mtoto wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sawa Umemuoa mzazi mwenzangu (Single mother) Na ukakubali kumlea mtoto wangu; sasa ni kwanini unipangie namna ya Kumuona mtoto na mzazi mwezangu?

    Narudia kusema tena hili kwa sauti kubwa HAKUNA MWANAMKE ANAWEZA KUZAA NA MWANAUME ASIYEMPENDA HAYUPO. Sasa kama umekubali kuishi naye na hata kumlea mtoto wetu pamoja na mzazi mwenzangu na unajua wazi Sheria ya nchi inaniruhusu kuonana na mtoto wangu kila ninapohitaji kuonana naye na hata...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu Wakuu, Wahadhiri wanaoomba rushwa ya ngono wamemfikia mtoto wangu

    Huyu mtoto wangu amepitia hii changamoto mwaka Jana mpaka mtoto akatoa pesa bila sisi kujua, Bahati mbaya tena mwaka huu mwalimu alikuwa anawafundisha pia amempa supp na ameahidi hachomoi mpaka ampe mapenzi, na inasadikika ameungua. Wakuu msaada wenu.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Wamemuasili mtoto wangu bila kunishirikisha

    Mwanamke aitwaye Juliana Gregory Temu (31) Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es saalam amemuomba Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, Wadau wa kutetea haki za Binadamu na Wasamaria wote kumsaidia ili ampate Mtoto wake Purity Anthony Njau ambaye...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naenda kudai mtoto wangu kwenye ndoa ya mtu

    Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia. Sasa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Mtoto wangu hakuandamana, alipigwa risasi

    Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo. Wananchi hao wameyasema hayo Januari 5, 2026 mkoani Arusha mbele ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi aieleza tume ya uchunguzi, Mtoto wangu hakuandamana, alipigwa risasi

    Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo. Wananchi hao wameyasema hayo Januari 5, 2026 mkoani Arusha mbele ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji...
  7. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa taratibu za kuomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania

    Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili. Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025. Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

    Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu ameniambia wapeleke Tsh. 3000 ya mtihani wa moko darasa la nne ila hawatoi risiti

    Mtoto wangu ameniambia wapeleke 3000 ya mtiani wa moko darasa la nne ila hawatoi risiti vp TRA wanapataje mapato yao?
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nshukutu Mungu mtoto wangusio shabiki wa Yanga,kuna vijana wa ovyo sana Yanga

    Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli. Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga. Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

    Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu. Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nitumie njia gani kumsaidia Mtoto wangu ambaye ni mzito kidogo kuelewa Shuleni (Slow learner)?

    Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
  14. Organic Uncle

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar; Ni kweli nikimpatia adhabu mtoto wangu akiwa amefanya makosa nitashtakiwa kwa unyanyasaji wa mtoto?

    Wadau habari ya wakati huu. Mwaka jana nilikuwa Dar maeneo ya tabata kisukulu. Nilienda kumsalimia mjomba. Katika moja ya maongezi alinieleza mjukuu wake mmoja ambaye hasikii sana na anatabia mbovu Nilimuuliza nyie mmetulea sn kwa viboko na adhabu ndogondogo mpaka tumenyooka Vipi huyu mjukuu...
  15. Now and then

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  17. danhoport

    JamiiForums Tanzania Nimepewa lift nikiwa na mtoto wangu, roho imeniuma sana

    Wazima humu? Mimi huwa na utaratibu wa kutoka na mwanangu asubuhi kumpeleka shule kila siku na huwa natoka nae kuanzia saa moja huwa tunapanda bajaji au bodaboda, sasa leo tukiwa tunatembea kuona kama tutakutana na bajaji ili tupande ndo akapita jamaa na Rumion nyekundu akaniambia panda...
  18. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anatafuna meno tiba yake nini?

    Jf doctors na wadau naomba msaada wa mawazo, mtoto ni wa mwaka mmoja ni wa kike nifanyeje ili kutibu tatizo
  19. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Mzazi Mwenzangu kamtelekeza mtoto wangu

    Habarini wana Jamvi. Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto ilikuwa ni ajali kazini. Nahudumia mtoto ina Bima hii mbovu mbovu ya NHIF nimemkatia ila katikati apa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Arusha amwambia Makonda: Mtoto wangu amelawitiwa, Askari Polisi hawanisaidii na wananipa vitisho

    Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
Back
Top Bottom