Mimi mwanafunzi wa degree institute of social Work campus ya dar es salaam.
Nimeathirika kisaikolojia baada ya kuzuiwa kufanya mtihani wa continuous assessment (CA) kwasababu sijalipa ada kwenye installment ya 3. Kumbuka ni mitihani ya CA sio hata mtihani wa mwisho wa semester.
Sasa, mimi...
Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini.
Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu zilitenganishwa tayari, bado katika Halmashauri nyingi Ustawi wa Jamii inaendelea kubaki chini ya Idara...
Anonymous
Thread
halmashauri
jamii
kero
muundo
ndani
ustawiustawiwajamii
SERIKALI ITUNGE SHERIA; BAADA YA KUACHANA MZAZI MWENYE KAZI NA UWEZO WA KIUCHUMI NDIYE AKAE NA MTOTO KWA MASLAHI YA MTOTO NA USTAWI WA JAMII.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Najua wengi hawatanielewa. Hasa Wale wavivu na wasiochapa kazi za uzalishaji Mali. Lakini ndivyo dunia ilivyo...
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma.
kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae.
Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au kusema kuna uovu wenye nafuu na usio na nafuu, uovu ni uovu tu.
Nazungumzia tabia ya wanawake wa...
cheti cha kuzaliwa
kudanganya majina cheti cha kuzaliwa
makosa ya jinai
malezi sahihi ya mtoto
migogoro ya wazazi
sheria ya malezi
single mothers
ugomvi wa kimapenzi
ugomvi wawazazi
ustawiwajamii
1. Naam... Sababu kubwa ni Siasa kwa maana ya siasa kuelekea uchaguzi, huku ikikolezwa na mafahari wawili wakimataifa wasioweza kukaa katika zizi moja.
Hao mafahari wananguvu na wanaingilia hadi mambo nyeti ni wakongwe katika gemu ya siasa mithili ya kungwi/somo ambaye ana mingle katika ndoa ya...
Hatar mpya katika ustawi na usalama wa mataifa ya magharibi na dunia ilio timamu n muunganiko itikadi ya mrengo wa kushoto na itikadi ya msimamo mkali
Katika usawa huu ambao watoto wenu wanatakiwa wafundishwe kuhusu ushoga tangu mashuleni, kuupiga chini ukristo kwa sababu hauendani na ushoga na...
BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa mawasiliano; Simu +255754471958
BaruaPepe...
BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Jifunze kusema "hapana" unapochoka ili kulinda afya ya akili
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa mawasiliano; Simu...
BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika.
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa...
BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara.
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa...
BADO SIKU 10: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Vunja ukimya ongea na mwenzako, Unashauriwa kuzungumza na watu wako wa karibu kama vile familia na wafanyakazi wenzako ili kuimarisha afya yako ya akili
📅 25 - 30...
#Matukiokatikapicha
Kulekea Wiki ya Ustawi wa Jamii Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Nandera E. Mhando ameendesha kikao cha Wamiliki wa Vituo vya Kulelea Watoto Wadogo Mchana, Makao ya Watoto na Nyumba Salama ikiwa ni...
BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
Polisi ni polisi tu hawezi kutenda haki kwa mwaume akamwacha mwanake.
Wanaume wengi wanapopeleka malalamiko kwenye dawati hilo polisi wao huwakumbatia wanawake na watoto hara kama mwanamke ndiyo tatizo.
Hali hii imepekea wanaume wengi kupoteza mali zao au kuhama na kwenda kuanza upya huku...
Wasalaam
Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha.
Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa...
Haya ni maelezo yangu kwa Mheshimiwa Dkt. Gwajima D kutokana na uzi wake alioundika jana unaosomeka >Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto
Kilichopelekea kuandika maoni yangu ni ile post namba #7 ya Mheshimiwa Waziri kwenye ule uzi.
Iliyosomeka > Halafu sasa mtoto...
Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi— Institute of Social Work, Bamaga, Dar es Salaam wanalalamika ratiba za masomo zinazoenda mpaka Saa 4 Usiku. Hii inahatarisha usalama wao hasa wakati wa kurudi makwao huku wengine wakitokea mbali kama vile Gongo la Mboto, Mbagala, Tegeta; hii inapelekea kufika makwao...
Anonymous
Thread
patience kawamala
ratiba ya masomo hadi saa 4 usiku
ustawiwajamii
DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI
Na WMJJWM-Mtwara
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.