nafasi za kazi

 1. Manezra

  LOOKING FOR INTERNSHIP IN PR & MARKETING?

 2. L

  Nafasi Ya Kazi Program Coordinator (IT Officer)

  Non Government Organization is searching for Program Coordinators, To apply read the attachment below and follow instructions
 3. Q

  Natafuta mfanyakazi wa saloon mwanamke/mwanaume

  Habari jaman natafuta mfanyakazi wa saloon awe wa mwanamke/mwanaume awe mtaalamu wa mambo yote ya saloon, kujua kusuka, kushonea na kubond weaving aina zote, kuset na kubana style zote n.k Kwa yeyote anaehitaji aniambie 0653072216
 4. defashi

  Baadhi ya Matangazo ya Kazi

  Wapo watu wanaweka matangazo ya kazi. Watu wanafanya application na wanapewa hadi sehem na tarehe ya interview. Ila wakienda wanakutana na semina za Network Marketing. Me naona hii sio fair cos watu wanajiandaa kwa interview na nguo wanapasi then unaenda kuambiwa utafute watu watatu cjui blaa...
 5. bahati93

  Natafuta fundi cherehani

  Kwa wakazi wa dar Fundi mshonaji nguo. Natafuta kijana anayejua kushona nguo. Kama unamfahamu au unajua kushona njoo inbox.
 6. Abby The Rider

  Fursa kwa vijana

  Habar za Jumatatu Kuna fursa kwa vijana wenye moyo wa utafutaji na weny uwezo wa kujituma. Wanahitajika vijana kweny kampuni ya Zantel kwa ajili kufanya Mauzo Sifa Uwe na Smartphone inayofanya kazi vizuri Uwezo wa kuongea na wateja na nguvu ya ushawishi Vigezo Barua ya uthibitisho kutoka...
 7. D

  Nafasi za kazi

  Jobs facilitators ni Organization inayowaunganisha waajiriwa kwa waajiri. Kwa yeyeto mwenye hitaji la kazi yoyote tafadhali tutumie ujumbe kupitia Email Address hapo chini... Jobsfacilitators@gmail.com Na kwa muajiri anaehitaji muajiriwa pia anaweza kuwasiliana na sisi.kupitia Email Address...
Top