japan

  1. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Agiza aina yeyote ya gari sasa kutoka kampuni ya chaguo lako popote duniani kupitia Morning Joy Motors kwa mkopo wa hata miezi 361

    ‎UTANGULIZI ‎ ‎Je, kuna gari umeiona na unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania kwa namna moja ama nyingine gharama ziko juu? ‎ ‎Je, Gari uipendayo umekuta gharama iko juu kuliko bajeti uliyotenga kwa sasa ? ‎Kama jibu ni NDIYO, basi huduma yetu sisi @morning_joy_motors...
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Japan kuwa na silaha za nyuklia yatishia usalama wa dunia

    Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtandao wa kifamilia ulivyoteka sekta ya uingizaji wa magari Japan - Tanzania

    Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na kuelekeza mabilioni ya fedha za Serikali katika mifuko yao, huku kukiwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Japan unatangaza ufadhili wa masomo na tafiti nchini Japan

    FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN (SCHOLARSHIPS FOR INTERNATIONAL STUDENTS IN JAPAN) Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuhusu uwepo wa fursa mbalimbali za ufadhili wa masomo na tafiti nchini Japan, zinazotolewa na Serikali ya Japan na wadau wengine wa...
  5. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST AKA Karibu Japan iko sokoni

    Bei/Price TSH 12.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA IST Year: 2004 Engine: 1,490Cc Mileage: 95,608Km Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Swap Deals Allowed
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ajiuzulu wiki chache baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi

    Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameamuwa kujiuzulu baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party, (LDP) kupoteza wingi wa viti kufuatia uchaguzi wa baraza la juu. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa Ishiba, mwenye umri wa miaka 68, anataka kuepusha mgawanyiko wa chama, huku...
  7. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Japan kujenga miji minne kwa ajili ya Waafrika kutoka nchi nne kwenda kuishi: Tanzania ikiwemo

    📸Tokyo, Japan NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4 Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
  8. Bueno

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza nilipotembelea Kumamoto, Japan

    Ndipo nikashuka uwanja wa Aso Kumamoto Airport, nilienjoy sana. Karibu Japan. KONNICHIWA.
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tanzania miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na ajira, ujuzi kupitia mpango wa Japan wa thamani ya dola bilioni 5.5

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na mpango mpya wa Japan uitwao “Hometown Initiative”, mpango unaolenga kuimarisha uhusiano na Afrika huku pia ukishughulikia changamoto za idadi ya watu nchini Japan. Kupitia mpango huo, Jiji la Nagai katika Prefecture ya...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Japan waahidi kukuza ushirikiano

    MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu, miradi mikubwa ya maendeleo na miradi ya msingi (Grassroots projects), na kilimo ikiwemo ukuzaji wa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna kijiji kinaandaliwa huko Japan kwa ajili ya wafanyakazi wahamiaji kutoka Tanzania

    Nchi inakosa nguvu kazi kwa baadhi ya mambo hadi kupelekea kutayarishia wahamiaji mazingira
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili jijini Yokohama (Japan) kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa ticad 9

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Yokohama, Japan kumwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo...
  13. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Je wajua? Tanzania ndio nchi pekee ya Africa inayo import kwa asilimia kubwa kutoka JAPAN

    Kulingana na report mbalimbali, Nchi ya Tanzaia ndio nchi pekee africa inayoshikilia record ya kuingiza bidhaa kwa wingi kutoka Japan, na hapo tunazungumzia used cars. Nitaweka viambatinisho kadhaa, kwa hivyo msione JICA wanajitutumua na misaada yao, wanajua pia sisi Tz ni wateja wao wazuri...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Nchini Japan, unaweza kulipa ili kupotea bila kuacha alama, ni halali kwa 100%

    Yonige-ya ni Biashara za Japani zinazosaidia watu kutoweka kutoka kwa maisha yao ya sasa, mara nyingi ili kuepuka hali ngumu kama madeni, mhusiano mabaya, au shinikizo la kijamii. Wanaitwa "wahamishaji wa usiku" kwa sababu wanahamisha watu kwa siri, mara nyingi usiku, ili kuepuka kugunduliwa na...
  15. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Angalia Japan ilivyokuwaga Katili

    Hebu cheki Japan ilivyokuwaga katili dhidi ya China na mataifa mengine ya Asia. Ilikuwa katili km Ujerumani na iliua wachina milioni 26; ila watu bado wanaiomea huruma kupigwa mabomu ya nuclear ambayo yote yaliua watu km 200k tu when wao wameua mamilioni
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaojitafuta: Mke anaweza kutoka kijijini akaletwa Mjini, Lakini Gari… Lazima litoke Japan!

    Habari za weekend wakuu. Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda. Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua au kuagiza baiskeli used Japan, nerthela au kwingineko

    Msaada wazoefu nawezaje kuagiza baiskeli used toka japani nakwingineko baiskeli kama hizi
  19. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba, aapa kubaki Madarakani licha ya Upinzani kushinda kwa kura nyingi za Bunge

    Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameapa kubaki madarakani, licha ya muungano wa chama chake tawala kupata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge la Juu, hali ambayo imezua mashaka ndani ya chama chake huku upinzani ukifikiria kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani naye Ishiba, ambaye...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa kuagiza gari na Autocom Japan naomba msaada

    Habari wakubwa, Samahani kwa wenye experience ya kuagiza gari na hawa Autocom Japan,naomba kufahamu mambo haya:- 1. Kwenye Malipo huwa wanakuwa na Account maalumu ya Kampuni ili kufanya Malipo,au zinabadilika badilika? 2. Huwa wana namba moja maalumu kwa ajili ya mawasiliano WhatsApp au zipo...
Back
Top Bottom