteza zaidi ya KSh2.8 milioni sawa Tsh Milioni 57 kwenye jukwaa la kamari la Aviator, pesa ambazo zilikusudiwa kufadhili masomo yake nchini Uingereza.
Dismas Mutai, ambaye alikuwa amejiandikisha katika Chuo Kikuu cha Anglia Ruskin huko **London Uingereza**kwa kozi ya mwaka...
JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere Scholarship.
Mafanikio hayo yanatokana na majadiliano ambayo Rais Dkt.Samia aliyafanya na Katibu...
Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma shahada ya uhandisi kwa miaka minne katika vyuo vikuu vya India kupitia Mpango wa Quad STEM Scholarship...
Scholarships now open!! —
Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026.
Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and African...
Navigate www.researchlinktz.com and view the "Opportunities' page to see this scholarship. If you want to apply we can give assistance. You can write to info@researchlinktz.com or see contacts in the website above.
Licha ya kutangazwa kwa ufadhili wa masomo ngazi ya Master's Degree kupitia Samia Suluhu Scholarship na wanufaika kuorodheshwa kwenye Website ya bodi ya mikopo inayofahamika kama HESLB.
Lakini takribani wiki kadhaa sasa licha ya masomo kuanza ufadhili huo unaonekana wakusuasua ambao haujatoa...
Haya ndugu zangu kama kawaida yangu ikitokea fursa nawatonya.
Wengi waliniuliza kuhusu undergraduate, haya fursa ndo hiyo ya kwenda uturuki.
Application ni simple sana just visit website Yao, na unaweza apply hata kama huna passport UKATUMIA national ID.
Mimi kama kawaida yangu ni kuwasaidia...
Habari zenu,
TaiwanICDF Scholarships zimefunguliwa kwa sasa.
Ni full funded kwa masters na PhD
Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search TaiwanICDF scholarships, utakuta maelezo yote pale.
Kama utakwama sehemu wakati wa application nitafute Whatsapp kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.