Crown Prince wa Iran - Nchi ya Iran kwa sasa ingekuwa Japan ya Mashariki ya Kati

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,319
24,218
UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI

Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi

View: https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8
Source : Valuetainment

Crown Prince Reza Pahlavi akiangalia history ya mageuzi aliyoanzisha babu yake miaka ya 1920 na kisha baba yake mtukufu Shah Mohammad Reza Pahlavi na mageuzi hayo yakazimwa na Ayatollah Khomeini mwezi Agosti 1978 aliyeirudisha Iran katika enzi ya mawe.

Katika utawala wa miaka 37 ya mtukufu Shah Mohammad Reza Pahlavi, uchumi wa Iran ulikuwa kwa kasi kuliko chumi za mataifa makubwa ya USA, UK na mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yalionesha Iran itakuwa Japan ya Mashariki ya Kati pia kuwa mfano wa nchi ya Mashariki ya Kati kuongoza kiviwanda, Teknolojia na elimu ya ugunduzi kama Israel, the Netherlands, USA ....

Crown Prince Reza Pahlavi anawaita viongozi ma ayatollah wa Iran ya sasa ni sawa na genge la kihalifu la mafia linalotumia kila aina ya vitisho, adhabu kwa wanaopinga utawala wa sasa wa Iran ...

Crown Prince Reza Pahlavi anaona tishio linaloikabili dunia ikiwa utawala wa sasa wa Iran unaendelea kuwepo madarakani na utakuwa ni kiini cha kusababisha vita ya tatu ya dunia itakayoanzia Mashariki ya Kati na hivyo utawala huo dhalimu na kandamizi unaounga na kufadhili ugaidi kupitia vikundi mbalimbali duniani unatakiwa kudhibitiwa na kungolewa ...

Mtukufu mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi alikuwa yupo tayarì kukubali mageuzi lakini baadhi ya watu wa vyama vya siasa badala ya kuafiki nia ya mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi, wakaamini kuwa kuhani Ayatollah Khomeini ndiye mtu sahihi wa kupewa jukumu la mabadiliko, kitu ambacho hadi leo raia wa Iran wanajutia kwani huyu mtakatifu / Saint Ayatollah Khomeini hakufanya yale waliyotarajia vyama vya kisiasa.

1700359600046.png

Picha: Ayatollah Khomeini akirejea Iran mwaka 1979 toka France baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka 14 katika nchi za Turkey, Iraq na France
Makosa hayo Mtukufu mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi kuamini vyama vya kisiasa kuongoza mabadiliko na pia bila kuwasahau wanasiasa wa vyama nchini Iran walioona hawaliwezi jukumu la mabadiliko ni moja ya makosa makubwa yaliyowahi kutoa Iran anasema crown Prince Reza Shah mwana wa mfalme...

Mivutano ya kambi za mirengo miwili ya dunia wakati wa vita baridi / cold-war yaani mataifa ya mashariki yakiongozwa na Russia ya kikomunisti na wa magharibi unaoongozwa Marekani katika harakati za mataifa hayo makubwa kuwekeana vigingi kuzuia ushawishi wa mrengo tofauti na yao, kushinda kufanikisha itikadi za kikomunisti au kibepari .... zilivyoweza kusababisha kuangushwa kwa tawala za mashariki ya kati .....

Mfumuko wa bei ukiwa 55%, ukosefu wa kazi, watu kuuza viungo vyao kama figo kulipa madeni huku serikali ya Iran ikitumia fedha nyingi kufadhili vikundi vya kigaidi kama Hezbollah kule Lebanon, Hamas katika ukanda wa Gaza, mgambo wa kiShia Iraq n.k mamilioni ya dolari za Kimarekani huku wananchi wa Iran wakizidi kuumia kiuchumi na kijamii...

Wivu wa utawala wa sasa wa Iran kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii katika nchi za Dubai, Saudia, Jordan, Egypt ambao unatamaniwa na raia wa Iran waliopo chini ya utawala wa mkono wa chuma wa Iran.

