Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi;
1. Be forward,
2. SBT Japan,
3. Enhance Auto.
Habari
Pasipob kupoteza muda naomba niende kwenye mada Moja kwa Moja
Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kuposti magari used Toka Japan na Bei zake yakiwa bila Kodi lkn pia yakiwa yamejumuishwa Kodi na ni Kodi zipi na mtu anapaswa kulipa Kwa awamu ngapi na kutakuwa na full details za kila GARI...
Reference Number:
24254119019
Make:
TOYOTA
Model:
PASSO - KGC 30/35
Body Type:
HATCHBACK
Year of Manufacture:
2012
Country:
JAPAN
Fuel Type:
PETROL
Engine Capacity:
501 - 1000 CC
Price 16M
Habar
Kwa wale wote WENYE uhitaji wa kuagiza gari nje ya nchi naomba tuwasiliane
0686153806
Toyota Noah 2008
Reference Number:24254118958
Make:TOYOTA
Model:NOAH - ZRR 70 / 75
Body Type:WAGON
Year of Manufacture:2008
Country:JAPAN
Fuel Type:pETROL
Engine Capacity:1501 -
Price 22M
2010 Toyota premio
Reference Number:24254119264
Make:TOYOTA
Model:pREMIO - ZRT260 / ZRT261 / ZRT265
Body Type:SEDAN
Year of Manufacture:2010
Country:JAPAN
Fuel Type:pETROL
Engine Capacity:1501 - 2000 CC
Price 30M
Reference Number:24254079890
Make:NISSAN
Model:CIVILIAN BUS - DCW41/DJW41/DVW41
Body Type:BUS
Year of Manufacture:2011
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:2501 CC
Mileage 90,994km
Price 45M
Habari
Baada ya kuiona changamoto ya watu kutokuwa na uelewa wa kuyosha hususani susla la kuagiza magari nje ya nchi Leo nimeamua kukuletea magari Rosa YANAYOONGIZA Kwa KUAGIZWA Toka nje ya nchi
1. Toyota harrier
Habari
Kwa wale wote WENYE ndoto za kumiliki GARI aina ya Mazda VERISSA tukutane hapa
Lengo la kufungua Uzi huu ni kuweza kuweka magari yote aina ya Mazda VERISSA yaliyoko sokoni ambayo unaweza ukaaguza na kupata Kwa Bei nzuri sana magari haya yote mwaka wa matengenezo inaanzia 2005-2013...
Habari
Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kutangaza magari ya Toyota harrier models zote huku nikijunuisha na gharama zote kama vile Kodi za tra nk
Hii itamrahisishia mtu anayetaka kununua gari aina ya Toyota harrier aweze kuzijua gari hizi Vizur lkn pia ajue ni kiasi Gani kinahitajika ili aweze...
29 May 2025
Tokyo, Japan
PM MAJALIWA - JAPAN YAKARIBISHWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=OZi6y1z9ffE
Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa asema kuwa Japan imekubali sasa kufanya ubia na wazawa wa kiTanzania kufungua biashara na miradi mikubwa Tanzania
Kimkakati...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo.
Amekutana na...
wanasema tembea ujionee.Ndio maana mkinunua magari used yao kukuta vyakula na vitu vengine ndani ya gari ni kitu cha kawaida.
Japani ukinunua kitu chochote mfano chakula basi hakikisha una cha kubebea uchafu ili ukatupie kwako.
Na uchafu ambao unaweza kukuta unatakiwa kupokelewa ni chupa za...
1. Kama mjuavyo Japan Expo 2025 imeanza toka April 2025. Sisi wazee wa fursa tunawakilishwa na nani huko? Kwenye msafara tusisahau kubeba Korosho, Karafuu na Madera.
2. Bongo movies wasikose kwenye list tafadhali
Kwa sasa tunaiona Taiwan kama eneo linalovutana na China, huku kila upande ukidai uhalali. Lakini je, historia ya Taiwan ni ipi hasa? Ilikuwaje sehemu ya China? Je, Nationalists walifika vipi kule? Na walikuwa na msimamo gani wakati wa vita dhidi ya Japan?
---
1. Je, China Ilikuwa Chini ya...
Japan miaka yake ikiwa kwenye peak, ilikuwa ni moja ya nchi tishio barani Asia kama tu Ujerumani ilivyokuwa tishio barani ulaya enzi zile za vita kuu ya pili ya dunia.
Sasa ndani ya jeshi la Japan kulikuwa na kitengo cha kitabibu kulichokuwa mahsusi katika kufanya tafiti za kisayansi za...
Jimbo la California nchini Marekani imeipiku Japan kwa kuwa na uchumi mkubwa namba NNE Duniani.
Uchumi wa California umeipita Japan, na kuifanya jimbo hilo la Marekani kuwa nguvu ya nne kwa ukubwa kiuchumi duniani.
Gavana Gavin Newsom alijivunia takwimu mpya kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.