mada

Mada is a term from both Hindu theology and Hindu mythology. It is one of the Arishadvargas.

View More On Wikipedia.org
  1. Pekejeng

    JamiiForums Tanzania Raha ya JamiiForums si kushinda hoja... ni kuona watu wakizichapa kwa maneno

    Kuna aina mbili za watu humu JF. Kundi la kwanza linaingia kupambana. Lengo lao ni kushinda hoja, kuthibitisha wako sahihi na kumfanya mpinzani akubali. Halafu kuna kundi la pili... sisi. Sisi tunaingia, tunasoma mada, halafu tunaanza kufurahia comments. 😄 Mtu mmoja anakuja na takwimu...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waislamu kuna mada yenu hapa.Kwa nini mnapenda kukimbilia nchi ambazo sio dini yenu.

    Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani. Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuleta mada kuwa balozi za tanzania hakuna msaada watakao kupa.Ukipata tatizo pambana wewe mwenyewe.

    Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa. Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe. Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao. Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Masikini mwenzangu, unakubaliana na hii mada?

    Masikini wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaaminisha jamii kuwa ni matajiri, kwa kununua vitu vya anasa anasa visivyo zalisha; mfano, masikini atapambana sana kununua nguo za gharama, mikufu na micheni ya gharama, saa za gharama, magari ya gharama, kukodi usafiri binafsi kwa gharama n.k...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania JamiiForums naomba ile mada: Wanafurahia utekaji kuna siku watashindwa kuzibiti

    Kuna mada niliweka hapa kuhusu tabia hii ya mtindo wa ukamataji au kiufupi ni utekaji ambao ukijiambatanisha wasio julikana. Kwa haya wanayofurahia na mtindo wanaotumia nilisema kuna siku kutatumika kama person ndani ya jeshi asilimia kubwa na ndogo itakuwa kwa wananchi. Tusipo likemea na...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Andika Kwa kifupi tu utaeleweka sio Kila saa unaandika mada ndefu kupita kiasi kama makala na vitabu

    Kila unapoandika hu:)wezi kuandika kwa ufupi kwa sababu wewe ni mwandishi. Sijui kama ni tabia ya waandishi wengi, lakini wengine hata ukiwauliza jambo dogo tu, jibu linakuwa kama makala nzima! Mimi binafsi napenda watu wanaoweza kueleza jambo kwa kifupi na kueleweka. Ukiandika ujumbe jf wa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Je, unakumbuka nini ulivyokuwa unasoma hasa kwenye presentation, Imepekelea baadhi ya hotuba za viongozi kuwa na sintofahamu

    Natumaini muwazima wote. Kwa wale ambao wanachangamoto za kiafya, kiuchumi na nk. Mungu afanye njia kila Mtu awe kwenye hali anaipenda. Twende kwenye mada yeti. Leo nimekumbuka baadhi ya adha nilizopitia hasa kwenye presentation hii ni kutokana kufuatilia taarifa au hotuba za kiranja mkuu wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ambayo inamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya kupata kibali

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri. Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
  9. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Naomba ulinzi wa moderators, sitaki kuhusishwa na mada za mpira

    Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani. Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa JF wanizingue ah wapi. Hakikisheni mna piga ban, yeyote atakaye...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mwanza, huku Nyamhongolo Stand, Ilemela tuna tatizo la umeme mdogo (low voltage)

    Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza. Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea kupata hasara kubwa kutokana na umeme kuwa mdogo muda mwingi. Mashine za kazi haziwezi kufanya kazi...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Mada kuu: Msikilize kwa makini David Kafulila akifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV

    https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mada ya ki intelejesia: Je ni dini ndani ya uchawi au ni uchawi ndani ya dini?

    Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mshika dini Nimesoma sana dini yangu na dini nyinginezo, zinazomjua Mungu mmoja na zinazoabudu miungu.. Uchawi ama kwa ubaya ama kwa uzuri umetajwa kwenye kila dini niliyosoma Dini kwenye uchawi na ushirikina imetajwa na kuhusishwa sana! Sasa hebu tuone...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mashauriano ya kiroho: Hifadhi hii mada itakusaidia kwa mengi

    Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote Nitakaribisha na maswali pia 1. Tiba ya kiroho yenye nguvu iliyobaki ni tiba ya chumvi ya mawe maana mpaka sasa haijanajisiwa wala...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania JF imefunguliwa(?) Naipata bila VPN

    Hamjambo wote! 1. Turudi kwenye majukwaa, vilinge na vijiwe vyetu. 2. Matusi tupunguze maana kuacha kabisa kuna watu najua hawataweza. 3. Uzushi, bullying, kejeli, kuvuana nguo tuache. 4. Ukosoaji uendelee sambamba na suluhu kwa Kila ukosoaji. Haina maana kukosoa bila kutoa suluhu kwa kile...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  16. idiomer

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini?

    Hivi kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini? Mada mezani wadau wa elimu?
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mada ya kitimoto: Nyama inayajadiliwa na kutawaka mijadala mingi duniani

    Ni haramu sio haramu? Uharamu wake unatokana na nini? Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali? Je ndio nyama tamu zaidi duniani? Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani? Je ni kweli ndio nyama inayobeba magonjwa mengi? Je ni kweli inafukuza mapepo na kusafisha nyota? Je ni kwanini mganga...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

    London. Mkoloni ana njia nyingi za kuwaweka katika mstari ulionyoka. Machief wa Tanganyika ziarani Uingereza 1951.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mada inasema ukiweza kutoka kwenye sayari,nyota ukatafuta mwisho unaweza usipate na kama umepata mwisho wake umerudi nyuma

    Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa . Hii yote ni mapinduzi ya hesabu na teknolojia ambazo wagunduzi wamechangia. Kuna kitu mpaka sasa kina wapa maulizo...
Back
Top Bottom