mc pilipili

  1. Mpwayungu Village

    Wagonjwa anaowaposti MC Pilipili ni sahihi kuchangiwa, si Prof. Jay

    Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi. MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe...
  2. Erythrocyte

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH. Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na...
  3. J

    MC Pilipili awa Mchungaji kama Masanja mkandamizaji!

    MC Pilipili ameamua kuachana na mambo ya dunia na kujiunga na akina mchungaji Masanja mkandamizaji katika kuutumikia ufalme wa mbinguni. Eatv!
  4. Linguistic

    Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

    Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana [emoji3][emoji3][emoji3]
  5. May Day

    Kwa msiba mkubwa uliompata MC Pilipili na jinsi alivyopokea hakika nimejifunza mengi

    Miaka kadhaa nyuma nikiwa naangalia mahojiano kati ya Mtangazaji na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Zahiri Ally, kupitia ITV (kama sikosei maana ni muda sasa)...nakumbuka jibu la Mzee Zahir baada ya Mtangazaji kuonyesha wasiwasi wake kwa vipi Mzee Zahiri alimudu Jeshini kwa kuangalia muoenekano wake...
  6. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 MC PiliPili ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Bahi kupitia CCM

    Emmanuel Mathias (MC PiliPili) naye ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge BAHI kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
Back
Top Bottom