uhalisia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio uhalisia wa maisha ya Watanzania. CCM imekataliwa na Watanzania

    Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ameigiza ila ndio uhalisia wa wa Kiongozi mmoja wa Serikali ambaye anapenda kuwadanganya watanzania

  3. Mnandi Jr

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uhalisia, hakuna rais atakae maliza matatizo ya Tanzania

    Salam. kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha. Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni. kwanza, baadhi ya...
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Biashara nyingi zina promotion package nzuri, lakini ukija kwenye uhalisia ni mbingu na ardhi

    Kuna biashara ukiona matangazo yake unaweza kujenga picha kubwa sana kichwani. Video ni nzuri, picha ni kali, maelezo yanavutia na kila kitu kinaonekana cha kiwango cha juu. Mwisho wa siku unafanya maamuzi ya haraka kwa sababu umeamini kila kilichoonyeshwa kwenye tangazo. Lakini ukifika dukani...
  5. mike2k

    JamiiForums Tanzania Semantic Shift katika Siasa: Je, Tunatawaliwa na Uhalisia au na Maana ya Maneno?

    "Ukitaka kuelewa siasa, usisikilize maneno pekee; angalia matokeo." Hii ni kanuni ambayo imejitokeza mara kwa mara katika historia ya siasa duniani. Katika sayansi ya siasa, kuna dhana inayojulikana kama semantic shift—yaani mabadiliko ya maana au matumizi ya maneno ili kubadilisha jinsi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali inaenda kutumika katika matumizi yasiyo ya uhalisia, matumizi mengine ni utapeli tu

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kinapotea kwenye matumizi yasiyo na uhalisia na ukopaji usio na tija. Akizungumza leo Juni 23, 2026...
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Dini haiendani na uhalisia wa mwandamu, mfano inaweza kukupelekea uwe kukutengana na wasioamini lakini kiuhalisia hao hao ndio waaajiri au wateja wako

    Only fools fall for religion traps.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa ukiranja Mkuu amejitahidi sana kuficha uhalisia wake lakini hatimae ameonyesha rangi yake halisi Kuna ushahidi wake aliahidi kutoa miaka ile

    Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama Simba na Yanga Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja Siasa inahitaji watu serious na wenye misimimamo ya kweli sio kuingiza igiza TU ilomradi Maisha yaendelee na KUPATA vyeo Hivyo hata ukificha ficha Kuna siku...
  9. Loading failed

    JamiiForums Tanzania 18+ Video za ubwabwa hazina uhalisia wowote

    Ndugu zangu... Onyo kama siyo 18+ haikuhusu. Katika hali isiyo ya kawaida zile video za zinazochochea watu kutunguana au kujitungua mpaka kufika mlima kilimanjaro, nimegundua hazina uhalisia wowote ule zaidi ya wanadamu kujiangamiza wenyewe kisaikolojia na kihisia kuhusu swala zima la...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Siwezi kupingana na uhalisia ikitokea CHADEMA ikawa namba 2 CCM ikiongoza

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026,
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nongo mwilini: Uhalisia wa mazoea uliopotoshwa

    Nongo ninini? Taka za mwilini: Huu ni uchafu unaojikusanya mwilini, mara nyingi kutokana na jasho lililokauka na vumbi kwenye ngozi. Wengi wamekulia kwenye mazoea ya kwamba mwili huwa hautakati kwa asilimia 100 kwakuwa una nongo ya asili ... Na kwa kuthibitisha madai yao ni matumizi ya taulo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kifaa cha Artemiss II chasafirishwa kwa msafara

    Wakuu nimekutana na hii video inadaiwa kuwa ni kifaa cha Artemiss II kikisindikizwa na msafara baada ya kutua kutoka mwezini. Uhalisia wake ni upi? === Witnessing history Artemis II Orion capsule escorted in a powerful convoy—America’s journey back to the Moon
  13. east36

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Machawa wa CCM na uhalisia wa maisha ya mtanzania

    Nauliza kwa dhati kabisa Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi… Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao? Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi, Maisha yamekuwa magumu kupindukia Vijana hawana ajira Wananchi wanalia...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa Akili Unde

  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Naleta Ugomvi: Kati ya Pengo Makeke na Mr. Dude nani alifanya utapeli ulioakisi uhalisia?

    Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude. Ili kumjua Dude inabidi uwe umezaliwa miaka sio chini 1999 na kwenu kulikuwa na TV ili kuwa na...
  16. okiwira

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna maji yenye rangi mbili ndani ya bahari moja na hayachanganyiki?

    Mbali na sababu za kiimani, Ni kweli kuna bahari ambazo zina maji ya rangi tofauti ndani ya bahari moja na maji hayachangamani japokuwa yanagusana?
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Airport ya Arusha ni local sana kuliko uhalisia wa jiji lenyewe

    Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi. Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini na watu kuwajibika, basi AFCON 2027 inaweza kuwa bonge la failure badala ya fahari

    Suala la kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda ulitangazwa kama ushindi wa kihistoria kwa Afrika Mashariki. Lakini kadri siku zinavyosonga, ndivyo uhalisia unavyozidi kuwa mchungu. Ila nimeshangazwa sana na taarifa na habari za Tanzania kuomba msaada wa taifa la China mwaka...
  19. zaza1

    JamiiForums Tanzania “Wanaojitolea Wanapendelewa” — Huu Ni Mtazamo wa Akilini Mwake, Sio Uhalisia wa Mtaani

    Kauli ya Naibu Waziri Mhe. Regina Ndege Qwaray kwamba wanaojitolea wanapendelewa huku akisema kujitoa sio kigezo cha ajira, ni kauli inayokera na inayokosa uhalisia. Ukweli ni mmoja: hii ni tafsiri yake binafsi — akili yake — sio hali halisi inayowaumiza maelfu ya vijana. Kama kweli...
Back
Top Bottom