kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Unataka kuandika kitabu na hujui wapi utaanzia? Karibu tukusaidie

    ✍️ OMEGA BOOK WRITING SERVICES Una idea ya kitabu, notes, au teaching materials lakini hujui namna ya kuibadilisha kuwa kitabu kilichoandaliwa kitaalamu? Tunatoa huduma zifuatazo: ✅ Book writing & editing ✅ Educational books & study guides ✅ Physics, Chemistry, Biology & Mathematics books ✅...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Taifa Bila Vyombo vya Habari Huru na Imara ni Taifa Mfu. Gazeti la MwanaHalisi Lisamehewe Kuandika Ukweli?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile mihimili mitatu ya Serikali, Bunge na Mahakama, itakuwa huru kujivinjari na madudu ya kila aina...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuandika ujumbe huu 15 Novemba 2016, hakuonekana Tena.

    Eti kwamba kama Rais Magufuli ni jasiri au la? Ni Jasiri. Nakiri Ujasiri hu sina.Muungwana hukiri asichokuwa nacho na kumkubali mwenye nacho.Kwanza ule ujasiri wa kupingana na risala ya Marehemu msibani ulikua ni uthibitisho. -Ujasiri wa kutamka ukweli kuhusu fisadi aliyekua akiibia nchi kila...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa JF mlitumia teknolojia gani kuandika bandiko refu?

    Salamu kwa maveteran wote back in 20 years mlitumia teknolojia gani kuandika mabandiko marefu? 1.Nyuzi zenu hazichoshi kuzisoma 2.Nyuzi zenu zimejaa logical consistency 3.Nyuzi zenu zina marumbano ya hoja 4.Nyuzi zenu hazina udaku wala utoto 5.Nyuzi zenu ni urithi wa dhahabu kwa kizazi...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari: Mtoto alazimishwa kuandika barua ya kuacha shule, mzazi atolewa nje

    Habari wanajamii? Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule. Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hapa tulipofikia hata kijana wa IJA anaweza kuandika hukumu ya haki-Reasoned Judgement

    Hii kesi ilipofikia hata kijana anayesoma Diploma ya sheria IJA (Institute of Judicial Administration, Lushoto anaweza kuandika hukumu ya KWELI. Reasoned judgement! Naishia hapa
  7. M

    JamiiForums Tanzania HUDUMA: Kutafsiri (English/Swahili), Kuandika na Kudesign CV, Cover Letters na Makala – Nicheki DM

    Mambo vipi wana-JF, Kama unatafuta mtu wa kukusaidia kazi za kuandika, kutafsiri, au kutengeneza CV na Cover Letters za kisasa kabisa, upo sehemu sahihi. Ninafanya kazi hizi kwa umakini mkubwa, haraka, na kwa bei nafuu sana inayozungumzika. Hizi ndio huduma ninazotoa: Uandishi wa CV na Cover...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuna account za JF kama Mwashambwa zilifunguliwa zitumiwe na group la watu wanaolipwa kuandika propaganda au kukosoa thread au posts, sio member mmoja

    Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake. Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uzi ulitaka kuandika kisha ukaghairi na kuachana na kuuandika?

    mimi kwa wastani nina nyuzi 17 ambazo hua nina andika kisha ninazifuta kabla ya kuzipost. hata uzi huu nilishawai kijaribu kuandika wiki kadhaa zilizopita, kabla ya leo tena kuufikiria.. leo ni wasaa wa kuandika nyuzi ambazo ulizifikiria na ukaona haina sababu tena ya kuendelea nayo, nami...
  10. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Unakuta ni mtu mzima mwenye heshima zake ila hajui kuandika kwa ufasaha, wengi wao wanafanya kusudi AU ni kweli hawajui?

    Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Acha kuandika Business Plan (Mpango wa Biashara) kwa kukisia! Jipatie Templates za Kitaalamu za Biashara Yoyote.

    Je, una wazo la biashara au tayari una biashara inayofanya kazi lakini huna nyaraka rasmi za kuwasilisha benki kwa ajili ya mkopo au kwa wawekezaji? Tumezindua Templates za Kitaalamu zitakazokuokoa muda na kukupa muonekano wa kisasa mbele ya wakopeshaji au watoa fedha. 1. Business Plan...
  12. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Sina cha kuandika JF msaada nihudhurie shule gani?

    Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani? 1. SHULE YA BUNGE 2. SHULE YA MAHAKAMA 3. SHULE YA MTAANI 4. SHULE YA JAMII 5. SHULE YA MUZIKI 6. SHULE YA RANGI
  13. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani?

    Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani? 1. SHULE YA BUNGE 2. SHULE YA MAHAKAMA 3. SHULE YA MTAANI 4. SHULE YA JAMII 5. SHULE YA MUZIKI 6. SHULE YA RANGI
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO BOT mnataka tufilisike kabisa ndio mtafurahi? Fungueni akaunti zetu, tuna hali ngumu kimaisha, kila kitu kimekwama

    Nimelazimika kuandika hapa huku nikiwa na huzuni sana kwa kuwa tumevumilia lakini tunaona uvumilivu unaelekea ukingoni. Ni Miezi mitano sasa toka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afanye uteuzi wa Naibu Gavana Anayeshughulikia Utawala, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh. Dkt. Rahma, sisi tuna madeni...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?

    Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
  16. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

    Mtu anakusalimia " Mamb" Anakujibu "Pow" Anakuuliza "Mzm" Anaendelea "xaxa uk wp? "Xipajui" "Xamahan" "Dad xamahan nmekuj kwak xikuon uk wapi? Halafu Kuna hawa Sasa wanaoona aeiou ni mchosho "Dd smhn jn nlkj kwk nkkt umtk.ksh ntkj tn ntkkt? Wana shida gani kwenye ubongo wao hawa?
  17. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

    Mtu anakusalimia " Mamb" Anakujibu "Pow" Anakuuliza "Mzm" Anaendelea "xaxa uk wp? "Xipajui" "Xamahan" "Dad xamahan nmekuj kwak xikuon uk wapi? Halafu Kuna hawa Sasa wanaoona aeiou ni mchosho "Dd smhn jn nlkj kwk nkkt umtk.ksh ntkj tn ntkkt? Wana shida gani kwenye ubongo wao hawa?
  18. Capo_di_Tutti_Capi

    JamiiForums Tanzania Utumishi- kuitwa kwenye interview ya kuandika kwa njia ya mtandao -MDA's & lga's - Accounts assistant ii (12/3/2026)

    Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao.
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna shule za Mbeya hazipokei Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kama hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri. Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Mababu zetu walitumia alphabet ipi kuandika, hivi waliandika chochote kweli?

    Ukisoma historia hata ya Biblia, maelfu ya miaka huko nyuma Musa alitumia Hebrew alphabet kuandika vitabu vilivyomo kwenye Biblia, pia ukifuatilia jamii zingine kama Wahindi, Wachina n.k. Walikua na maandiko yao enzi hizo na kila moja walikua na aina fulani hivi ya kuandika, na kuna kumbukumbu...
Back
Top Bottom