Former Kampala Lord Mayor Erias Lukwago’s bail application has been deferred until July 16, when the trial chief magistrate is expected to give further directions on medical issues raised by the defence.
Lukwago had asked the Makindye Chief Magistrate’s court to facilitate urgent medical...
Veteran politician and women’s rights activist Miria Matembe was on Wednesday morning brought to court for the hearing of her bail application, a day after she was charged with promoting sectarianism.
Matembe, 73, arrived at the court premises escorted by prison authorities and was accompanied...
Makindye Chief Magistrate’s Court has postponed a ruling on the bail application of former Kampala Lord Mayor and the president of People’s Front for Freedom (PFF) Erias Lukwago.
Lukwago is seeking temporary freedom after being charged with misprision of treason. Chief magistrate Sarah Basemera...
Habari wadau. Nilikuwa natumia hii moviebox ..... Sasa naona hakuna option ya kufownload yaani ni shida. Msaada tafadhali app nzuri... Isiyotumia torrents.... Asante.
Wakuu naomba msaada kidogo.
Kuna kazi nimeomba (hasa za research na translation), wameomba nitume writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali:
👉 Hizi writing samples ni nini hasa?
👉 Natakiwa kutuma nini?
Najiuliza:
Je, natuma documents zote nilizowahi kuandika? (maana ni nyingi na zina...
Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki kirahisi chukueni ujumbe wenu hapa, tunao subscribe kwenye Application yenu tutendeeni haki the...
JUST IN: Bellarmine Chatunga Mugabe and his cousin Tobias Matonhodze, who are facing attempted murder and immigration-related charges, have withdrawn their bail application at the Alexandra Magistrates Court in Johannesburg.
Their legal team has instead requested a plea negotiation, where the...
Habari wakuu nawakaribisha katika application yetu ya kahawa time inayopatikana app srote kwa watumiaji wa iphone na Ipad na Play store kwa watumiaji wa Android… pata simulizi kali kutoka kwa waandishi maarufu kama Story za Eddy, Patrick Ck, na wengine wengi
Kitengo cha huduma za mtandaoni cha Amazon, Amazon Web Services (AWS) kimekumbwa na hitilafu na kusababisha changamoto ya upatikanaji wa huduma kwa makampuni mbambali duniani.
Huduma zilizopata changamoto ni pamoja na tovuti na programu kadhaa maarufu, zikiwemo game ya Fortnite, mtandao wa...
Habari zenu wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada hii tata;
Ipo hivi, mwanzoni mwa mwezi Septemba nilichacha sana kifedha ikabidi nifanye re-installation ya App moja ya mikopo na kuchukua kiasi cha Sh 200,000. Baada ya hapo update ikaja kuwa mkopo ulipwe ndani ya siku saba ilhali mwanzo...
Wana JF habari
Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
Wakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi.
Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama sana.
Hivyo wengi wetu tumeamua kutumia simu zetu kuangalia ligi ya uingereza kupita Application mbali...
Wakuu,
Naomba mwenye kujua Application ambayo naweza kushushia video YouTube.
Nilikua natumia Application kama Snaptube, Videoder na Vidmate. Ila sasa hivi naona zimekua restricted, hazidownload
Msaada wakuu.
Habari za wakati huu wana jukwaa.
Niko mbele yenu hapa kuomba kama kuna yoyote aliyewahi kuomba na kupata Scholarship za MEXT za nchini JAPAN aweze kunipa guidance ya mambo kadhaa maana dirisha ndo limegunguliwa.
Natanguliza shukrani na naomba kuwasilisha.
Asante.
Kuna wakati huwa nakuwa sina office kwenye PC au natumia PC ya mtu nakuta nataka kuchapa kitu nakutana haina office. Option iliyopo ni kutumia Google Docs ambapo ntahitaji kusign in na vitu kama hivyo. Sasa just for fun nimeamua kuunda plugin ya chrome ambayo itakuwa inaweza kufanya basic tasks...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.