Hivyo watawala wa Iran kujaribu kuzima vuguvugu la kudai mabadiliko ndani ya Iran kwa kuchochea vurugu katika nchi za Mashariki ya Kati zinazopiga kasi ya kimaendeleo kwa kuanzisha vita kwa kisingizio cha nchi hizo kuwa karibu na Israel kupitia mikataba ya Abraham accord / normalization ....
 
Ahache propaganda baba yake aliye Utawala Iran kwa miongo kadhaa Ali fanya nini zaidi ya kuwa mlamba matako ya Marekani,kuwafunga wapinzani wake jera na kuwauwa?

Hivi mna fikiri kufikia maendeleo ya Japan ni rahisi kama kujampa?
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Iran ni nchi ya kigaidi na inafadhiri magaidi ngoja tumalizane na hawa chawa wake iran wanaitwa hamasi, tuende hizbolah tutaenda ichakaza iran iwe magofu soon
 
Walitaka jiingiza kwenye hii vita ila bada kuona manowari za marekani wametulia
Ulikuwa wapi kipindi ambacho Iran ilishambulia kambi za US nchini Iraq kipindi cha Trump?

Ulikuwa wapi ambapo waliikamata meli ya mafuta ya UK mbele ya meli ya kijeshi ya UK na UK wakafyata?
 
UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI

Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi

View: https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8
Source : Valuetainment

Crown Prince Reza Pahlavi akiangalia history ya mageuzi aliyoanzisha babu yake miaka ya 1920 na kisha baba yake mtukufu Shah Mohammad Reza Pahlavi na mageuzi hayo yakazimwa na Ayatollah Khomeini mwezi Agosti 1978 aliyeirudisha Iran katika enzi ya mawe.

Katika utawala wa miaka 37 ya mtukufu Shah Mohammad Reza Pahlavi, uchumi wa Iran ulikuwa kwa kasi kuliko chumi za mataifa makubwa ya USA, UK na mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yalionesha Iran itakuwa Japan ya Mashariki ya Kati pia kuwa mfano wa nchi ya Mashariki ya Kati kuongoza kiviwanda, Teknolojia na elimu ya ugunduzi kama Israel, the Netherlands, USA ....

Crown Prince Reza Pahlavi anawaita viongozi ma ayatollah wa Iran ya sasa ni sawa na genge la kihalifu la mafia linalotumia kila aina ya vitisho, adhabu kwa wanaopinga utawala wa sasa wa Iran ...

Crown Prince Reza Pahlavi anaona tishio linaloikabili dunia ikiwa utawala wa sasa wa Iran unaendelea kuwepo madarakani na utakuwa ni kiini cha kusababisha vita ya tatu ya dunia itakayoanzia Mashariki ya Kati na hivyo utawala huo dhalimu na kandamizi unaounga na kufadhili ugaidi kupitia vikundi mbalimbali duniani unatakiwa kudhibitiwa na kungolewa ...

Mtukufu mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi alikuwa yupo tayarì kukubali mageuzi lakini baadhi ya watu wa vyama vya siasa badala ya kuafiki nia ya mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi, wakaamini kuwa kuhani Ayatollah Khomeini ndiye mtu sahihi wa kupewa jukumu la mabadiliko, kitu ambacho hadi leo raia wa Iran wanajutia kwani huyu mtakatifu / Saint Ayatollah Khomeini hakufanya yale waliyotarajia vyama vya kisiasa.

View attachment 2818379

Makosa hayo Mtukufu mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi kuamini vyama vya kisiasa kuongoza mabadiliko na pia bila kuwasahau wanasiasa wa vyama nchini Iran walioona hawaliwezi jukumu la mabadiliko ni moja ya makosa makubwa yaliyowahi kutoa Iran anasema crown Prince Reza Shah mwana wa mfalme...

Mivutano ya kambi za mirengo miwili ya dunia wakati wa vita baridi / cold-war yaani mataifa ya mashariki yakiongozwa na Russia ya kikomunisti na wa magharibi unaoongozwa Marekani katika harakati za mataifa hayo makubwa kuwekeana vigingi kuzuia ushawishi wa mrengo tofauti na yao, kushinda kufanikisha itikadi za kikomunisti au kibepari .... zilivyoweza kusababisha kuangushwa kwa tawala za mashariki ya kati .....

