crown

A crown is a traditional symbolic form of head adornment worn by a monarch or by a deity (as distinct from a hat), for whom the crown traditionally represents power, legitimacy, victory, triumph, honor, and glory, as well as immortality, righteousness, and resurrection. In art, the crown may be shown being offered to those on Earth by angels. Crowns may also be in the form of a wreath of flowers, oak leaves, or thorns. In religious art, a crown of stars is used similarly to a halo. Crowns worn by rulers often contain jewels.

View More On Wikipedia.org
  1. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tooro prince dies of throat cancer

    Crown Prince David, elder brother to the newly designated King Edward Rukidi Nyabongo, has died at the Uganda Cancer Institute in Mulago. Prince David died on September 15, 2026, after a long battle with cancer and chemotherapy treatment at local health facilities. His death comes less than...
  2. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kweli ni ngumu! Mtangazaji wa Crown FM apata homa akiwa anawahoji wageni waliomshtukiza studio

    Imagine Mimi nisiyejua kiingereza nimeona aibu kwa niaba ya mtangazaji huyu, nasikia tu you,you, you gonna... Kiufupi ni ngori! 🙌 Kiingereza kweli ni kumanyoko 😎
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania "Nilianza na mtaji wa laki 2 mwaka juzi, leo hii naendesha crown" acheni fix vijana😁

    Mna pajua mlipo toa pesa hadi kuendesha crown ndani ya miaka miwili baada ya kuanza na mtaji wa 200k 😁
  4. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda The Tears of Nyinamwiru: Is Tooro’s Crown Haunted?

    Deep in the hills of western Uganda, the Amabere Ga Nyina Mwiru caves hold one of Tooro’s most enduring legends — a story of a princess, a prophecy and a royal bloodline that was seemingly impossible to escape. To visitors/Tourists, the caves are a natural wonder, shaped by limestone and water...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Juma Ayo ana IQ ndogo sana. Inakuwaje Crown Fm wanampa majukumu yanayozidi uwezo wake?

    Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club. Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
  6. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Crown athlete ya kufugwa iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 20.8M Call📞+255 747 999 927 CROWN ATHLETE Year: 2005 Engine: 2,490Cc Mileage: 50,000+ Transmission: AUTO ✨Sport Rims ✨Tesla Radio ✨Cruise Control ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Available
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kocha Julio awatukana waandishi wa Crown Fm kipindi kikiwa live asubuhi hii

    Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu. Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga. Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana, Ikabidi Crown Fm wa-...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Tesla Model 3 ya 2019 ni karibia theruthi ya Ushuru wa Toyota Crown ya mwaka huo huo. #EV4Everybody!

    Hapa namaanisha Tesla kutoka USA na Crown kutoka Japan. Walivyosema wanashusha kodi za EV walimaanisha aisee. Juzi juzi Model 3 bila Mil 20+ ya ushuru usiangaike kuitafuta leo unaipata kwa Mil 14. Muda huo huo Ushuru wa Crown generation ya 15 wamoto hatari. Unazidi Mil 38. Hybrids...
  9. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Crown athlete yenye vigezo vyote iko sokoni

    N E W A R R I V A L‼️ Bei/Price- Tsh 25.5M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA CROWN Year: 2006 Engine: 2,490Cc Mileage: 54,556+ Transmission: AUTO Sunroof Back Camera Tesla-Style Radio ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuongelea Gari Used Toyota Crown ndio gari yangu namba moja kwa kupenda

    Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma. Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
  11. warzone

    JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota crown inauzwa 3Gr

    Habari wakuu,kuna engine ya Toyota crown inauzwa ni 3Gr Haina shida Ina kila kitu ,Boss kabadili Engine kwahiyo hiyo aliyotoa anaiuza
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya “Vijana wa Subaru & Crown” na “bodaboda” haipo!

    Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown” Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na wakakutana na chuma Uso kwa uso. Ukiangalia Barabara za TANROAD , hakuna ya kuendesha zaidi ya...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Toyota crown

    Kwa yeyote mwenye uzoefu na toyota crown grs 180 naomba atoe uzoefu wake hapa 4gr itapendeza zaidi. Kipengele cha mafuta weka pembeni, chapa interms of reliability wa vipuli na engine, common problem ni nini and etc
  14. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Crown athlete yenye sunroof na sport rims iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 25M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA CROWN Year: 2007 Engine: 2,490Cc Mileage: 66,000+ Transmission: AUTO SunroofSport RimsLeather Seats Android Radio -100% Duty Paid -Free Registration -wap Deals Allowed
  15. K

    JamiiForums Tanzania Premio vs crown vs mitsubishi RVR

    Kunae uncle wangu , bachelor baada ya kumaliza chuo na kupata kazi ameanza kujipata , anataka kununua usafiri wa kumsaidia kwenye shughuli zake za kila siku jijini Dar es Salaam . Ameniomba ushauri kati ya Crown, Premio new model au RVR ni ipi itamfaa zaidi based on comfort, running and...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Crown FM hasa kipindi cha michezo asubuhi

    Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Crown Media acheni kuilisha maneno Chadema kuhusu maridhiano

    https://www.youtube.com/watch?v=jfQlh6d74a0 Katika taarifa yao wameonyesha Chadema wapo tayari kukaa mezani. Lakini katika majibu yake Lyenda ameeleza vizuri kabisa msimamo wa Chadema. Ila huyu jamaa Lyenda ni kichwa sana, sijui Chadema wanatoa wapi hawa watu
  18. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Car Battle Thread: 2011 Ford Crown Victoria vs 2011 Toyota Crown

    Karibuni kwenye uzi wa kujadili mpambano kati ya magari yanayofanana kigezo na kimuundo. Leo ni 2011 ford crown victoria vs 2011 toyota crown.2011 toyota crown
  19. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Huduma za Kofia Ya Jino ( Dental crown)

    Kuweka jino dental crown ni muhimu hasa Kwa meno ambayo yameoza zaidi ya asilimia 50% ya kiasi Cha ukubwa wa jino. Vile vile hata ambayo yapo chini ya asilimia 50 % unaweza shauriwa pia kuvisha kofia ya jino Bandia . Hii husaidia kuongeza uimara na matokeo ya muda mrefu. Hapa Kabla Na Baada Ya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania A Bloody crown

    And a bloody headscarf too!! The Standard newspaper (Kenya) wametutumikia Watanzania kwa moyo wa uaminifu sana. Pasipo gazeti hili, dunia isingefahamu uchafu wa Hassani. Ni jambo la heri pia kwa Umoja wa Mataifa kuhamishia baadhi ya Ofisi zao Jijini Nairobi. Hii ni baraka iliyohitajika...
Back
Top Bottom