Nimemsikiliza akiwa katika mkutano wa hadhara wakipokelewa viongozi hao wapya na wanachama wao jijini Dodoma, baada ya kuteuliwa hivi karibuni.
Katika mkutano huo alipata nafasi ya kuongea na kuwashambuli viongozi wa vyama vya Upinzani.
Hapo ndipo nilipogundua anazungumza kiswahili kama vile...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
Na Amani K. Mrope | Ofisi ya Washington
Tatizo Siyo Pesa. Tatizo ni Tanzania Kuingizwa Rasmi Kwenye Rekodi mbaya za Kimataifa.
Kuna nyakati ambazo nchi hupoteza fedha. Na kuna nyakati ambazo nchi hupoteza imani ya dunia. Fedha zinaweza kurejea. Lakini imani ni vigumu zaidi kuijenga upya...
Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi.
Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari...
Mpaka leo naweza kuzungumza, kusikia na kuandika kiarabu kwa ufasaha, ilikua hivi:
Mimi sijawai kabisa kujifunza kiarabu wala sijakaa sehemu wanapoongea kiarabu, lakini kuna siku niliona maandishi fulani yameandikwa kwa lugha hiyo nikayaelewa ndo nilipogundia ninauwezo oia wa kusikia na...
Mwananchi mmoja akizungumza katika Mjadala wa wazi kati ya viongozi wa dini na wananchi juu ya amani ya yaliyotokea Oktoba 29, 2025, ameeleza kuwa kama vijana wanakuwa wanataka kutoa maoni kwa uwazi lakini wamekuwa wakiogopa kwani baada ya hapo hawajui nini kitakachowakuta.
Akitolea changamoto...
Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea.
Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
asubuhi
chalamila
dar
dar es salaam
genge
haramu
ikulu
kesho
kuandamana
kuelekea
kuzungumza
mjadala
mkoa
nani
nchi
nchi yetu
ndugu
nyingine
rais
rais samia
rc chalamila
saa
sababu
samia
taifa
wazee
Hivi hawa wahuni wa CCM wanawezaje kutuziba midomo tusiongee? Uhuni na ukatili wanaotufanyia watanzania?
Wameua ndugu zetu gizani ushaidi tunao kwenye simu zetu halafu hao wahuni wa CCM bila aibu mnasimama mbele ya vyombo vya habari na kupinga mauaji mliofanya?
Oya hii nchi sio ya mama zenu na...
Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile
Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata kuzungumza na vyombo vya habari.
Aidha, amesema wakitaka kuzungumza na vyombo hivyo wasizungumze...
'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza.
Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.