Mfumuko wa bei ukiwa 55%, ukosefu wa kazi, watu kuuza viungo vyao kama figo kulipa madeni huku serikali ya Iran ikitumia fedha nyingi kufadhili vikundi vya kigaidi kama Hezbollah kule Lebanon, Hamas katika ukanda wa Gaza, mgambo wa kiShia Iraq n.k mamilioni ya dolari za Kimarekani huku wananchi wa Iran wakizidi kuumia kiuchumi na kijamii...

Wivu wa utawala wa sasa wa Iran kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii katika nchi za Dubai, Saudia, Jordan, Egypt ambao unatamaniwa na raia wa Iran waliopo chini ya utawala wa mkono wa chuma wa Iran.

Hivyo watawala wa Iran kujaribu kuzima vuguvugu la kudai mabadiliko ndani ya Iran kwa kuchochea vurugu katika nchi za Mashariki ya Kati zinazopiga kasi ya kimaendeleo kwa kuanzisha vita kwa kisingizio cha nchi hizo kuwa karibu na Israel kupitia mikataba ya Abraham accord / normalization ....

Shah naye alikuwa kibaraka tu wa Marekani na aliingia madarakani kwa kumpindua waziri mkuu wa Iran aliyechaguliwa kidemokrasia Mohammad Mosaddegh - Wikipedia

Ulikuwa wapi kipindi ambacho Iran ilishambulia kambi za US nchini Iraq kipindi cha Trump?

Ulikuwa wapi ambapo waliikamata meli ya mafuta ya UK mbele ya meli ya kijeshi ya UK na UK wakafyata?
Kwa hiyo UK mwana chama wa Nato anaiogopa Iran?
 
Ulikuwa wapi kipindi ambacho Iran ilishambulia kambi za US nchini Iraq kipindi cha Trump?

Ulikuwa wapi ambapo waliikamata meli ya mafuta ya UK mbele ya meli ya kijeshi ya UK na UK wakafyata?
Nilikua kumzija qasim yule kiongozi gaidi wa iran alieuwa kule iraq. Hasira mukawana wa iran yakaripua ndege yao yenye raia wa iran zaidi ya 200+ . Nimejibu nafikiri
 
Iran chini ya utawala wa ma -ayatollah ni taifa hatari kijio-stratejia zaidi kwa usalama wa dunia na maslahi ya mataifa makubwa kuliko North Korea
 
The Pahlavi family reigned over Iran from 1925 to 1979. Founding father Reza Shah Pahlavi was born Reza Khan and came from a humble background. He soon rose up the ranks from soldier to military leader to oust the last ruler of the Qajar dynasty, which consolidated power in the late 1780s. Reza Shah held court until 1941, when a British and Russian invasion forced him to abdicate. His son, Mohammad Reza Pahlavi, took over. https://www.washingtonpost.com/world/2020/01/16/divisive-legacy-irans-royal-family/

1700415293811.png

Qajar Dynasty

agha_mohammad_khan.jpg
Agha Mohammad Khan​

The Qajars were a Turkmen tribe that held ancestral lands in present-day Azerbaijan, which then was part of Iran. In 1779, following the death of Mohammad Karim Khan Zand, the Zand Dynasty ruler of southern Iran, Agha Mohammad Khan, a leader of the Qajar tribe, set out to reunify Iran.

Agha Mohammad Khan defeated numerous rivals and brought all of Iran under his rule, establishing the Qajar dynasty. By 1794 he had eliminated all his rivals, including Lotf 'Ali Khan, the last of the Zand dynasty, and had reasserted Iranian sovereignty over the former Iranian territories in Georgia and the Caucasus.

Agha Mohammad established his capital at Tehran, a village near the ruins of the ancient city of Ray (now Shahr-e Rey). In 1796 he was formally crowned as shah. Agha Mohammad was assassinated in 1797 and was succeeded by his nephew, Fath Ali Shah.

