bashungwa

Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.

View More On Wikipedia.org
  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, tulimfukuza Nchimbi kulinda maslahi ya CCM.

    Maslahi ya CCM kwetu ni muhimu sana kuliko maslahi ya wananchi, kwa kauli hii ni wazi CCM haiko tayari kuona Tanzania tunakuwa na katiba mpya ya wananchi, hii ndiyo CCM ya matajiri wafanyabiashara dhidi ya wananchi.
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, Ukiwa Waziri mambo ya Ndani, Watanzania walishuhudia Mauaji ya Watanganyika Oktoba 29 2025. Kaa kwa kutulia, Achana na Nchimbi!!

    Naomben Mkumbushe Bashungwa, kua yake Mauaji ya Oktoba 29 2025 anahusika 100%. Samia kumwondoa kwenye Uwaziri , hakuondoi JINAI ya Bashungwa Dhidi ya Watanganyika!!!. Bashungwa huna lolote unalojua kuhusu CCM, uliokotwa huko matopeni !!. Unazúngumzia Nchimbi, Kijana wa Chama, Mzee wa Chama...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Bashungwa ? Akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kibri na dharau Madaraka ni koti la kuazima

    Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa? Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wabara waliwasha nyota ya Samia mpaka alipofika ila yeye amezizima nyota za akina Makamba, Biteko, Bashungwa na wenzake ili iweje?Thabiti Kombo oye

    Jakaya ndo alimkuza Samia na kumfikisha Bara mpaka hapo alipo ni juhudi za Kikwete na genge lake, jambo la kushangaza amekuja kuzima nyota za akina Bashe, Bashungwa, Biteko na wenzao wakina Makamba sasa sijui anafaidi nini? Ameishia kutuletea mijitu ya ajabu ajabu ikina Thabiti Kombo sjui kama...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Bashungwa itubu dhambi ya uuaji 29.

    Kama utaki utajiju
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wako wapi akina Dotto Biteko na Inno Bashungwa?

    Tangu wamwagwe, sijawasikia hao machawa hapo juu. Anayejua wako wapi na wanafanya nini atujuze. Kama wako humu wajue, tunafurahia walivyofanyiwa kitu mbaya baada ya kutumika na kutupwa kama ganda la mua. Uchawa na ufunza havilipi.
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ajifunze toka kwa Dotto Biteko, Bashungwa na Tulia Akson

    Watajwa hapo juu walitumiwa na kubwagwa baada ya kutumika. Naona, hata huyu Mwigulu ataishia huko huko muda si mrefu. Najiwazia tu.
  8. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Simbachawene VS Bashungwa: Vijana tumejifunza nini?

    Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako. Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa...
  9. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, nilikwambia - hukunitilia maanani

    Kabla ya kufungiwa kwa Kanisa la Gwajima tuliongea; ilipotolewa barua ya kufungiwa nikakutafuta kwa njia nyingine nikakwambia “Serikali ijitenge na hili” - nayo ukanipuuza. Ilipofika kufungiwa, nikakutafuta na kukushauri maamuzi ya haraka yafanywe na pande mbili ziongee - ukanieleza upande...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulia, Biteko, Bashungwa, Makamba, Mwalimu na wengine mlobanjuliwa jiungeni na upinzani tuizike CCM

    Kichwa cha habari kiko wazi. Waathirika wa serikali haramu fanya kweli kama ilivyotokea Kenya mwaka 2002 tuizike CCM. Wakati muafaka ndo huu.
  11. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Innocent Bashungwa: Mtanzania aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wakati watanzania wanauawa Oktoba 2025

    Bro alikuwa na kiherehere sana. Naombeni mniitie nimsalimie kidogo
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashungwa, Mhagama watupwa nje!

    Huu mchezo hauhitaji hasira. Na Bashungwa na mbwembwe zake kuelekea Uchaguzi. Ulitumika effectively brother. Yaani, ukatumika kufungia Kanisa la Gwajima, matumizi yako yamefika mwisho bro
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bashiri Baraza la Mawaziri litakavyokuwa

    Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais. Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Taja jina la mbunge unayetamani awe Waziri Mkuu mpya wa Tanzania?

    Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM. Tupe utabiri wako
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Uongozi wa Rais Samia, Karagwe imekuwa kama Switzerland kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa

    Bashungwa acha uongo wewe! Hiyo Switzerland unajua vizuri kweli! Uchawa unakusumbua sana Vumbi limejaa pale, wakazi wengine hata maji hakuna ====================== Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Karagwe Mkoani Kagera na Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Innocent Bashungwa amesema...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Hakuna chama zaidi ya CCM chenye uzoefu wa kuongoza nchi yetu bila kuingia kwenye machafuko ya kivita

    Mgombea ubunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuendelea kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko. Bashungwa ameyasema hayo jana Oktoba 10, 2025 katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Kijiji cha...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Innocent Bashungwa, ameendelea na kampeni za kuomba kura za Mgombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Karagwe kwa kueleza kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa atunuku Vyeti Wafungwa 170 waliohitimu Mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti Wafungwa 170 waliomaliza mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Gereza kuu Arusha. Hafla ya kutunuku vyeti hivyo ilifanyika...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Bashungwa anaendelea kutoa amri kwa jeshi la polisi? Uwaziri bado haujakoma tu hata baada ya bunge kuvunjwa?

    Ufafanuzi tafadhali kwa wenye uelewa na sheria na katiba wakati wa kuelekea uchaguzi.
Back
Top Bottom