mashariki ya kati

Mashariki ya Kati
Mashariki ya Kati ni eneo la kijiografia linalojumuisha nchi kama Saudi Arabia, Iran, Iraq, Israel, Jordan, Syria, Lebanon, United Arab Emirates, Qatar na nyinginezo
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Adnan Khashoggi — “The Great Gatsby wa Mashariki ya Kati.”

    Adnan Khashoggi alikuwa bilionea wa Saudi Arabia, mfanyabiashara wa kimataifa na mmoja wa watu mashuhuri zaidi katika biashara ya silaha ya karne ya 20. Alijenga utajiri mkubwa kwa kuwa kiungo kati ya serikali, familia za kifalme, kampuni kubwa za silaha na watu wenye ushawishi duniani. Sehemu...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kasi mpya ya mivutano Mashariki ya Kati, mafuta kupanda bei

    Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb na maeneo mengine ya kimkakati katika routes za Usafirishaji wa mafuta. Ikumbukwe pia Houthis...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mafuta hayashuki bei? Data zinaonyesha mafuta yanatoka mashariki ya kati kwa wingi kuliko hata kabla ya vita

    Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza. Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wahouthi walenga Makka tena: Mzozo wa Mashariki ya Kati!

    Wahouthi wa Yemen wajaribu kushambulia mji wa Makka nchini Saudi Arabia kwa mara ya pili. Mzozo unaoonekana kati ya mataifa au makundi ya Kiislamu Mashariki ya Kati, hususan uhasama kati ya Saudi Arabia na makundi kama Wahouthi wa Yemen au madhehebu ya Shia, hausababishwi na chuki za kidini...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Netanyahu Atoa Onyo Kali kwa Iran Katika Mgogoro wa Mashariki ya Kati

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametoa onyo kali dhidi ya Iran, akitishia kuchukua hatua kali zaidi iwapo nchi hiyo itajihusisha moja kwa moja na mashambulizi ya makombora kwenye ardhi ya Israel. Onyo hili linakuja katikati ya kuongezeka kwa mvutano mkali kati ya Israel na kundi la...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huu muungano wa nchi tatu za Ghuba una maana gani mashariki ya kati?

    Trilateral Mecca Defence Agreement — rasmi zaidi ikiitwa Mecca Joint Defence Agreement — ni mkataba mpya wa ulinzi wa pande tatu uliosainiwa tarehe 7 Agosti 2026 huko Makkah, Saudi Arabia, kati ya: Saudi Arabia Türkiye (Turkey) Pakistan Mkataba huu umeingia wakati ambapo hali ya usalama...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa kigaidi wa Iran huko Mashariki ya kati!!

    Iran haikujenga himaya yake ya uwakilishi usiku kucha. Ilitumia miongo kadhaa ikifanya hivyo huku sehemu kubwa ya nchi za Magharibi zikiangalia upande mwingine. Huku serikali za Magharibi zikizingatia mijadala ya kisiasa na kitamaduni ya ndani, Iran iliwapa silaha Hezbollah, Hamas, Houthi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Mashariki ya kati waonyesha China ni kinara wa kutoa masuluhisho kwa nchi za Afrika

    Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu Marekani na Israel zilipozusha mgogoro wa Mashariki ya kati kwa kuishambulia Iran, bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipanda kwa ghafla na kuleta changamoto kwa maisha ya watu wenye mapato ya chini katika nchi mbalimbali duniani. Kati ya nchi zote kubwa duniani...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

    Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mashariki ya kati ipo katika utulivu,Tanzania bei Mafuta imeshuka au bado tupo pale pale

    Kufungwa kwa mfereji wa Hormuz kumeathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa Dunia jambo ambalo limepandisha bei ya Mafuta na gas karibuni ulimwengu kote hususani Tanzania. Kwa sasa mgogoro huu upo katika hali nzuri ya mapatano ya kufunguliwq upya kwa njia kuu ya Biashara na tayari uchumi wa Dunia...
  11. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Ya Iran na Marekani ijue historia"Iran(persia)ndo guardian angel wa mashariki ya kati

    Persians Hao jamaa wanahistoria ya muda mrefu wa kuwa watetezi wakubwa wa jamii za mashariki YA Kati toka kuanzianzishwa kwa ustaarabu wa kiajemi... Hawa jamaa waliwaokoa waisrael wa kale waliokua wamechukuliwa utumwani Babel(Iraq YA Leo) na namna walivoushinda ufalme wa belishaza Kwa...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya Tanzania katika Migogoro unaoendelea Mashariki ya Kati?

    Inajulikana kuwa nchi za Mashariki ya Kati zimejengewa misingi ya Ustaarabu wa kidini tangu enzi na tunapozungumzia dini tunajumuisha Ustawi na utulivu wa Mwanadamu. Migogoro ya kihistoria hususani inahusisha ardhi ya israel-Palestina imeendelea kuwa nadharia kuu ya Kutoweka kwa Amani katika...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Ulaya kutoka Mashariki ya kati na nchi za kiislamu wana matatizo!!

    Angalia video hapo chini ndipo utajua Wafuga Midevu na Majini wana matatizo sana vichwani mwao!!
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu mmoja aliwahi kuniuliza kwanini watu wa mashariki ya kati baadhi yao wanaona ugaidi ni kama moja ya jukumu lao hapa duniani? Nilimjibu hivi

    Its simple, Ni kwa sababu kwao ugaidi umeunganishwa na Mungu, yaani mtu anapigana na watu bila sababu ya msingi kwa niaba ya Mungu wa kufikirika. Inachekesha sana ila kwao ni "sacred." Natumaini Infropreneur na Moisemusajiografii watanisaidia katika hili
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kombola jipya la Marekani Hypersonic Dark Eagle kupelekwa Mashariki ya kati!

    Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Walowezi wa Kiyahudi wazidisha chuki dhidi ya Wakristo Mashariki ya Kati!!!!

    Nyani akimaliza miti huingia mwilini. Kumekuwepo na ongezeko kubwa la vitendo vya chuki dhidi ya wakristo na ukristo hususan Lebanon na Palestina. Baada ya kulivunja sanamu la yesu Kristo, juzi myahudi mmoja alionekana akimshambulia mtawa wa kikristo katika jiji la Jerusalem, bila ya kua na...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga upya hifadhi yake ya Silaha Mashariki ya Kati baada vita na Iran

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Bei za mafuta zawakamua Watanzania wakati migogoro ya Mashariki ya Kati ukiendelea

    Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa. Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hezbollah waanza kufanya Wanachama wao wao zaidi ya 100

    Yesu akamwambia, “Waacheni wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”Luka 9;60 Hayo ni Maneno ya Bwana Yesu. Magaidi wa Hezbollah wameanza kuzika mizoga yao baada ya kipondo cha Bint-Jbeil huko Lebanon kusini
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwenu wachambuzi wa Mashariki ya Kati ( Iran, Israel na Marekani)

    Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi 1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi...
Back
Top Bottom