Fath Ali Shah, 1797 - 1834
Under Fath Ali Shah, Iran went to war against Russia, which was expanding from the north into the Caucasus Mountains, an area of historic Iranian interest and influence. Iran suffered major military defeats during the war. Under the terms of the Treaty of Golestan in 1813, Iran recognized Russia's annexation of Georgia and ceded to Russia most of the north Caucasus region.

A second war with Russia in the 1820s ended even more disastrously for Iran, which in 1828 was forced to sign the Treaty of Turkmanchai acknowledging Russian sovereignty over the entire area north of the Aras River (territory comprising present-day Armenia and Republic of Azerbaijan).

Fath Ali's reign saw increased diplomatic contacts with the West and the beginning of intense European diplomatic rivalries over Iran. His grandson Mohammad Shah, who fell under the influence of Russia and made two unsuccessful attempts to capture Herat, succeeded him in 1834. When Mohammad Shah died in 1848 the succession passed to his son Naser-e-Din, who proved to be the ablest and most successful of the Qajar sovereigns.

naser_odin_shah.jpg
Naser o-Din Shah​

Naser o-Din Shah, 1848 - 1896
During Naser o-Din Shah's reign Western science, technology, and educational methods were introduced into Iran and the country's modernization was begun. Naser o-Din Shah tried to exploit the mutual distrust between Great Britain and Russia to preserve Iran's independence, but foreign interference and territorial encroachment increased under his rule. He contracted huge foreign loans to finance expensive personal trips to Europe. He was not able to prevent Britain and Russia from encroaching into regions of traditional Iranian influence. In 1856 Britain prevented Iran from reasserting control over Herat, which had been part of Iran in Safavid times but had been under non-Iranian rule since the mid-18th century. Britain supported the city's incorporation into Afghanistan; a country Britain helped create in order to extend eastward the buffer between its Indian territories and Russia's expanding empire. Britain also extended its control to other areas of the Persian Gulf during the 19th century. Meanwhile, by 1881 Russia had completed its conquest of present-day Turkmenistan and Uzbekistan, bringing Russia's frontier to Iran's northeastern borders and severing historic Iranian ties to the cities of Bukhara and Samarqand. Several trade concessions by the Iranian government put economic affairs largely under British control. By the late 19th century, many Iranians believed that their rulers were beholden to foreign interests.

Mirza Taghi Khan Amir Kabir, was the young prince Nasser o-Din's advisor and constable. With the death of Mohammad Shah in 1848, Mirza Taqi was largely responsible for ensuring the crown prince's succession to the throne. When Nasser o-Din succeeded to the throne, Amir Nezam was awarded the position of prime minister and the title of Amir Kabir, the Great Ruler.

Iran was virtually bankrupt, its central government was weak, and its provinces were almost autonomous. During the next two and a half years Amir Kabir initiated important reforms in virtually all sectors of society. Government expenditure was slashed, and a distinction was made between the privy and public purses. The instruments of central administration were overhauled, and the Amir Kabir assumed responsibility for all areas of the bureaucracy. Foreign interference in Iran's domestic affairs was curtailed, and foreign trade was encouraged. Public works such as the bazaar in Tehran were undertaken. Amir Kabir issued an edict banning ornate and excessively formal writing in government documents; the beginning of a modern Persian prose style dates from this time.

One of the greatest achievments of Amir Kabir was the building of Dar-ol-Fonoon, the first modern university in Iran. Dar-ol-Fonoon was established for training a new cadre of administrators and acquainting them with Western techniques. Amir Kabir ordered the school to be built on the edge of the city so it can be expanded as needed. He hired French and Russian instructors as well as Iranians to teach subjects as different as Language, Medicine, Law, Georgraphy, History, Economics, and Engeneering. Unfortunatelly, Amir Kabir did not live long enough to see his greatest monument completed, but it still stands in Tehran as a sign of a great man's ideas for the future of his country.

