n.k

  1. Frustration

    Sielewi na naomba mnitofautishie

    Katika kutolewa tongotongo juu ya meditation nikawa very eager and interested to practice, lakini nikakutana na vitu viwili ,AP na Lucid dreamer. katika fuatilia threads nikagundua AP ni advanced and sometime is danger ila Lucid ni safe and tranquil to practice. Sasa how naona process ni same...
Top