• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

falsafa

 1. Makirita Amani

  Taoism: Falsafa ya kale ya China inayokupa nguvu ya kufanya bila kutenda

  Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote. Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia, tunaweza kufanya makubwa bila ya kutumia nguvu sana. Moja ya falsafa inayoweza kutupa nguvu ya aina hii...
 2. bahati93

  Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

  Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
 3. Abunwasi

  Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

  Wanajamvi, Hii nimeikuta ukutani kwangu nikaona kubwa ni busara kueleta hapa ingawa kwenye hili mimi sina upande ninaoshabikia . 'Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake...
 4. K

  Rais Magufuli na CCM mpya kwa Tanzania imara: Falsafa inayojenga mtazamo chanya kwa watanzania juu ya CCM

  Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
 5. A

  Umewahi kufikiri kuwa angel investor?

  Natambua kwamba kuna watu wengi ambao wangependa kuwa wafanyabiashara, wajasiriamali au hata wawekezaji. Pia wapo wengi ambao pamoja na kutamani hayo yote bado wanakuwa na changamoto ya kupata mitaji inayoeleweka ili waweza kufanya biashara. Ukifikiri kwa utaratibu utaona kwamba katika maisha...
 6. Mwl.RCT

  Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
 7. S

  Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kumtunuku Rais Magufuli Shahada ya Falsafa

  Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kitamtunuku Rais wa Tanzania, John Magufuli Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutokana na uongozi wake hasa ujenzi wa uchumi wa viwanda. Akizungumza leo Jumatano Novemba 20, 2019 Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Faustine Bee amesema shahada hiyo itatolewa...
 8. mlakimtoto

  Viongozi na falsafa ya Afrika

  FALSAFA YA AFRIKA NA VIONGOZI WA LEO. Afrika ina namna yake ya pekee sana ya kuutafsiri ulimwengu wake kwa kuzingatia misingi yake. Licha ya falsafa hiyo kupewa majina mengi ya lugha jamii bado misingi yake ni ileile. Mathalani kwa Afrika ya kusini wao waliita UBUNTU na ukiangalia kwa ndani...
 9. S

  Siasa za Uchumi wa wananchi katika nyimbo za Nigeria na falsafa ya "Nchi iliyopata MAENDELEO fedha haina samani"

  Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket" Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
 10. bahati93

  Baadhi ya misimamo ya watu wenye akili zaidi ya wastani

  Good Morning people, Kwanza kabla sijafika mbali napenda niweke bayana mambo yafuatayo. Mosi: binadamu tumetofautiana talanta kutokana na katiba ya miili yetu ilivyoumbwa. Hivyo sio jambo jema kukashifu mwingine kutokana na mapungufu ambayo yapo nje ya uwezo wa asili wa miili yao. Waraka huu...
 11. bahati93

  Nashukuru nilizaliwa kwenye familia yenye dini nayoabudu na wewe pia ndugu nakushauri ushukuru kama nami navyoshukuru

  Akili ya mwanadamu inamuwezesha kungamua uwepo wa muumba wa viumbe vyote hapa duniani, uelewa juu ya muumba unaletwa na dini mbalimbali hapa duniani. Lengo la kuandika waraka huu ni kutaka kuonyesha kwamba hakuna haja ya kubishana dini ipi ni bora kwa sababu zote zinabeba ujumbe mmoja...
 12. bahati93

  Njia ya kushinda mauti

  Bila shaka hapa ulimwenguni hamna kitu kinaogofya Zaidi ya kupoteza uhai kwa viumbe hai ( WANYAMA NA BINADAMU). Hali hii hutokana na mfumo wa fahamu unaofanya kazi automatic kulinda na kudhibiti uhai usiponyoke mwilini. Kinachopelekea hudhuni kubwa kumwangukia binadamu kutokana na matokeo ya...
 13. bahati93

  Tanzania ipo kwenye balehe...

  Nchi yaweza kuchukuliwa kama kiumbe ambacho kina baathi ya sifa ambazo mwanadamu anazo na sifa ambazo haiwezi kuzipata kutokana limitation ya kwamba nchi inaexist katika mind construct ( shared belief) kwamba watu ambao wapo ndani ya mipaka ambayo inaweza kuwa physical au imaginary line drawn...
Top