These reforms antagonized various notables who had been excluded from the government. They regarded the Amir Kabir as a social upstart and a threat to their interests, and they formed a coalition against him, in which the queen mother was active. She convinced the young shah that Amir Kabir wanted to usurp the throne. In October 1851 the shah dismissed him and exiled him to Kashan, where he was murdered on the shah's orders.

mozaffar_odin_shah.jpg
Mozaffar o-Din Shah​

The Constitutional Revolution
When Naser o-Din Shah was assassinated by Mirza Reza Kermani in 1896, the crown passed to his son Mozaffar o-Din. Mozaffar o-Din Shah was a weak and ineffectual ruler. Royal extravagance and the absence of incoming revenues exacerbated financial problems. The shah quickly spent two large loans from Russia, partly on trips to Europe. Public anger fed on the shah's propensity for granting concessions to Europeans in return for generous payments to him and his officials. People began to demand a curb on royal authority and the establishment of the rule of law as their concern over foreign, and especially Russian, influence grew.

The shah's failure to respond to protests by the religious establishment, the merchants, and other classes led the merchants and clerical leaders in January 1906 to take sanctuary from probable arrest in mosques in Tehran and outside the capital. When the shah reneged on a promise to permit the establishment of a "house of justice", or consultative assembly, 10,000 people, led by the merchants, took sanctuary in June in the compound of the British legation in Tehran. In August the shah was forced to issue a decree promising a constitution. In October an elected assembly convened and drew up a constitution that provided for strict limitations on royal power, an elected parliament, or Majles, with wide powers to represent the people, and a government with a cabinet subject to confirmation by the Majles. The shah signed the constitution on December 30, 1906. He died five days later. The Supplementary Fundamental Laws approved in 1907 provided, within limits, for freedom of press, speech, and association, and for security of life and property. The Constitutional Revolution marked the end of the medieval period in Iran. The hopes for constitutional rule were not realized, however.

Mozaffar o-Din's son Mohammad Ali Shah (reigned 1907-09), with the aid of Russia, attempted to rescind the constitution and abolish parliamentary government. After several disputes with the members of the Majlis, in June 1908 he used his Russian-officered Persian Cossacks Brigade to bomb the Majlis building, arrest many of the deputies, and close down the assembly. Resistance to the shah, however, coalesced in Tabriz, Esfahan, Rasht, and elsewhere. In July 1909, constitutional forces marched from Rasht and Esfahan to Tehran, deposed the shah, and re-established the constitution. The ex-shah went into exile in Russia.

ahmad_shah.jpg
Ahmad Shah​

Although the constitutional forces had triumphed, they faced serious difficulties. The upheavals of the Constitutional Revolution and civil war had undermined stability and trade. In addition, the ex-shah, with Russian support, attempted to regain his throne, landing troops in July 1910. Most serious of all, the hope that the Constitutional Revolution would inaugurate a new era of independence from the great powers ended when, under the Anglo-Russian Agreement of 1907, Britain and Russia agreed to divide Iran into spheres of influence.

The Russians were to enjoy exclusive right to pursue their interests in the northern sphere, the British in the south and east; both powers would be free to compete for economic and political advantage in a neutral sphere in the center. Matters came to a head when Morgan Shuster, a United States administrator hired as treasurer general by the Persian government to reform its finances, sought to collect taxes from powerful officials who were Russian protégés and to send members of the treasury gendarmerie, a tax department police force, into the Russian zone.

When in December 1911 the Majles unanimously refused a Russian ultimatum demanding Shuster's dismissal, Russian troops, already in the country, moved to occupy the capital. To prevent this, on December 20 Bakhtiari chiefs and their troops surrounded the Majles building, forced acceptance of the Russian ultimatum, and shut down the assembly, once again suspending the constitution. There followed a period of government by Bakhtiari chiefs and other powerful notables.

Ahmad Shah, was born 21 January 1898 in Tabriz, who succeeded to the throne at age 11, proved to be pleasure loving, effete, and incompetent and was unable to preserve the integrity of Iran or the fate of his dynasty.

