bright

  1. Edsger wybe Dijkstra

    The future is bright for Electrical Engineers, Computer Engineers, Communication Engineers, Computer Scientists and all other technology disciplines

    Ukuaji wa kasi katika teknolojia unawafungulia njia nzuri sana watu wenye ujuzi na elimu tajwa. Kelele za ajira na kujiajiri acha zisikike kwingine ila sio kwa watu wenye elimu ya masuala ya STEM, hasa yanayohusiana na teknolojia zote zinazotokana na umeme. Watu wenye Engineering degrees...
Top