Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,438
1,387
masomo.jpg


TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN

Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 – 2026, inayotolewa chuoni hapo.

Maombi ya kujiunga na masomo yameshanza kupokelewa Chuo Kikuu Tsukuba na mwisho wa kupokea maombi hayo ni tarehe 26 Januari 2023 (saa za Japan).

Tunapenda kuwasilisha taarifa hii ya fursa ya masomo katika Chuo KikuuTsukuba, Japan ili kuwezesha Watanzania wengi kuchangamkia fursa hiyo ya masomo katika chuo hicho. Kwa taarifa zaidi tafadhali tembelea:

Email. wbgsp@dpipe.tsukuba.ac.jp

Admission: |PEPP(tsukuba.ac.jp):Admission|PEPP
 
Back
Top Bottom