The occupation of Iran during World War I (1914-18) by Russian, British, and Ottoman troops was a blow from which Ahmad Shah never effectively recovered. With a coup d'état in February 1921, Reza Khan (ruled as Reza Shah Pahlavi, 1925-41) became the preeminent political personality in Iran; Ahmad Shah was formally deposed by the Majles (national consultative assembly) in October 1925 while he was absent in Europe, and that assembly declared the rule of the Qajar dynasty to be terminated. Ahamd Shah died later on 21 February 1930 in Neuilly-sur-Seine, France.

Shah Mohammad Reza Pahlavi

View: https://m.youtube.com/watch?v=9RH2wXQtFdo&
 
UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI

Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi

View: https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8
Source : Valuetainment

Crown Prince Reza Pahlavi akiangalia history ya mageuzi aliyoanzisha babu yake miaka ya 1920 na kisha baba yake mtukufu Shah Mohammad Reza Pahlavi na mageuzi hayo yakazimwa na Ayatollah Khomeini mwezi Agosti 1978 aliyeirudisha Iran katika enzi ya mawe.

Katika utawala wa miaka 37 ya mtukufu Shah Mohammad Reza Pahlavi, uchumi wa Iran ulikuwa kwa kasi kuliko chumi za mataifa makubwa ya USA, UK na mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yalionesha Iran itakuwa Japan ya Mashariki ya Kati pia kuwa mfano wa nchi ya Mashariki ya Kati kuongoza kiviwanda, Teknolojia na elimu ya ugunduzi kama Israel, the Netherlands, USA ....

Crown Prince Reza Pahlavi anawaita viongozi ma ayatollah wa Iran ya sasa ni sawa na genge la kihalifu la mafia linalotumia kila aina ya vitisho, adhabu kwa wanaopinga utawala wa sasa wa Iran ...

Crown Prince Reza Pahlavi anaona tishio linaloikabili dunia ikiwa utawala wa sasa wa Iran unaendelea kuwepo madarakani na utakuwa ni kiini cha kusababisha vita ya tatu ya dunia itakayoanzia Mashariki ya Kati na hivyo utawala huo dhalimu na kandamizi unaounga na kufadhili ugaidi kupitia vikundi mbalimbali duniani unatakiwa kudhibitiwa na kungolewa ...

Mtukufu mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi alikuwa yupo tayarì kukubali mageuzi lakini baadhi ya watu wa vyama vya siasa badala ya kuafiki nia ya mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi, wakaamini kuwa kuhani Ayatollah Khomeini ndiye mtu sahihi wa kupewa jukumu la mabadiliko, kitu ambacho hadi leo raia wa Iran wanajutia kwani huyu mtakatifu / Saint Ayatollah Khomeini hakufanya yale waliyotarajia vyama vya kisiasa.

View attachment 2818379

Makosa hayo Mtukufu mfalme Shah Mohammad Reza Pahlavi kuamini vyama vya kisiasa kuongoza mabadiliko na pia bila kuwasahau wanasiasa wa vyama nchini Iran walioona hawaliwezi jukumu la mabadiliko ni moja ya makosa makubwa yaliyowahi kutoa Iran anasema crown Prince Reza Shah mwana wa mfalme...

Mivutano ya kambi za mirengo miwili ya dunia wakati wa vita baridi / cold-war yaani mataifa ya mashariki yakiongozwa na Russia ya kikomunisti na wa magharibi unaoongozwa Marekani katika harakati za mataifa hayo makubwa kuwekeana vigingi kuzuia ushawishi wa mrengo tofauti na yao, kushinda kufanikisha itikadi za kikomunisti au kibepari .... zilivyoweza kusababisha kuangushwa kwa tawala za mashariki ya kati .....

Mfumuko wa bei ukiwa 55%, ukosefu wa kazi, watu kuuza viungo vyao kama figo kulipa madeni huku serikali ya Iran ikitumia fedha nyingi kufadhili vikundi vya kigaidi kama Hezbollah kule Lebanon, Hamas katika ukanda wa Gaza, mgambo wa kiShia Iraq n.k mamilioni ya dolari za Kimarekani huku wananchi wa Iran wakizidi kuumia kiuchumi na kijamii...

