Ndugu zangu Watanzania,
Linapokuja suala la La Kuichezea Lugha Ya Kiingereza kwa ufundi na ustadi na Uhodari pamoja na Umahiri kiukweli Rais Samia anakuwa hana wa Kulinganishwa Naye . Mama aiichapa na kukitandika Kiingereza Utafikiri kuzaliwa na kukulia mitaa ya katikati ya Jiji la London...
kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi.
Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
bandari
ccm
code
hisabati
ili
jezi
kiingereza
kompyuta
kuiba
kuiba kura
kura
maadili
masomo
mbovu
mkataba
msingi
sana
serikali
serikali ya ccm
shule
shule za msingi
ufanisi
vipi
vizazi
wao
wenye
Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya.
https://www.jamiiforums.com/threads/kama-kweli-unajua-kiingereza-tuambie-umepata-alama-ngapi-kwenye-maswali-haya-ya-kiingereza-marks-ulizopata-tuwekee-kwenye-comment.2474681/
Habari za muda huu wana-JF,
Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli.
Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
Imagine Mimi nisiyejua kiingereza nimeona aibu kwa niaba ya mtangazaji huyu, nasikia tu you,you, you gonna...
Kiufupi ni ngori! 🙌
Kiingereza kweli ni kumanyoko 😎
NAtafsiri maandishi na video za youtube kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili kuwa katika mfumo wa PDF kwa bei ya kurasa moja 10,000 TZS , WASILIANA NAMBA 0756704145 (WhatsApp)
Wakuu habarini
Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje?
Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana
Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza
Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani...
Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education).
Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana.
Sifa zangu kwa ufupi:
•📑...
https://youtu.be/N6O2ncUKvlg?si=nuAR6g3nr-ZE7494
Hii ndio ngoma pekee naweza kuiimba mashairi yake mwanzo mwisho yaani😆😆😆😆😆🤣..
I'm proud of myself yaani... Ukimaind it's up to yeah.
AzamTv wanarusha mechi sote 104 za Kombe la Dunia kwa Kiswahili na Kiingereza.
Wasomi wetu wapo idhaa ya Kiswahili kupitia Azam Sports 2HD hapo unawakuta akina Shaffih Dauda, Edo Kumwembe, Ally Mayai, Muro na wengineo wakichambua kwa manjonjo yote.
Kule Azam Sports 4HD wapo akina Chiko Lawi...
Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake?
Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au...
Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka.
Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya...
Hello Wana jamiiforums?
Ni jambo lisilopingika kwamba lugha ya Kiingereza ni lugha muhimu katika dunia ya leo, hasa kwenye elimu, ajira na mawasiliano ya kimataifa. Hata hivyo, hali inayojitokeza mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii inaonyesha kuwa Watanzania wengi hawana uelewa mzuri wa...
Wasiojua Kiingereza na wana Elimu ambayo wameipata kwa lugha ya Kiingereza watakuja na utetezi wao kuwa Kiingereza ni utumwa, mara Elimu si lugha, mara utawasikia Wachina mbona wana viwanda, wengine wana Master's na hawajui Kiingereza.
Utetezi wa namna hii ni mfu, unapaswa unyang'anywe vyeti...
Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa usahihi? 😊
Mimi neno linalonipa shida ni “entrepreneur”.
Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike
Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii kabisa?
Teremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
Nimemwona Hammo rapa akiongea kiingereza kibovu kiasi kwamba analitia aibu taifa.
Majirani zetu Wakenya wakiona hii ndio watatucheka kabisa.
Wizara inayohusika na sanaa impige marufuku Hamorapa kuongea kiingereza.
Ni ushauri tu nimetoa.
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA
Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook)
DOWNLOAD hapo👇
in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book)
Tuwasiliane kwa namba 0623446608
Ubarikiwe!
Habari wakuu
Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie.
Sifa zangu
Jinsia: Me
Umri: 28
Eneo: Dar es salaam
Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management
Naonngea kiingereza vizuri sana
Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.