hasira

Rabbi Yaakov Abuhatzeira, also known as the Abir Yaakov and Abu Hasira (1806–1880), was a leading Moroccan-Jewish rabbi of the 19th century, son of the patriarch of the Abu Hasira/Abuhatzeira family, R. Samuel.

View More On Wikipedia.org
  1. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hasira na Mihemuko ya Gen-Z Haswa wa Kiafrika Visikuaminishe Chochote, Wako Kwenye Kipindi cha Mpito.

    Kizazi cha Gen-Z, hususan barani Afrika, kimekuwa gumzo kubwa katika mijadala ya kijamii na kisiasa. Vijana hawa wamezaliwa katika enzi ya teknolojia, mitandao ya kijamii, na mabadiliko ya haraka ya kiuchumi na kisiasa. Wanajulikana kwa hasira, mihemuko, na misimamo inayobadilika mara kwa mara...
  2. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Unapopatwa na hasira ukafoka imeonekana kama kisukari kinapanda

    Habari za Saba Saba. Jamani wale wataalaam wa afya kuna uhusiano wa kupandisha hasira na sukari mwilini mwa binadamu?
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiomba muachane, eti naye ana kwao, sijui nini, bro tuliza hasira, usikurupuke tu ondoka, labda kama umemchoka

    Kaka yangu alikorofishana na mkewe yani shemeji yangu, shem akabeba nguo zake akasepa kwao hapohapo dar, bro akawaomba masister zetu ushauri, dada zetu hawana dogo sister mkubwa akasema piga chini tafuta mwingine. Mara shem kapiga simu Kwa bro akamwambia amfate na gari Yao arudi kwake haraka...
  4. realMamy

    JamiiForums Tanzania Hasira hasara

    Hasira. Kuna maana nyingi ya neno hasira na mojawapo ni Ile inayoeleza kuwa ni hali ya moyo wa mtu ulioumia au kujeruhiwa,hivyo huweza kusababisha hasira. Inakuja pale mtu anapohisi amedhalilishwa, amedanganywa, amenyang’anywa haki, au mtu kavunja ahadi yake. Ni kitu fulani kinacholeta...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Nchi hii inatia hasira bila kwenda road hakuna kitu kitabadilika

  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania So sad RC chalamila kauli zake zinahamasisha maandamano na kuongeza hamasa maana zinachochea hasira na vaibu na chuki watu kuingia barabarani.

    RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
  7. puker

    JamiiForums Tanzania Nani Mwingine hasira humweka pabaya kunizidi?

    Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu. Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli...
  8. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

    Wakuu, Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero! Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana. Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Ukishinda Dunia, Serikali Inashinda Pesa Yako — Sawe Tax Saga Yaibua Hasira Kenya

    “Hata Mabingwa Hawaponi!” — Sawe Tax Saga Yafungua Macho ya Wakenya Kuhusu Mzigo wa Ushuru Unaowakandamiza Wananchi Mjadala mkali umeibuka nchini baada ya taarifa kuwa marathon star alikatwa karibu KSh 18 million kama tax kutoka kwa winnings zake za zaidi ya KSh 48 million baada ya mashindano...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nina hasira sana na Mange Kimambi, ameharibu kabisa akili za Watanzania

    Watanzania sasa hasa vijana na wazee wachache hawaeleweki kabisa. Serikali hata ifanye jambo gani wao ni kukosoa tu Serikali inaandaa fursa kwa vijana, vijana badala ya kuamka kuziendea wako busy kusubiri post za vuongozi wa serikali mitandaoni waanze kukosoa . Kila kinachohusiana na serikali...
  11. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Kuna Walio na Hasira, Stress na Ghadhabu baada ya Mission kutokamilika kwa Asilimia mia

    Kuna wakati nilifikiri suala la kuposa, kuoa ni jambo jepesi, ila kwa figisu zile za mashemeji sijaamini macho yangu…kuna level ilifikia nilitaka kuwaachia dada yao ila kuna wazee waliniita pembeni wakanitonya.😃
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chadema wanaenda kuokolezi moto wa hasira za wananchi

    Kwa mda mwingi wananchi walifungwa mdomo wa kuwasemea baada ya Tundu Lissu kufungwa,Chadema kusimamishwa wasifanye mikutano,Heche naye kufungwa na wapendwa wetu kuuwa kama mbwa,sasa moto unaenda kuwaka mpaka kibibi akimbie
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hasira za Mashabiki; Mangungu aokolewa na Polisi

    https://youtube.com/shorts/tOJxCv3CcT0?si=xSS3Qrohs5htvSKG Japo Kwenye mechi ya leo Mangungu hana kosa lolote, ila polisi wangeacha kidogo ale mitama
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

    Hii ni zaidi ya dharau Team haina map inatia kichefuchefu
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Napata hasira mno kila nikifuatilia siasa za Tanzania

    Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba, Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na...
  16. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

    Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu! Hii ni misemo ya wahenga, Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa! Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mambo yalianza kuhariba baada ya hawa Marais kufariki. Chuki na hasira vipo mioyoni mwa Watanzania

    Mpaka leo kuna hasira kubwa ndani ya mioyo ya Watanzania. Baada ya hawa viongozi kufariki.
  18. Tindo

    JamiiForums Tanzania Hasira ya leo imechangiwa na ukweli kuwa anajua hakuwa amechaguliwa watu

    Nimemuelewa sana Samia, hasira zake si maandamano, bali ni kitendo cha wananchi kugoma kujitokeza kumpigia kura. Anajua waliotoka kuandamana ni kama walikuja kujazia tu hesabu, lakini ukweli unaomuuma hadi ni sasa ni ile voters turn out ya aibu.
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Anzeni michakato ya kuwatengenezea Gen Z fursa. Labda hasira yao itapungua

    Millenials tulipoingia kwenye uwanja wa ajira tulikuta fursa zipo zipo kidogo. Fursa za serikalini, biashara na hata zikajitokeza za boda boda na bajaji. Leo hii fursa hizo zimejaa na wala hakuna mpya zinazoonekana. Gen Z wanaingia uwanja wa ajira na hawaoni fursa zozote. Biashara kuna frame...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Jaji Winfrida Korosso: Sheria zilizopitwa na wakati ni chanzo cha hasira kwa vijana

    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Jaji wa Mahakama ya Rufani Winifrida Korosso, amesema kuwa sheria nyingi zilizopo nchini hazilingani na mazingira ya sasa na baadhi yake zimekuwa chanzo cha migogoro katika jamii, ikiwemo kuongeza hasira na malalamiko miongoni mwa Vijana kutokana na...
Back
Top Bottom