The Bangladeshi taka (Bengali: টাকা, sign: ৳, code: BDT, short form: Tk) is the currency of the People's Republic of Bangladesh. In Unicode, it is encoded at U+09F3 ৳ .
Issuance of bank notes ৳10 and larger is controlled by Bangladesh Bank, while the ৳2 and ৳5 banknotes are the responsibility of the ministry of finance of the government of Bangladesh. The banknotes of Tk. 2 and Tk.5 have mostly been replaced by coins while lower denomination coins (including all poysha coins) upto Tk. 1 have almost gone out of circulation due to inflation. The most commonly used symbol for the taka is "৳" and "Tk", used on receipts while purchasing goods and services. It was formerly divided into 100 poysha, but poysha coins are no longer in circulation.
Hali ya usafi na mazingira katika eneo la Mathare 4A, jijini Nairobi, imezua hofu miongoni mwa wakazi baada ya maji ya majitaka (sewage) kuvuja na kumwagika moja kwa moja karibu na mlango wa nyumba ya mkazi.
Video inaonesha maji hayo machafu yakibubujika kutoka kwenye mfereji au bomba la...
Hayo ni miongoni mwa maneno yaliyotamkwa na mkazi wa Kata ya Kibosho Mashariki, John Massawe, wakati akimweleza Diwani wa kata hiyo, Steven Massawe, hali ya taka zilizotupwa katika eneo la barabara ya Mweka, barabara inayotumiwa na wageni wanaposhuka kutoka Mlima Kilimanjaro.
John alizungumza...
MOSHI, KILIMANJARO.
Ni majira ya saa moja na nusu usiku wa Ijumaa.
Katika utulivu wa usiku, eneo la barabara ya Mweka lilikuwa likipokea wageni ambao wananchi hawakuwatarajia — si watu, bali marundo ya taka.
Kwa mujibu wa mashuhuda, watu wanaotajwa kuwa ni wapagazi wanaoshuka kutoka katika...
Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza.
Uamuzi huu umeleta usumbufu mkubwa kwa watembea kwa miguu, kwani njia hiyo sasa imezibwa na kuwalazimisha baadhi ya watu...
Anonymous
Thread
barabara
dampo
daraja
jiji
kuelekea
magari
miguu
mwanza
njia
taka
watembea kwa miguu
Kama umefika Mwanza, utaona changamoto kubwa ya uchafu, hasa kutokana na wingi wa taka za plastiki na taka nyingine zinazotapakaa katika maeneo mbalimbali ya jiji.
Mamlaka ya Jiji imeonekana kushindwa kuweka idadi ya kutosha ya mapipa ya taka katika maeneo muhimu, ikiwemo katikati ya jiji na...
MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar es Salaam atatozwa faini ya shilingi 300,000 hadi milioni moja au kuhukumiwa kifungo cha miezi 12...
Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta kusafi lakini Pugu Kinyamwezi kuchafu.
Sasa tumekubaliana jambo gani? Kwamba kwa sasa tuingie kwenye...
Wakazi na wadau wa Jiji la Dodoma, kuna jambo ambalo kwa kweli linahitaji majibu na hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika.
Ukipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, ikiwemo NSSF, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), mfereji wa eneo la Soko la SabaSaba karibu na Nabaki Africa, Chako ni...
Wakuu, habari za mchana huu.
Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka."
Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya maji taka kusambaa katika Mitaa ya Tandamti / Mkunguni / Sikukuu/ Congo maeneo ya Kariakoo imefanyiwa kazi.
DAWASA imeeleza “Changamoto hiyo tayari imefanyiwa kazi kikamilifu, pichani ni eneo la TANDAMTI...
Hali ya maji taka yanayotiririka barabarani katika maeneo ya Likoma Street na Masasi Street, Kariakoo – Dar es Salaam.
Kwa sasa ni siku kadhaa hali imekuwa hivyo, yanatiririka barabarani, hali hii imekuwa kero kubwa kwa watembea kwa miguu, hasa pale wanapopishana na Vyombo vya Moto na kurushiwa...
Anonymous
Thread
barabarani
hatari
kariakoo
maji
maji taka
masasi
mitaa
taka
Takribani watu 30 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa baada ya mlima wa taka kuporomoka na kuangukia nyumba zilizokuwa karibu katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, kufuatia mvua kubwa kunyesha.
Tukio hilo limetokea majira ya saa nane usiku katika eneo la Dar es Salaam jijini Conakry...
Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao.
Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo zinazojumuishwa kwenye leseni za biashara, taka zinaendelea kuachwa mbele ya maduka baada ya wafagiaji...
Anonymous
Thread
ila
kubwa
maduka
manispaa
mbele
pesa
sababu
sana
shida
taka
CCM Imefanikiwa sana kulinda amani kwa haya makundi ya watu
1. Mafisaidi
2. Wezi
3. Mapuyanga/mapapai/ mchicha mwiba, madafu.
4. Al munafiqina
5. Wachawi/Machawa
Huwezi kuwa katika makundi au kundi ilo alafy ukajifanya kuichukia ccm. Utakuwa na kichaa. Watu atutakuelewa hata kidogo.
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Manispaa ya Shinyanga. Ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu hali mbaya ya usafi ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda sasa kutokana na mrundikano wa taka.
Tunachofahamu ni kwamba kumekuwa na mgogoro kati ya Manispaa ya Shinyanga na kampuni binafsi iliyokuwa...
Siku kadhaa zilizopita (Juni 23, 2026) niliandika kuhusu mazingira ya katika stendi ya mabasi madogo ya Makoroboi jijini Mwanza kuwa na uchafu mwingi.
Nilieleza uchafu huo umekuwa ukitoa harufu kali kwa siku siku kadhaa na kuwa kero kwa Wananchi na watumiaji wa eneo hilo.
Hali ilivyokuwa awali...
Sisi wakazi wa Mtaa wa Kisewe, Wilaya ya Temeke, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utendaji usioridhisha wa kampuni ya MACROBULUBA INVESTMENTS COMPANY LTD ambayo imepewa jukumu la ukusanyaji wa taka katika eneo letu.
Kwa muda mrefu sasa, kampuni hiyo imekuwa ikishindwa kutekeleza...
Jina langu naitwa Hidden Diamond.
Kwa mama, mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa (na kaka yangu mkubwa ambaye mama alimpata akiwa bado msichana mdogo), ila kwa baba ni mtoto wa pili baada ya kaka yangu ambaye kwa sasa ameajiriwa kwenye sekta mojawapo binafsi nchini.
Kwenye familia yetu, wote kwa...
Kuna viwanja vilivyouzwa takribani miaka minne iliyopita na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni katika eneo la Pembamnazi–Tugwi Songani. Hata hivyo, hadi sasa wananchi bado hawajapatiwa hati zao za umiliki.
Kila wanapofuatilia ofisini, hawapati majibu ya kueleweka kuhusu ucheleweshaji huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.