kupata kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata kazi hoteli za Zanzibar

    Habarini wanajamvi ningeenda kujua, eti kupata kazi za hotelini Zanzibar lazima ujuane na kiongozi yeyote? Je, kipindi cha low season kuna hotel ambazo hazifungwi? Ni zipi?
  2. HUKU ABROAD

    Msaada wa kupata barua ya mualiko kusafiri nchi za nje

    Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko 1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa sababu fulani...
  3. T

    Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Leo ningependa kuzungumzia namna kijana yoyote wa Kitanzania ambae una utaalamu na/au ujuzi katika eneo fulani unavyoweza kupata kazi katika mashirika na makampuni ya kimataifa yaliyopo popote duniani na kuweza kufanya kazi remotely ukiwa hapa hapa nchini. Kwa mfano mimi nafanya kazi katika...
  4. The dumb Professor

    Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

    Habari, Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje. Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma. Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya...
  5. pentoxide

    Habari Wakuu. Naomba kujua namna Ya kupata kazi katika mashirika Ya kimataifa.

    Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA. Shukran..
  6. M

    Ni zipi kozi fupi za Bandarini zinasaidia kupata kazi?

    Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
  7. sky soldier

    Falsafa ya mzee wangu kusomea Udaktari, Engineering au Sheria imetuokoa sana Watoto wake hence prooven, Nami sina budi kuiendeleza kwa watoto

    Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu. Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba nilipata msaada mkubwa...
  8. Suley2019

    SI KWELI Prof. Mkenda asema ‘Mwanafunzi asiyefikisha GPA ya 3.8 ataondolewa sifa za kupata ajira’

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na picha ya JamiiForums ikienea ikionesha ujumbe wa Prof. Mkenda unaodai kuwa kwa sasa vigezo vya kupata kazi kwa Wanafuzni ni kuwa na GPA 3.8. Jambo hili limenistua. Je kuna ukweli hapa? Picha yenyewe hii hapa chini:
  9. Gyme

    Msaada: Natafuta kazi, yeyote atakayenisaidia nitashukuru sana

    Habari ndugu zangu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Ninaomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia nikapata kazi. Elimu yangu kidato cha sita japo chuo nimesoma Ila niliishia mwaka wa pili. Msahada wenu jamani, kwa yoyote mwenye connection maisha ni kusaidiana please...
  10. Chakorii

    Ulishawahi kumsaidia mtu kupata kazi lakini malipo yake yakawa kukuumiza?

    Habari ya asubuhi. Leo nina maumivu mno🥹. Moyo wangu unawaka moto wa tanuru na nahisi katika hali ya kibinadamu ninakosa uvumilivu💔. Nilimpa mtu connection ya kazi lakini amegeuka mwiba kwangu🥹. Yes, ninajijua ni mwanamke jasiri sana katika kuvumilia changamoto lakini katika hili ninahisi moyo...
  11. sky soldier

    Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

    Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi. kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
  12. Brightly

    Nahitajii mtu wa kunishika mkono niweze kupata kazi

    Habarii wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 28, ni mhitimu wa stashahada ya Uhandisi Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil Engineering) mwaka 2020 na kufanikiwa kupata upper second class kutoka chuo Cha ufundi Arusha (ATC). Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbalii ila bado sijafanikiwa kupata...
  13. Cybergates

    Njia niliotumia kupata kazi bila ya kuwa na msaada wa connection yoyote

    Wakuu! Huwa wanasema sharing is caring. Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick niliitumia mm mwenyewe kama kufanya majaribio ya kupata nafasi amabazo hazipatikani kirahisi UTANGULIZI...
  14. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi Ya Kupata Kazi Fiverr (Approved Method)

    Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana. Lakini...
  15. T

    KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
  16. Ahmet

    Mliopata ajira kupitia PSRS, status za application zenu zilikuwaje kabla ya kupata kazi na sasa hivi zikoje?

    Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje? Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa. NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
  17. mweatu

    Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  18. MSAGA SUMU

    Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

    Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI. Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo. Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
Back
Top Bottom