Mafundi simu upande wa Software naomba kusaidiwa

Whitney Houston

JF-Expert Member
Jan 5, 2019
213
403
2022-05-31-15-07-23.edit1.jpg
Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi.
1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani kuchagua majina(bar ya kijani inayozunguka eneo la search pichani inagoma ku move kushuka chini).
2:APP ya email nayo inafunguka lakini inashindwa ku sync,email mpya haziingii wala zilizopo hazifutiki.
3:.Naombeni majina ya simu za button(tofauti na voda,airtel,tigo kitochi) lakini zenye uwezo wa ku support whatsapp,twitter n.K.
Nawasilisha.
 
Kwenye setting,clear data hakuna,ila nimeona 'clean up storage',nimejaribu kupress ikaniletea list ya apps zote.Nimepata wasiwasi,niki click contacts majina na namba havitafutika mkuu? Au email hazitafutika zote?Baadhi ya email bado zinakazi,nahitaji kufuta baadhi tu. Scars
 
Hiyo inakuwa kama ume reset app, kwani majina yapo kwenye simu au simcard?

Kama kwenye email si utalog in na ku sync tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom