japan

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Japan alipigwa kwa nyuklia lakini ni rafiki mkubwa wa Marekani. Ni kwa sababu gani?

    Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri. Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki. Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora, Korea Kusini wajibu lakini kombora lashindwa kupaa

    Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kuelekea Japan!

    Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali; cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi! Ziara na misafara imekuwa mingi na ya kila siku. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kiuchumi, lakini angalau zionekane jitihada...
  4. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa akwea pipa kuelekea Japan kumzika ABE

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Shinzo Abe. Taratibu za kutoa heshimaza mwisho zinatarajiwa kufanyika Jumanne...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Filamu ya “The Royal Tour” iliyotafsiriwa Kijapan yazinduliwa Japan

    Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour" Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Samia kuhudhuria mazishi ya Shinzo Abe Japan

    Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe. Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Japan: Raia ajichoma moto akipinga mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe

    Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina hazina kubwa sana ya vijana mahamu, Mtanzania Ndg. Benedict Faustine Kikove Mshauri wa Maswala ya Siasa na Mahusiano kwa Umma Ubalozi wa Japan

    Kidumu Chama Cha Mapinduzi Mimi; BENEDICT FAUSTINE KIKOVE Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya...
  9. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang'ara Japan

    Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa ya kimkakati ambayo itatumia mabilioni ya fedha. Japan kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Japan yatoa dola bilioni 30 kusaidia nchi za Afrika

    Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi barani humo. Kiasi hicho cha fedha kimetangazwa kutolewa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

    Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Japan yaandaa mizinga 1,000 ya masafa marefu, yakaa mkao wa kuikabili China

    Duniani mataifa makubwa yameanza kunoa visu na makucha, yanajiweka mkao wa mapambano makali, hivi Waswahili tuko vipi, au tupo tupo tu siku ziende. Tokyo, Japan is considering the deployment of 1,000 long-range cruise missiles to boost its counterattack capability against China, the Yomiuri...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan akutwa na COVID-19

    Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Fumio Kishida imethibitisha kuwa Kiongozi huyo amepima na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, ikiwa ni wiki moja kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika (TICAD) nchini Tunisia. Licha ya kupata maambukizi, imeelezwa kuwa Kiongozi huyo...
  14. Green Beret

    JamiiForums Tanzania Utaratabu wa kuagiza gari kutoka Japan

    Habari wakuu. Ninahitaji kuagiza gari nimejaribu kufuatilia mtandaoni nimeona kuna kampuni tofauti kama beforward, sbi nk. Napata changamoto maana nikiangalia bei zao ziko poa ila ukiangalia kampuni za tz instagram inakuwa mara mbili yake! Naomba ushauri kuhusu hizi kampuni, 1. kuhusu gharama...
  15. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Walevi kwenye Uchumi; Japan yatoa wito kwa Vijana kunywa zaidi pombe ili kukuza Uchumi

    Bila kupoteza muda,hii ndio habari ya Mjini huko Japan.. Hata hapa Tanzania TBL wameripoti kuongezeka kwa faida ya Mauzo ya pombe.. Hongera sana Walevi kwa kukuza Uchumi,wale wengine na soda zao sijui wataficha wapi sura zao.👇 -- Takwimu za hivi majuzi kutoka kwa wakala wa ushuru zinaonyesha...
  16. kunonu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

    Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Corporate Security Supervisor at JTI, Japan Tobacco International

    We’re JTI, Japan Tobacco International and we believe in freedom. We think that the possibilities are limitless when you’re free to choose. In fact, we’ve spent the last 20 years innovating, creating new and better products for our consumers to choose from. It’s how we’ve grown to be present in...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa magari yaliyotumika kutoka Japan kufanyika hukohuko itasaidia kupunguza figisu

    Ninaishukuru sana Serikali kwa uamuzi ulioufanya kwa ukaguzi wa magari yaliyotumika yanayotoka Japan kufanyika huko huko Japan. Kusema kweli TBS wamejiharibia wao wenyewe, kwa asilimia kubwa hakuna mteja aliyetoa gari yake bila kutoa rushwa. Kulikuwa na figisufigusu ya hapa na pale mara mteja...
  19. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

    "TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
  20. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Japan: Aliyemuua Waziri Mkuu Mstaafu amenipa fundisho kuu

    Kwenye hoja Moja kwa moja. Haya maisha hayaishi. Muuaji amenipa funzo kuu. Kwamba nisithibutu kuishi na nyongo. Tunakosewa Sana na viongozi, viongozi hawajui tunayopitia. Wao madam wanasafir kwa ving'ora na nyumba zao zinalindwa sisi tunaishi kama digidigi. Tunamolala wakati tukiutafuta...
Back
Top Bottom