Wivu wa utawala wa sasa wa Iran kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii katika nchi za Dubai, Saudia, Jordan, Egypt ambao unatamaniwa na raia wa Iran waliopo chini ya utawala wa mkono wa chuma wa Iran.

Hivyo watawala wa Iran kujaribu kuzima vuguvugu la kudai mabadiliko ndani ya Iran kwa kuchochea vurugu katika nchi za Mashariki ya Kati zinazopiga kasi ya kimaendeleo kwa kuanzisha vita kwa kisingizio cha nchi hizo kuwa karibu na Israel kupitia mikataba ya Abraham accord / normalization ....

Uingereza alifanya tafiti za mafuta kwa gharama kubwa na kuanza kuchimba na kujenga visima vya mafuta, Shah akaja kuzingua kwa kuvichukua vyote.
UK alijitahidi kujaribu wafanye makubaliano, lakini Shah akakaza sababu tayari kulikuwa na vuguvugu la mabadiliko linaendelea nchini Iran na ugumu wa maisha ukazidi kupandisha joto

UK kuona jamaa amekaza akamgeukia US, kwa ajili ya kisasi. US haikuwa shida sana kumsaidia UK kwani CIA tayari walikua on ground behind the closed doors, CIA waka mobilise vikundi vya kiislam wakawapa nguvu na hatimaye wakachukia nchi, huku upande mwingine wa US ukijifany kuwa bega kwa bega na Shah.
Wengi mtauliza, kama CIA ndiyo walimsaidia kumuweka madarakani Ayatollah, kwanini sasa hivi haziivi.
Jibu ni kwamba, kuwa makini sana na wale wanaoonekana kuwa ni maadui au marafiki wa Marekani.
 
Jibu ni kwamba, kuwa makini sana na wale wanaoonekana

Na pia Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi anasema katika interview kuwa : kuongezeka kwa nchi za kiislamu zinazopakana na Russia ni mkakati wa kuweka kigingi Russia kuingia maeneo yenye mafuta mengi ya Iraq, Kuwait, Saudia n.k

Hivyo kiaina kuwepo tawala za kiislamu za Afghanistan, Iran, Iraq ni mtaji mzuri kwa nchi za magharibi ambazo zimewekeza kwa wingi Saudia, Kuwait, UAE.

Kwani tawala hizo za nchi za kiislamu haziwakubali wala kuiamini Russia na hivyo Russia hawataweza kuzivamia nchi hizo za kiislamu na ikichukuliwa somo la historia ya ukweli ilivyopigwa Afghanistan na hii kiaina inaweka maslahi ya nchi za magharibi huko ghuba, Oman, Saudia, UAE salama salimini anasisitiza na kupigilia mstari maneno hayo Crown Prince Reza Pahlavi akiangalia geo-stratejia ya mataifa makubwa ya magharibi dhidi ya Russia.
 
Iran taifa la kibabe . Wababe wa kihistoria, wanafizikia, kemia, na utabibu.
Baada ya kuchoka unyonyaji wa UK, na collective West wakaamua kurudi katika historia wakagundua wao ni wakubwa superior race Wala si waarabu kati kati ya mamilioni ya waarabu. Wao walikuwa superpower kipindi flani Cha maisha Sasa kwanini wakubali ujinga wa kuletewa na kuuziwa hata viwembe na vikombe?
Wakaanza kutengeneza silaha zao, drone ,assault riffle nk.
Wakatengeneza. Pia. Madawa, na kujifunza utabibu.
Wakajifunza pia kutengeneza magari ma makombora.
 
Tayari utawala wa Iran leo April 13, 2024 umejiweka katika hali ngumu zaidi toka mapinduzi yaliyoongozwa na Ma-Ayatollah mabwanyenye waliokuwa mabepari uchwara wamiliki wa ardhi mashambani kupinga sera ya Shah kuwanyanganya ardhi, hivyo wakasuka njama na kumgoa Shah wa Iran.
 
Hao ni walafi tu wa madaraka kama walafi wa madaraka hawa wa kiafrika ila hao wa Iran eti wanajificha nyuma ya dini huku wakiwa makafiri wakubwa.
 
Back
Top Bottom